Utumizi ya kawi ya nishati ya jua wapigiwa debe

Wadau katika sekta ya kawi na maji humu nchini wameanza kuharakisha utumizi ya kawi ya nishati ya jua.
Kampuni ya Davis & Shirtliff imeshirikiana na kampuni ya Trina Solar, ili kutoa mafunzo kuhusu matumizi na umuhimu wa kawi kutoka kwa jua. Kuongezeka kwa mahitaji ya njia za kukuza kawi na ongezeko kubwa la kupitishwa kwa bidhaa za nishati ya jua, hasa katika maeneo ya mashinani na pembezoni mwa miji.

Пікірлер: 1