UTACHEKA! SHILOLE ALIVYOIMBA LIVE WIMBO WA RIHANNA KWENYE BIRTHDAY YA AUNTY EZEKIEL
Ойын-сауық
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
UTACHEKA! SHILOLE ALIVYOIMBA LIVE WIMBO WA RIHANNA KWENYE BIRTHDAY YA AUNTY EZEKIEL
#Bonatv #Exclusive #shilole
Пікірлер: 177
Shilole hajui kuimba kabisa sema tu bahati kutoka kwa Mungu sauti mbaya
@abuibra
2 жыл бұрын
Wote wako hovyo bado sana.
Shilole mama punguzaa weight bwanaaa more love from254
Unapotaka kujua jambo usione aibu kwenye Kujifunza 🤣🤣🤣🤣 kuwa jasir kama shishi jaman 😆😆😆😆🤗
@awatifalghanim1106
2 жыл бұрын
Asojuwa hujifunza...sote tumeumbwa hatujuwi kitu..ila tunajifunza...SIYO AIBU kitu cha kawaida...
Namkubali shish kinyama bigup Sana mwanadada❣️❣️❣️
@merrybeny8201
2 жыл бұрын
Sana.
Nakupenda sana shishi kwa vituko vake❤
Love you wema like your style love love from cape Town
Nacheka na comment za waja
Shishito mama key mashallah
Nakupenda sana mkabila mwenzangu shishi bby
😂😂😂😂😂rianah come to carry shishi chaiiii😂😂😂
Shiloje jamani anamimba au macho yangu mashaallah mungu amtunze
@aminatanzanya7475
2 жыл бұрын
Hakuna mimb hap ila unene manyam Uzembe
@bernadethaanthon357
2 жыл бұрын
Yan hiyo nguo haijampendeza wallah
@mussanindwa3889
2 жыл бұрын
Ana mimba huyu sio unene huk
Aunty na Shilole 💖
Kapendeza shishi nyimbo ya gere nilikuwa naipenda
Hajali wala nini ata mkimwita kibanda cha halotel😂😂
Shishi foood
Nimecheka Sana'a😀😀😀
Nilikuwa naipendaga hiyo nyimbo aliyoimba ya riyana
😍😍
Nakupenda shishi huna aibu hata kidogo doinavyo takiwa hivyo Safi sana ❤❤❤😂😂
Kweli shishi amenenepa sanaa
Shishi noma saana
Mbona sipati picha shishi wangu ama unamimba ama kunona ndio kunazidi😄
Shilole nampenda kwakweri 😓😂😂😂. Shishi
Oooh my god huyo shilole ndo aliyimba kitokololo na rich mavoko apunguze chakula
I love you shishi
Nakuona mama kijacho
Umenenepa sana
🤣🤣🤣🤣love u shishi
Mmmmm hapa mtihani tu mungu stiri
Naipenda hii ngoma ajabu
🤣🤣🤣🤣 waalah sh sh nakupendaga buuure
Shishi niko hoi huku🤩🤩🤩
Shishi beby umejuwa kunichekesa 😃😃😃😃
@awatifalghanim1106
2 жыл бұрын
Alhamdullilah...anatufurahisha tulonuna..😂😂😂😂🥰
@kulwamsigwa3325
2 жыл бұрын
Amealikwa kweli?😂😂😂😂
Shish mama kijacho uyu ilo gaun ukiangalia vzr unajua ilo tumbo
Umetisha😂😂
Nakupenda shilole wewe 😅💖💖💖
@omanphone3455
2 жыл бұрын
Shishi anamimba
Umenenepa sana mpak watisha
Shishi bwana unajiamini kwelikweli duh ila umenenepa sana
Shishi nomaa atari
Shilole imeharibika mwili
🔥🔥
Penda Sana shishi Mimi,huna maringo
@awatifalghanim1106
2 жыл бұрын
Kweli...
Shishi uko out na key ya sauti
Shishi punguza Maronya ronya fanya mazoezi sist nakukubali Sana una sauti.
@dorcaskidoti249
2 жыл бұрын
Shishi mjamzito huoni anavuta gauni tumbonii1😀
Bass haya
Shish nachokupenda unajikubali
😂😂😂😂😂 uwiiiiii shishi nifuraha tu ndio maana anajinenepea tu
Ukizidisha mbwembwe mwisho wake uharo tu hovyoo
Jamani shilole ni kichaa
@awatifalghanim1106
2 жыл бұрын
Kweli 😂😂😂🤣🤣🤣
Woooiw nakupenda sna shishi unavyo jitoa muhanga jamani sio kwa rampampa hyo umetisha😂😂😂😂
@mariachuri7123
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huo mtumbo Duuu!!! Bi Ngwena!!!!!!!
MDA si mtefu utasikia shilole anasumbuliwa na Miguu kwa ajili ya unene
@aminatanzanya7475
2 жыл бұрын
Na presha ya kupand na kushuk
😁😁✌
Bora umeunganisha njiwa peleka salamu
Nachojua mm shish hamaindi wala nn utajijua mwenyewe yaan. Kazi iendelee 😂😂😂😂😂
@gloriakazungu4082
2 жыл бұрын
🤣🤣
We dada no one like u
Snura kahusisha bangi kwa huyu shishi inaeza ikawa na ukweli
Shilole mwili umekuzehesha
Shilole Kawa kama furushi
@mereyamhomesmariamhomes3464
2 жыл бұрын
Anaenekana mjamzito
@nancyg8664
2 жыл бұрын
😂😂🙌🙌furushi
@salomewandya7257
2 жыл бұрын
Kibanda cha cmu
@awatifalghanim1106
2 жыл бұрын
😊☺ lakini mzuri mwenyewe. hata kama sufuriya ya pilau☺ lakini alivyokuwa mwembamba Mashaallah mwili wake ulikuwa Super...na alikuwa akicheza vizuri...sana.❤
@awatifalghanim1106
2 жыл бұрын
@@nancyg8664 🤭
Uza tu ubwabwa na uwe comedy mziki ww ujuwi kabisa
Shilole fanya mazoezi
Wabongo jameni duh😂😂😂😂😂lampapapa🙄🙄🙄shishi kaua😂😂😂😂😂
Shishito Bhana 🤣🤣
Shilole huo mwili duh!
Hhahh kituk hyu
Shishi maneno mengii!!😁🤣
@subiraboi9397
2 жыл бұрын
Kama chizi kajibandika dunia anajiona yye tu ndo bora
🤣🤣🤣shikamoo shilole nakupendeaga apo tu
Shishi 😄😄🙄 punguza mwili kidogo dada
@golder3410
2 жыл бұрын
Lkn pia nimjamzito,,au macho yangu
@twariatiomary486
2 жыл бұрын
Anamimba hhuyu
@mereyamhomesmariamhomes3464
2 жыл бұрын
Mimba iyo
😂😂😂😂
😂😂
Hahahaha
Yaani wewe dah
Shishi mjazito
Unene huo vip
Nenda India upunguze weight madam
🤣🤣🤣🤣🤣Shilole duh!!!
Yni huyu aimbe taarabu tu style zao vitambi na wanapendeza mzik huo hautaki haraka turbo turbo la ukwel
Akunakitu
Wabongo na kizungu hawaendani 🤦🤣🤣🤣🤣
@mfalmesimba1154
2 жыл бұрын
Nyie ndio wachawi wa maendeleo
Shishi mm kija
Dahh 🤣🤣🤣🤣 huo unene wa shishi si mchezo yupo vizur
😂😂😂😂😂😂
Jaman shish umechukiza unene mhhhh jaman unene ukizidi mhhhh
@salomewandya7257
2 жыл бұрын
Na ligauni jmn🤣🤣
Shishi mjamzito anahangaika kunyanyua gauni juu kuficha tumbo lakini tumeona kama mama kija bismilah Mashallah
@mayroseclemence99
2 жыл бұрын
Kitambi kile hapo anajitahid kuficha wenye vitambi tunajuana swaga zetu😂😂😂
@ashurapandu4116
2 жыл бұрын
Ila nahisi mjamzito
@mayroseclemence99
2 жыл бұрын
@@ashurapandu4116 hana mimba mambo ya shishi masontojo hayo😂😂
Lampapaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@keyjoh2971
2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
Shilole bwana unaniboa na huo mwili
🤣🤣🤣🤣🤣
Liha watanzania anamimba
😂😂😂2023
Shsh npnd ulivo vaa
Dada shishi umealikwa maana wasijeumbua mwenyew nakupendag bure
@rahmarajab3688
2 жыл бұрын
Hahahahahahahahaha, Manake bi Ngwena kwa kuvamia sherehe,za watu , Mmm hajambo!!!!!! Hahahahahahahahaha!!!!!
Amekuwa wa ovyo punguza limwili ilo
Shishi n mcute jaman pesa tam asikuambie mutuuu
Uzuri wa shishi afake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣et tulikubaliana tunaimba wote we vipi
Lol shishi
Lampapapaaaaa hahahahahaha mbavu zanguuu
@missindependent1893
2 жыл бұрын
Hahahahahaa
Amekuwa kama pishori la viazi huyo Shishi
@abdallagakweli6366
2 жыл бұрын
Hahahahaha
Tukunyema