WAFANYABIASHARA MAWASILIANO WAGOMA WAFUNGA BARABARA/MGOGORO NA DART/HATUMTAKI DC UBUNGO..
#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZread: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Пікірлер: 38
This man speaks with logic. Sounding mathematician.
Mkuu wa mkoa leo katumia approach nzuri. Sio approach ile aliyotumia pale kariakoo. Kajifunza
Jamaa uko vizuri
Dar inahitaji mkuu wa mkoa, Mr. Chalamila alifaa awe mbunge tu anashindwa kujenga thoughts kwenye crisis
Na Bado Kariakoo
Mmmh Samia Angalia yasije yakakukuta ya Ruto na Bado wale wa Kariakoo uliosema watolewe🤣🤣🤣😂🤔
Huyu atakuwa mhitimu wa chuo tena udsm
Jamani machinga acheni kelele hiyondio Tanzania nanyie wamjini ichizimatunafanyiwa hadivijijini tunatimliwa mashambayetu
Ila huyo kijana anafaaa kuwa mbunge wa machinga
Tunakaribia kufika
Mama wee toa hao RC na DC, hawana uwezo, wanahitaji msaaada kama ROBOTS.
TULIOSOMA CUBA TUJUANE 😮😮😮😮😮😅
yatamkuta ya ruto
huyu alindwe
Hili litamalizwa na Katiba Mpya ili viongozi waheshimu waliowachagua kama Mkuu wa Mkoa alivyosema viongiozi waliopo hawahusiani na wanaowaongoza.
Tatizo kubwa hamna ushirikiano.hapo ilitakiwa machinga kote wasimame, make leo ubungo kesho kwingine.
Hapo kama kunakaukweli illah sasa mnadili na hao wala rushwa ? Au ndio nahuki natupaka mafuta na mgongo w chupa>?chalamira ww n kiongoz w dar tena n mkuu w mkoa je swali langu upo upande gani hapo kw sababu umesha jua kila kitu pumba na mahindi yapi twambie pumba hapo ni machina au viongozi hao? Ucmungunye maneno please....
Dalili ya mvua ni mawingu.
Jamaa anaongea kwa hoja sana, yuko vzr
@charleslukumai7875
27 күн бұрын
Yuko vizurie!!!!
Wewe ndio huna pakwenda😂 falla2?
Jmosi hiyo nikutaka kuvuruga msimamo
Hii point ya machinga kununua kwa wenye maduka sio kweli mkuu kuna machinga wanaingiza contena kkooo na wao wanauza kuliko wenye maduka ila kkooo macho kwa wenye maduka majalala yote yamejaaa mauchafu ya mdafu na matikikiti ila pesa za taka taka wanabanwa wenye maduka tu .
@husseinmkanga7794
27 күн бұрын
Kama anaingiza contena huyo sio machinga.
HUYU DOGO NI MSOMI MCHUMI NA ANAFAA KUWA KIONGOZI WA WATU TIMAMU. UNATOA WAFANYABIASHARA UWEKE GEREJI MJINI? HII IWAFANYE KUFIKIRI NINYI VIONGOZI.
Gen z hamsheni popo ndio wataelewa hao acheni story kama wameuza bandari bila kutushilikisha watanganyika ijekuwa nyie!ndio lishaondoka ilo😂
@walidmgonja3644
27 күн бұрын
Taahira unaongea nini, kaa kimya
HANA AKILI, PENGINE ANA ELIMU TU KWA NATUKIO YAKE INAJIELEZA
@user13375
27 күн бұрын
@@emmanuelmodest7457 nan ?
Wamachinga unganeni mpe ubunge huyo kijana au udiwani
@jeremiahblazio4781
27 күн бұрын
Akiwa mbunge atabadirishwa na mfumo
Bado kidogo KATIBA MPYA.
@walidmgonja3644
27 күн бұрын
Hii siyo agenda ya katiba ondoa ujinga wako we chagadema
Waziri wa biashara ako wapi? Wa ardhi ako wapi? 😮😮😮😮
@walidmgonja3644
27 күн бұрын
We utakuwa ni kenyatta,achana na sisi wa TZ
@user13375
27 күн бұрын
@@walidmgonja3644 au tukuje kwenyu sis gen Z
Walisha tufanya wajinga uongo unamwisho wake
Hakuna majibu hapo kila kitu anajua atawapiga uongo tu