Uchimbaji wa Kisima cha Maji safi Kijiji cha Mji Mwema kwa ufadhili wa ComfortAid International

Ойындар

Taasisi ya Kahatamul Anbiyaa Ikishirikiana na Taasisi ya ComfortAid International imetoa msaada wa Uchimbaji wa Kisima cha Maji safi katika Kijiji cha Mji Mwema Arusha kwa ufadhili wa ComfortAid International kupitia Taasisi ya Khatamul Anbiyaa- Arusha
awali wanakijiji hao walikuwa na shida kubwa ya maji kulingana na Jografia husika katika eneo lao walikuwa wakitafuta maji umbali mrefu sana.

Пікірлер

    Келесі