USIBABAIKE TENA MUISLAM SHK AMALIZA UTATA KHS FUNGA YA ARAFA | MWEZI 9 AU SIKU YA KISIMAMO CHA ARAFA

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #arafat

Пікірлер: 82

  • @faizanassor6336
    @faizanassor63362 жыл бұрын

    ALHAMDULILAH kwa kutufuza MASHA ALLAH ALLAH akujaliye kheri zisizo na hesabu SHEIKH wetu AMEEN 🤲

  • @aishalaizer8132
    @aishalaizer81322 жыл бұрын

    Mashaallah umefafanua kirahisi San kila mtu kaelewa inshaallah, Allah akujaalie umri mrefu uendelee kutueleimisha sheikh wetu

  • @eshasalim5496
    @eshasalim54962 жыл бұрын

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH..Jazakah Allahu Khairan Ya Sheikh

  • @saidasaid5855
    @saidasaid58552 жыл бұрын

    Mashaallah alhamdulilh umetufunuwa sanna Allah akulipe kheri inshaallah

  • @myme9447
    @myme94472 жыл бұрын

    Ma shaa nimekuelewa uzuri sana, ALLAH akuzidishie kheir na barka...amin!

  • @ummuhassan9226
    @ummuhassan92262 жыл бұрын

    Mashallah shukran jazaka Allah kher

  • @mwanakombohajiali9397
    @mwanakombohajiali93972 жыл бұрын

    Masha allah shekh wetu allah akuzidishie ilmu na cc atupe

  • @faridanurdin4910
    @faridanurdin49102 жыл бұрын

    MashaAllah shukran sana sheikh,nimeelewa

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan52092 жыл бұрын

    Shukran jaziila Allah atakulipa biidhinih.

  • @khamissalim8708
    @khamissalim87082 жыл бұрын

    Alhamduliah

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan47482 жыл бұрын

    Mashallah

  • @zaitoonhassan1268
    @zaitoonhassan12682 жыл бұрын

    Umesema kweli shekh

  • @shkhmohd712
    @shkhmohd7122 жыл бұрын

    Hakuna mafungamano kabisa baina ya funga ya arafa na kisimamao Cha arafa kwani mtume alipokua akifunga arafa kabla hija haijafarazishwa alikua akimfata hujaji yupi hube tuachini ujinga na kuuparaganyisha umma wa kiislam Kwa sababu ya maslahi ya kidunia nyinyi salafi gani acheni muhemko

  • @ashuashu3843
    @ashuashu38432 жыл бұрын

    Mashaaa Allah

  • @ibnsefu9764
    @ibnsefu97642 жыл бұрын

    Mtume Muhammad.. alipewa maziwa na Um ul Maimuna.. ili ijulikane km amefunga ama laa... Ilikua ni lini na alikua qapi.. wacha kupotosha ummah Mzee kwa sababu ya njaa.. ilimu munaziroa kichwani na kuzipeleka matumboni.. muogope ALLAH Mtukufu.... Mzee wa kupinduapindua

  • @ibnsefu9764
    @ibnsefu97642 жыл бұрын

    Hutosheki na maneno ya Mtume wa Allah.. unarukaruka kwa wanachuoni.. Hadith ya Abu Qatada Ansari قَالَ وَسُئِلَ عَنْ(( صَوْمِ يَوْمِ عَرَفَةَ ))فَقَالَ ‏"‏ يُكَفِّرُ السَّنَةَ الْمَاضِيَةَ وَالْبَاقِيَةَ ‏"‏

  • @medimisi6930
    @medimisi69302 жыл бұрын

    Shekh cjawahi kumuelewa eti juu ya suala la muandamo kauli yenye nguvu amesemaje niambieni.imamu wanne wangapi wamesema tufuate mwezi mmoja au kila nchi muandamo wake.

  • @mshambawamjini2671
    @mshambawamjini26712 жыл бұрын

    Khitlafu zipo Ila swa la kwamba unasamehewa myaka miwili kwa maana ya mwaka mmoja mbele na mwingine nyuma hii nikatika makosa sahihi nikusema utasamehewa myaka miwili na sio nyuma na mbele

  • @w4058
    @w40582 жыл бұрын

    Sheikh kujitahid kufahamisha vizuri na imefahamika na si yeye peke na technology haijaja kufuta sheria za Uislam ila mtu ukishakuwa stagnant urashikilia unavyona wewe

  • @hajihassan5433
    @hajihassan54332 жыл бұрын

    Ni mtihani mkubwa sana Waislam tunajenga HOJA tu kama Wanasiasa kiasi kwamba inategemea unamsikiliza nani na wa mlengo upi. Kwa mtizamo wangu tatizo ni teknolojia ambayo inatuwezesha kuona kinachoendelea Makka lakini kabla ya hapo mwezi 9 ndio ilikuwa siku ya funga ambayo ukiwa Makka ni siku ya kisimamo cha Arafa. Hivyo kwa vile sheria za Kiislam hazibadiliki kwa teknolojia ndio maana pamoja na uwezo wa kuona mimba ya siku 1 au kuutowa kabisa mfuko wa uzazi bado haiondoshi eda kwa mwanamke. Hivyo kwa vile hakuna Muungano wa ibada yoyote asiyekupo kwenye Ibada hahusiki na Ibada hiyo, hivyo funga ya mwezi 9 (Arafa) kwa aliyekuwa nje ya viwanja vya Arafa huko Makka hahusiki na Ibada hiyo.

  • @rosemery542

    @rosemery542

    2 жыл бұрын

    Dunia ni Moja Saudi Arabia wakisimama Arafa sisi tufunge. Itakapokuwa Iddi ukifunga ni haramu. Tatizo la baadhi ya maulamaa hawajui jiografia.

  • @mshambawamjini2671

    @mshambawamjini2671

    2 жыл бұрын

    Wewe inaonekana una kalili kwaiyo hapa ondoka tu utanzisha mjadala ambayo hauna maana kwa ujinga wako

  • @mwanakombohajiali9397

    @mwanakombohajiali9397

    2 жыл бұрын

    @@rosemery542 dunia ni moj lkn masaa yamepishan tuxome kwnz co tuongee tuu

  • @hanifatanzania7258

    @hanifatanzania7258

    2 жыл бұрын

    @@rosemery542 Tena Tanzania na saudia mpaka muda yani masaa hatupishani. Omani ndiyo tunapishananao lisaa limoja

  • @rosemery542

    @rosemery542

    2 жыл бұрын

    @@hanifatanzania7258hatupishani na Saudi hata dajika moja. Wanaefunga siku ya idi waendelee namuomba Allah atubainishie ukweli. Alhamdulillah wengi wanaelewa sasa

  • @ibnsefu9764
    @ibnsefu97642 жыл бұрын

    Mumelalaje na mumeamkaje buko Nyota

  • @ghatwiyaramadhani1158
    @ghatwiyaramadhani11582 жыл бұрын

    Hivi ni tanzania na saudia .tunalingana siku , mwezi , mawio na machoweo au ulimwengu mzm wafanana ??

  • @hanifatanzania7258

    @hanifatanzania7258

    2 жыл бұрын

    Ndiyo mpaka muda tyna fanana nao ila Oman tunapishananlisaa kimoja

  • @kingaadynadhir7408
    @kingaadynadhir74082 жыл бұрын

    Assalam aleykum Ndugi zangu mm nauliza jee kalenga ya hijriya maulamaa pia waliikhtilifiana mbona mambo ya waislamu leo yawe tafauti na waislamu munatuambia nkitu kimoja

  • @medimisi6930

    @medimisi6930

    2 жыл бұрын

    Njaa ndio tatizo

  • @abdallaali9272
    @abdallaali92722 жыл бұрын

    Maneno yako yamefuatana kwa usahihi umezugumzia hitoria ya mtume kidogo maimamu kido .umenifungua kichwa shekhe

  • @TheZanzibarstonetown
    @TheZanzibarstonetown2 жыл бұрын

    Sheikh mkienda maka mbona hamsimami mwezi ya nchi yenu

  • @Shammy-rn3tn

    @Shammy-rn3tn

    2 жыл бұрын

    Hukamuelewa Sheikh. Sasa uko hija vipi ufananishe na nyumba ni kwenu ilhali uko Saudis?

  • @mwanakombohajiali9397

    @mwanakombohajiali9397

    2 жыл бұрын

    Sasa huk kwen ni saudia

  • @Shammy-rn3tn

    @Shammy-rn3tn

    2 жыл бұрын

    @@mwanakombohajiali9397 nikuulize swali dogo tu dadaangu. Hii mitàndao inayotufànya tukajua Saudis leo na sasa hivi watu wqko arafa hata kuwaona moja kwa moja. Je miàka ya 60 na kurudi nyuma waislamu walijuaje mwezi 9 hapa kwetu?

  • @medimisi6930
    @medimisi69302 жыл бұрын

    Shekhe wa BIDAA kubwa.halafu unamfuata utamuamini vp anachokisema halafu wanachuoni wengi wamesema mwezi ni mmoja kuliko wanaosema kila sehemu na mwezi wake.

  • @mwanakombohajiali9397

    @mwanakombohajiali9397

    2 жыл бұрын

    Ww ulokuw khalif wa mtum co bidaa bc let maelez ya kwak

  • @medimisi6930

    @medimisi6930

    2 жыл бұрын

    @@mwanakombohajiali9397 wanaweke wengi hasa wa zama hiz huwa wanafuata tu mkumbo.ila aliowarehemu allah.nakuombea kwa Allah akuongoze kwenye haki na uzichukie BIDAA,itikia aamin

  • @ibnsefu9764
    @ibnsefu97642 жыл бұрын

    Tafsiri hili neno kwa Kiswahili ama kizungu يَوْمِ عَرَفَةَ ... Wacha kupotosha ummah kwa sababu ya njaa

  • @abrahamanalliy2115

    @abrahamanalliy2115

    2 жыл бұрын

    ACHA UPUUZI WEWE HIZO NI NJAA ZINAKUSUMBUA. NENDA UKAPIGE GOTI USOME MUPUUZI WEWE

  • @mwanakombohajiali9397

    @mwanakombohajiali9397

    2 жыл бұрын

    Nyny mloxoma tupeni elimu muctukane watu

  • @ibnsefu9764

    @ibnsefu9764

    2 жыл бұрын

    @@abrahamanalliy2115 Nenda Ukasome.. قَالَ وَسُئِلَ عَنْ صَوْمِ يَوْمِ عَرَفَةَ فَقَالَ ‏"‏ يُكَفِّرُ السَّنَةَ الْمَاضِيَةَ وَالْبَاقِيَةَ ‏" Naambiwa mwalimu wako afahamishe Watu hiyo Hadith.. km kweli anamuogopa Allah na aalingabia haki

  • @ibnsefu9764

    @ibnsefu9764

    2 жыл бұрын

    @@mwanakombohajiali9397 Elimu ndio hii..... @Abrahaman Alliy Nenda Ukasome.. قَالَ وَسُئِلَ عَنْ صَوْمِ يَوْمِ عَرَفَةَ فَقَالَ ‏"‏ يُكَفِّرُ السَّنَةَ الْمَاضِيَةَ وَالْبَاقِيَةَ ‏" Naambiwa mwalimu wako afahamishe Watu hiyo Hadith.. km kweli anamuogopa Allah na aalingabia haki

  • @mwanakombohajiali9397

    @mwanakombohajiali9397

    2 жыл бұрын

    Nikasome wap na ww ndo sheikh amby co mpuuz na wal hauna njaa na umeshapig magoti kwa iyo icho ulichokipigia magoti tupe na cc sheikh

  • @shaythabdul2717
    @shaythabdul27172 жыл бұрын

    Huna hoja kaa kimya Kisha usome Kwanza

  • @binumeir2873

    @binumeir2873

    2 жыл бұрын

    Adabu ikuvae

  • @omarkhamis4804

    @omarkhamis4804

    2 жыл бұрын

    Hoja iko hapa Mtume alifunga Arafa na kutoa idd kwa kutizama wapi???

  • @mwanakombohajiali9397

    @mwanakombohajiali9397

    2 жыл бұрын

    Ww mwenye hoja ilete tukuckie na ww

  • @ibnsefu9764
    @ibnsefu97642 жыл бұрын

    So... Inamaana kwa wale.wsnye kufunga yawmul Arafah, kwa kisimamo.cha mahujaji na wenye kufunga kwq kumfwata muandamo wa Mwezi WA siku ya 9. Ni yupi atapata nafasi ya kupata msamaha wa ALLAH Mtukufu, wa mwaka uliopira na ujao.. na ALLAH Mtukufu, hushuka mchana wa siku ya kisimamo cha Arafah ama ni siku ya 9 ya Mwezi WA Dhull Hijjah...????

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan47482 жыл бұрын

    Arafa ni moja tu hakuna arafa ya africa

  • @hamzarijal9093

    @hamzarijal9093

    2 жыл бұрын

    Inaonyesha kuwa Uislamu ni Primitive Religion imekuja kuwa Rescue na Technology kwahio kila miaka ikenda Technology inavyi advance na Uislamu utakuwa mgogoni, Astaghfirullah tuwacha ushabiki tukae na Principle. Mie siwaangalie kina Ibni Baaz wala Uthaimini naangalia wale waliotangulia ndani ya Karne 3 bora. Sasa Arafa huku kwetu tume turn Clock ahead sasa tunairejesha nyuma. Sidhani hii ni kitu cha kutugawa ila Shetani ndio ana play his role. Jaribu ulioandika Arafa mmoja umesoma dini yako? Tusijiingize kwenye ushabiki bakia na unachokiamini sio ku propagate usichokifahamu. Leo Uislamu umeingia ubishi kama wa mpira Uislamu umesimama kwenye Principle. Maadui wa Uislamu wanasikia raha kwa Ujinga uliotuzunguka. Fatawa ya Ibny Taymiyah ukiisoma utafahamu kitu gani maana ya hii Arafa na kuandama kwa mwezi. Leo watu wanatafuta umaarufu kwa masaala haya unatamani kuona watu wanayashapupalia masuala ya Umoja wa Kiislamu, kuona mashaka ya Phalastein, Syria, Somali, Yemen namna Waislamu walivyokwenye idhilali. Uislamu kuondokana na dhiki tulizonazo ikiwa nchi tajirini za Kiislamu, leo Waislamu tunakebeheyana tunatukanana kwa vijisiwala visiokuwa na msingi.

  • @TheZanzibarstonetown
    @TheZanzibarstonetown2 жыл бұрын

    Watu wa mataifa yote arafa wakiwa makka wanasimama siku moja mataifa yote

  • @omarkhamis4804

    @omarkhamis4804

    2 жыл бұрын

    Mtume alifunga vipi ndio swali na ndyo Sunnah

  • @medimisi6930

    @medimisi6930

    2 жыл бұрын

    @@omarkhamis4804 cku waliposimama arafa watu yy hukuenda akafunga.na cku alipoenda hakufunga. Na alisema FUNGENI cku ya ARAFA sio FUNGENI ARAFA.

  • @jumafaki2891

    @jumafaki2891

    Жыл бұрын

    Wanasima pahali Gani mchini mwao hata kama ni usiku

  • @hyasintajoseph2589
    @hyasintajoseph25892 жыл бұрын

    Kwan Africa mashariki na studio tumepishana vipi katika masaa?

  • @rosemery542
    @rosemery5422 жыл бұрын

    Sheikh ni kweli kila nchi iangalie mwezi wake. Mwezi ni huo huo tutaona siku Moja lakini wakati tofauti. Sheikh mnawafanya watu wanafunga siku ya idd imbayo ni haram. Ili kutatua hili tatizo waiteni wataalamu wa jiografia wawaeleze kuhusu mwezi. Japan wako mbele saa SITA siku ni hiyo hiyo. Sheikh jitahidini Wallahi adhabu ya Allah

  • @fatoomalsarai1485

    @fatoomalsarai1485

    2 жыл бұрын

    Wewe kula sisi tuacheee na nchi yetu tuna funga kwa kuona mwezi

  • @rosemery542

    @rosemery542

    2 жыл бұрын

    Waiteni wanajiorafia kesho mbele ya Allah hutaweza kujitetea kwani suluhu nimeshakwambia

  • @mwanakombohajiali9397

    @mwanakombohajiali9397

    2 жыл бұрын

    Ww kula

  • @rosemery542

    @rosemery542

    2 жыл бұрын

    @@mwanakombohajiali9397 sawa mimi nimekula lakini siku ya kinyama utajibu namimi ni shahidi wewe ukukataa kusukia

  • @mwalimumuhidini1544

    @mwalimumuhidini1544

    2 жыл бұрын

    @@rosemery542 wewe unachekesha Sana yaani unakosoa wasomi wewe hujui hata kuandika hivi kinyama ndo kitu gani Mimi nafahamu neno qiyama na si kinyama

  • @ibnsefu9764
    @ibnsefu97642 жыл бұрын

    Lau ungelifahamu hili nano يَوْمِ عَرَفَةَ lillioko Katika hadith ya Mtume Muhammad, iliyopokelewa na Abu Qatada Ansari... Usinge angaika kupotosha ummah kwa kwa kuwachaa maneno ya Mtume Mtukufu na kutegemea maneno ya Wanachuoni

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma76162 жыл бұрын

    Mcheni Allah wacheni kitetea makundi Arafa itabaki kua siku ya arafa yaani watu wanaposimama arafa wala si mwezi 9 mwandamo wa kila nchi kwani tarekh ya kiislam imeanzia kwa mwezi upi wa kenya au wa tz ? Funga ya mwezi 9 iliondoka mara tu mtume alipofaradhishiwa hijja na kua funga ya arafa zipo hadithi nyingi zinazoonyesha juu ya hili mf hadirhi ya bb aisha na mgeni aliyekaribishwa maziwa hadithi ni ndefu ila mwisho alimwambia siku ya arafa ni ile ambayo imam ametangaza sio mwezi sababu huyu mgeni alikotokea ilikua tayari ni mwezi 10 ni kisa maaruf msibabaishe watu

  • @mwalimumuhidini1544

    @mwalimumuhidini1544

    2 жыл бұрын

    Mimi nisaidieni suala hili na sipo kiubishani lakini ni suala lenye kichwa na miguu ....hivi kabla ya kuja teknologia Kama vile simu compyuta TV na redio watu walijuaje Kama makka watu leo wamesimama?na walifunga arafa kwa kuzingatia kitu gani nisaidieni kila atakaesoma comment yangu tafadhali

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid32442 жыл бұрын

    Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana siku Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama SIKU ya ARAFAH." Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: "SIKU ya ARAFAH, huteremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni." Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya SIKU ya ARAFAH Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata." [Muslim] Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika SIKU ya ARAFAH.” [At-Tirmidhiy] Hadithi zote zinasema tufunge SIKU ya ARAFAH, sio mwezi tisa. Arafah inapatikana Saudia tu.

  • @kassimsleyman8594

    @kassimsleyman8594

    2 жыл бұрын

    Suali,Funga ilikuwepo kabala ya kufaradhishwa hijja!je kabla yahapo walikua wakifuata arafa ipi?

  • @abubakarmuhammadsaid3244

    @abubakarmuhammadsaid3244

    2 жыл бұрын

    @@kassimsleyman8594 Suali hilo unazikosoa Hadithi za Mtume!?

  • @omaar5693

    @omaar5693

    2 жыл бұрын

    Watu wanakomaa tu,,, Mimi binafsi ramabhani nafunga mwezi wa uswahilini kwa sababu mwezi ni siku 29 ile ya 30 ndio hitilafu (advantage) Lakini Arafa nafuata kisimamo,,, Sisi tofauti tunajitakia,,, Arafa na kwetu jua linatupiga sawa Tofauti inawahusu wachina ambao mda huo wamelele.... Nawaulisha wanaofunga mwezi 9 Walishawahi kufunga yaum Arafa?? Na wafunge arafa na mwezi 9 Na iddi 2 watazipataje?

  • @hyasintajoseph2589

    @hyasintajoseph2589

    2 жыл бұрын

    Asanta

  • @hyasintajoseph2589

    @hyasintajoseph2589

    2 жыл бұрын

    Maa shaa Allah na kisha hata kama ndo ndo tunafuata kila mtu na siku tisa yake huwa nawauliza masaa, masiku, Africa mashariki na saudia tumepishana siku ngapi? Masaa mangapi, dakika ngapi? Mie ndugu yangu ninekuelewa