Walimu wa sekondari msingi waandamana mjini Nakuru

Walimu wa shule za sekondari msingi kutoka kaunti ya Nakuru wanafanya maandamano ya amani kwa siku ya pili ili kuishinikiza serikali kuu kushughulikia maslahi yao. Walimu hao wanasema kuwa serikali imekaidi uamuzi wa mahakama ulioitaka serikali kuwapa ajira ya kudumu pamoja na nyongeza ya mshahara. Evans Asiba anaangazia suala hilo mubashara kutoka Nakuru.

Пікірлер: 4

  • @josephkibet7205
    @josephkibet720522 күн бұрын

    Abadan katan

  • @FatiMa-nb5ps
    @FatiMa-nb5ps22 күн бұрын

    Siyiondolewe.hiyo.cbc.yaishe

  • @Fred-rx5xr
    @Fred-rx5xr21 күн бұрын

    Sasa si kama sarary haitoshi just resign kunjeni huku jua kari tumufunze vire tunakaa the early the better for you