Watu wanane wanauguza majeraha baada ya kuvamiwa na genge huko Mombasa
Watu wanane wanauguza majeraha baada ya kuvamiwa na genge la wahuni usiku wa kuamkia leo katika eneo la Mikindani eneo bunge la Jomvu kaunti ya Mombasa. Genge hilo linadaiwa kujihami kwa mapanga lilitekeleza uvamizi huo mwendo wa saa saba usiku kabla ya kutoweka. Maafisa wa polisi wanaendeleza msako ambapo inaarifiwa washukiwa wanne wa genge hilo wamekamatwa.
Пікірлер: 47
Mama ameongea ukweli sanaa,hongo Kenya itaisha lini inaleta kudhohofika kwa inchi
Recently Deputy president Gachagwa warned security chiefs in Mombasa and likoni that watafutwa KAZI due to laxity of security,why Not sack them now
I'm glad I appeared on Citizen TV God is Merciful
Riggy G muST go there now,this woman is great and open.
@andallaathman3856
3 ай бұрын
Rigi g ni siasa tuu na mdomo Hana lakufanya upuzi mwingi tuu drugs dealers imekuaje mpaka sasa
All security officials in Mombasa must be sacked kazi Yao ni kushika innocent women wanauza mnazi not security matters
@mollyoduor
3 ай бұрын
Very true
Hawa majambazi wana faa ku walishwa tyree naa ku chumwaa ni dawa peke yaake 🔥.
Serikali Iko wapi surely if gangs can terrorize pple whole night
County commander, kazi yako nini? Rudisheni nelson marwa
@selphineonyango2591
3 ай бұрын
Marwa arudi mombasa
@allynyanje5779
3 ай бұрын
Ushasema
Mikindani has known peace we won't allow goons to distract.wamama waongee na wanao au wawachie ulimwengu
Dp aliongeo hawa wanasiasa wakamuingilia sana,vile mambo inaendelea uko mombasa si vizuli,na ni kama wanalenga watu wa bala
@user-mo2iv1xo1g
3 ай бұрын
Wacha uongo watu wa bala ndokusema nini?
@NeymarMuhammad
3 ай бұрын
@user-mo2iv1xo1g 😂😂
Mama ameongea point
Shikeni kiongozi wao Kateni shingo
Poleni jamani.. Mupone nyote in Jesus mighty name Amen
Siku kenya itaweza ku deal na mihadarati haya yote yatakwisha.
@paulinewangila-cs6ys
3 ай бұрын
Kabisa mihadarati ishindwee
@stephenthuranira5619
3 ай бұрын
Hii sio mambo na mihandarati bro they know what they are doing in mombasa hii inakuaga game ya viongozi wachache ....
@selphineonyango2591
3 ай бұрын
Mihadarati si shida,shida ni kuna kiongozi anawaspouser hao vijana
@stephenthuranira5619
3 ай бұрын
@@selphineonyango2591 Exactly mombasa watu ya mihandarati ni mateja ...teja ni mwizi ya screp na tuwizi kindogo kindogo ya ujinga lkn hiyo kupigana mapanga ni vikosi zinajulikana vizuri tuliokuwa wakati ya Mkubwa Marwa can understand
@samuraitrax6597
3 ай бұрын
Its spelled "CORRUPTION"
Kweli
Waizi wa njaa si waende wakaibe Bank umbwa hao😢
Like where is the government😢
@engineerrajab9533
4 ай бұрын
Viongozi wote waajibike
@paulinewangila-cs6ys
3 ай бұрын
Ndio
Hao majambazi washikwe ama wauliwe
Kwa nn kenya mnazembea hivi kwa mtu alio katika hali mbaya kisa maana n pesa.c mtibu mtu mumuokoe maisha yake kisha pesa ifwatie .au mwataka mtu afe ndio mjidai mlikua mwamsaidia 😭😭.kuhusu hao wezi n bora wakisgukwa wapigwe hadi kufwa .police wakija wachukue mizoga yao. Wakati wa kandingo wezi walinyooka n wakaisha hadi wengine wakaama mombasa coz kulikua kumoto sana.dawa n mwizi kuuwawa tu coz ata yy haonei mtu huruma akiwa anamuuwa 😭😭
WEKA MSOMALI AKUE MKUBWA WA POLISI AONGOZE HYOO OPERATION
Poleni sana
Wanaotowa hongo kwa polisi ni kina nani, hapo ndio shida sasa. Pia nanyi watu wema, vita vya aina hiyo upiganwa hivyo hivyo.
Human rights my foot
Quick recovery
Huyo human rights hafai hata kua hapo wao ndio sababu kuu wakiuliwa vijana wasema haki zao wanalaumu police wauliwe hao watoto
Hapa dawa ni marwa arudi mombasa
Serikali nao ikianza operation watu wasilalamike
aty ngoja wasababishe nkt mapolisi
The ambulance driver is bad
Mombasa use be a safest place to live 10 years ago but now for vacation is better we go to Tanzania or South coast.what is nyumba kumi and wazee mtaa doing.
Very pathetic 😭😭😭
Hawa ni watoto wa shule..they do this during holidays...they only get locked up maximum 1 week...even after committing horrific crimes.