WAKULIMA KATA ZA MTWANGO NA KICHIWA WALIOFYEKEWA MAHINDI WANENA MAZITO WATUMA SALAMU KAWA MH RAIS

SIKU CHACHE BAADA YA MAMALAKA YA MAJI MJI WA MAKAMBAKO MAKUWASA KUFYEKA MAHINDI YA WAKULIMA KATIKA BONDE LA MTO FUKULWA KWENYE KATA ZA MTWANGO NA KICHIWA WILAYANI NJOMBE ZAIDI YA EKARI 15 VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI NA KATA KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WAMEIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI JAMBO HILO ILI KUEPUSHA HASARA AMBAZO WAKULIMA HAO WANAPATA KATIKA MISIMU WA KILIMO.
TARIFA ZAIDI NA PROSPER MFUGALE NJOMBE MTWANGO
WAKULIMA HAO WAKIZUNGUMZA NA ITV WAMESEMA MAHINDI HAYO YALIYOFYEKWA YALIPANDWA NA KUKUZIWA MBOLEA ZA RUZUKU ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI NA KUWA WAKO HATARINI KUKUMBWA BAA LA NJAA.
Cue in wakulima
DIWANI VITI MAALUMU KATA YA MTWANGO ROIDA WANDELAGE AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO WA HADHARA NA WAKULIMA HAO AMESEMA
Cue inroida wandelage ndiwan viti maalumu kata ya Mtwango na Edwin swale mbunge jimbo la lupembe
MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJI MJI MDOGO WA MAKAMBAKO MAKUWASA MHANDISI ALFONCE LUFYAGILE AMEZUNGUMZIA SAKATA HILO KWA NJIA YA KWA KUWA ALIKUWA NJE YA OFISI KIKAZI.
Cue in sauti ya alphonce lufyagile mkurugenzi MAKUWASA

Пікірлер: 17

  • @kostamhogofela6335
    @kostamhogofela6335 Жыл бұрын

    Njombe TV mbarikiwe sanaa kumbe tulichelewa sanaa nimeona umuhimu wa habari za Mkoa wetu

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti69744 ай бұрын

    Mzee umeongea vizuri sana na inawezekana huyo meneja wa maji ni mpinzani.haitskii mema serikali yetu

  • @denisnyamle2690
    @denisnyamle2690 Жыл бұрын

    Hovyosana

  • @eliahkayombo7029
    @eliahkayombo7029 Жыл бұрын

    manager awalipe fidia wakulima

  • @husenihamza7591
    @husenihamza7591 Жыл бұрын

    Mmmh mpaka kufyeka mimea kwa yeyote aliyewahi kulima ni uuajii bila kupepesa maneno mahindi ni temporary sio mazao ya kudumu asamehewejeee kwa hilii ufyeke mazaooo duuu

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын

    Ndo wafekewe chakulaaa?????

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene28744 ай бұрын

    Kukata mahindi ya Mtanzania mmoja huyo meneja ni sawa na kutuambia Watanzania kufeni

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 Жыл бұрын

    Komesha hao wanna ccm inakula kwao

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Жыл бұрын

    Unafyekaje chakula

  • @eliahkayombo7029
    @eliahkayombo7029 Жыл бұрын

    Huyo manager wa maji makambako hana utu na amelelewa tamilia ya kitajiri yaani ni wakishua

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Жыл бұрын

    Viongozi wapuuzi namna hii wangepata demotion ill iwe fundisho

  • @faithkinyaga2032
    @faithkinyaga2032 Жыл бұрын

    Jaman kuna sheria lazima kuwe na utu, mtoto wa mkulima huwa naumia sana haya nikiyaona,unafyeka mahindi kweli utapata unachokitaka baba

  • @zabronnyamba5939
    @zabronnyamba5939 Жыл бұрын

    Haowario husika wamatwe kabisa

  • @user-je8bh5ez9v
    @user-je8bh5ez9v Жыл бұрын

    Serikali wapo sahihi,lakini walikuwa wapi wakati hao wakulima wakiandaa hayo mashamba,kwanini hiyo hasara isibebwe nawatumishi wa halimashauri toka kwenye mishahara ya watumishi wa halimashauri walioshindwa kuzuia hilo wanaoona ni tatizo leo?

  • @georgemngongo6555
    @georgemngongo65552 ай бұрын

    Wenda. Kichaa. Kimemkuta.

  • @aklinndelwa1832
    @aklinndelwa1832 Жыл бұрын

    Hao watu walilipwa fidia kuzuiwa kulima? Kwa sababu kama eneo si oevu mradi umekuja umewakuta inakuwaje wazuiwe bila fidia?

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti69744 ай бұрын

    Mahindi yanapandwa yeye yuko anayaona nahawakukatazwa.