Wakazi wa Kawangware watoa maoni kuhusu mswada wa fedha wa 2024

kamati ya bunge la kitaifa kuhusu bajeti inafanya vikao vya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mapendekezo ya bajeti ya mwaka 2024/2025. vikao hivyo vinaendelea hapa jijini nairobi katika maeneo ya Dagoretti south na Embakasi. Mwanahabari wetu ben kirui anahudhuria vikao hivyo lakini kwa sasa tusikize yanayojiri.

Пікірлер: 1

  • @worrylesstv
    @worrylesstvАй бұрын

    Alafu wale hampendi kuboeka online mnipitieko leo tafasali nafanyako comedy 😂

Келесі