UFUNDI WA SHEIKH MZIWANDA AKIIELEZEA BID'AA - SHEKH MZIWANDA

UFUNDI WA Shekh mziwanda akizungumzia bid'aa#twariqa online tv

Пікірлер: 26

  • @shabanimwinyiwiwa754
    @shabanimwinyiwiwa7542 ай бұрын

    Ufanisi mkubwa sana wa maneno Hamdulillah allah kutupa katika huu umma Shekhe na mlezi wa Masuf

  • @ramadhanitwahili6837
    @ramadhanitwahili68372 ай бұрын

    sheikh mziwanda ulivyo viongea vyote ni vizuri na asiekuelewa uyo atakua mbinafsi.

  • @user-zs6qg7ql1i
    @user-zs6qg7ql1i2 ай бұрын

    Mashaa Allah hakun wahabi alosom zaid yk never ever wote kazi upingaj tu wao n ufitinishaj na malumabn hawana elimu hat moja

  • @seifsalum3018
    @seifsalum30182 ай бұрын

    Kwel al imam shafii hakukusea masufi ni mapumbafu hayana akili hata kidogo

  • @rushu1232
    @rushu12322 ай бұрын

    Kuwa nailmu nakusoma Macca au Madina haimanishi kuwa ndio munashinda watu waulimwengu wote tafauti ufahamu wenu ni mdogo na haina baraka sikikia ilimu yenye baraka naijaza huyu sheikh Mziwanda.

  • @user-tw4nf6bv8b
    @user-tw4nf6bv8b2 ай бұрын

    Kwakua hadhira ni tupu uwezo mdogo ktk dini basi anatamba anavyojisikia Lkn anachokifanya ni balbala uwongo na khiyana fundi wa kugeuze na kupindua maneno Muhim ni hicho cha Hao wenye kukusikiliza wasome nandipo watakapo bainimiwa na Haq hiyo mnayojitahidi kyificha3

  • @shabanabdullaziz9934
    @shabanabdullaziz99342 ай бұрын

    SHEIKH JINGA KABISA HILI - Sasa mmeanza kubadilika ktk qauli zenu.

  • @mhusinigau3231

    @mhusinigau3231

    2 ай бұрын

    Kauli ipi kabadili au ujinga unao ww kwaua huelewi anachokisema. Nadhani unaelewa anachokisema ila ujinga umekutangulia

  • @huseynmaitaya9002
    @huseynmaitaya90022 ай бұрын

    Muongo we , kwanza sie hatusemi kusoma kwa njia ya marhalah ni ibada tofautisha mambo wewe , wala hatusemi asie soma kwa njia ya marhali ni mkosefu kama mnavyo sema nyinyi katika maulidi kua ni ibada na kukufurisha watu wasio yaadhimasha kama nyinyi

  • @user-ix3pl1ey6n
    @user-ix3pl1ey6n2 ай бұрын

    Yan Bado huja muelewa abudu haulla

  • @user-ju1iq1pu3i
    @user-ju1iq1pu3i2 ай бұрын

    Ikiwa sheikh Hali hiyo ,wanafunzi watakuwaje ,ni aibu Kwa mtu mwenye kujinasibu kuwa na ufasaha wa kusema ,kutetea Bidaaa

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu36562 ай бұрын

    Sheikh Mziwanda Rudi katika Haki Umri unaenda Acha Kutetea Bid'aa Kwa kuzungusha Zungusha Maneno Bid'aa ni Bid'aa tu

  • @allywaziry6419
    @allywaziry64192 ай бұрын

    Sheikh mjanja mjanja..

  • @abdullahmasakata170

    @abdullahmasakata170

    2 ай бұрын

    Namba alishatoa Mwambie Shekh wako Kama anajiweza aandae mnaqasha tuone ukweli upo wapi akhi na elimu itajipambanua yenyewe.

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u2 ай бұрын

    Wewe ngoja mzee wa kazi shkh Abuu Khaula Albajuny kiboko yako atume vimondo!!! 😂😂😂😂 ukiskia jina hilo unatetemeka tumbo mziwanda!!! 😅😅😅😅

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp2 ай бұрын

    Kwa iyo natukiazini ktk sala ya jeneza au sala ya idi nisawa mbona nia mzuri tu

  • @Harunery
    @Harunery2 ай бұрын

    Huu ndo ufundi 😂😂😂kashabomolewa kakimbia barazani

  • @abuumansoor
    @abuumansoor2 ай бұрын

    Kalaga bao na ujinga wako....Tunamshukuru Allah kuwa Masalafi...Sisi tunaona unapuyanga!

  • @shabanimwinyiwiwa754

    @shabanimwinyiwiwa754

    2 ай бұрын

    Unaelewa kitu gani sasa

  • @abdullahmasakata170

    @abdullahmasakata170

    2 ай бұрын

    @@shabanimwinyiwiwa754 Hawaelewi chochote zaidi ya mawazo yao na itikadi yao tu.

  • @mhusinigau3231

    @mhusinigau3231

    2 ай бұрын

    Wewe mtu mjinga hutamuelewa hao mashehe zako wajinga wanamuelewa anasema Nini ila ww huwezi kumuelewa wkt hao mashehe zako wenyewe wa kiwahabiya ujinga ndio unawasumbua lkn wanamuelewa anasema nini

  • @Ochuminho
    @Ochuminho2 ай бұрын

    Mnavyokosea ni kua hua mnatumia akili kuliko nukuu ya kisheria, kama itakua akili haikubali japokua ni sheria hamuikubali... Kukiwa na jambo la kisheria Rudisha sehemu ya sheria lugha peleka sehemu ya lugha... Hem wacheni mambo haya msijifanye mnajua sana lugha wakati mtume alikua fasaha kuliko yeyote.. Sasa mambo ya mafuhumu mukhaalafa mmeanza kujua ninyi leo.

  • @user-ev7dh1np3w

    @user-ev7dh1np3w

    2 ай бұрын

    Kwa maelezo hayo bakwata kwenye mwezi wako sawa?

  • @abuunaraimansalumal-shaib9260
    @abuunaraimansalumal-shaib92602 ай бұрын

    Unaongea vizuri tena kwa vituo na pia unaeleweka lakin kwa mwenye maarifa anajua sasa huendi tena kielimu sasa nahisi unatuabisha sisi tunaochota elimu kutoka kwako mzee

  • @shabanabdullaziz9934
    @shabanabdullaziz99342 ай бұрын

    SHEIKH JINGA HILI KWELI. SWALA SIO MARHALA KUANZISHWA BAADA YA SALAF BALI SWALA NI KUANZISHWA KISHA WAANZISHAJI WAKAITAKIDI NI IBADA. Wewe SHEHE lini utaelewa, akili yako ndogo sana kuliko ya mende. KILA SIKU UNAAMBIWA TOFAUTISHA KUZUSHA WA JAMBO KISHA WATU MKASEMA NI IBADA.

  • @mhusinigau3231

    @mhusinigau3231

    2 ай бұрын

    We ni mtu mjinga ktk ubora wake