UANDAAJI SHAMBA LA MAHINDI.

Jifunze njia rahisi ya kuandaa mashimo ya kupandia Kwa zao la mahindi Ili uweze kuwa na idadi stahiki ya mimea kwenye eneo lako.

Пікірлер: 12

  • @amanichanga3448
    @amanichanga34483 ай бұрын

    Duuh so hapo kwa heka moja si kuna kukesha 😂, by the way kila kitu kizur kinahitaj jitahida zaid

  • @MteleShadia-lc6gi
    @MteleShadia-lc6gi8 ай бұрын

    Vizuri snaa minja kilimo unaeleweka vizr snaa kwa elimu nzuri

  • @emanuelminja2023

    @emanuelminja2023

    8 ай бұрын

    Shukuran sana bwana Mtele endelea kutufatilia Kwa mambo mengi mazuri. Kwa upendo USIACHE kushare video zilizokupendeza Ili na wengine wapate maarifa haya hadhimu kabisa.

  • @user-tq6st3gz5f
    @user-tq6st3gz5f4 ай бұрын

    Huo msitari uliochimba una mashimo mangapi

  • @alfrednyamnini7352
    @alfrednyamnini73525 ай бұрын

    Shamba lako chafu

  • @emanuelminja2023

    @emanuelminja2023

    5 ай бұрын

    😂😂🙏

  • @johnjulius2531
    @johnjulius25317 ай бұрын

    Kaka jitahidi sana kutumia camera nzuri ili ujumbe wako ufike vzuri

  • @emanuelminja2023

    @emanuelminja2023

    7 ай бұрын

    Sawa kaka tutaimprove huu ni mwanzo

  • @user-tq6st3gz5f
    @user-tq6st3gz5f4 ай бұрын

    Swali langu ni :huo msitari mmoja wa heka unatakiwa kuwa na miche mingapi na kwa heka kuna hitaji jumla ya miche mingapi? Msaada

  • @emanuelminja2023

    @emanuelminja2023

    4 ай бұрын

    Mashimo mangapi Haina maana sana cha msingi zingatia nafasi za upandaji kati ya mche na mche

  • @user-tq6st3gz5f

    @user-tq6st3gz5f

    4 ай бұрын

    Kaka unaweza weka namba nikupigie unielekeze vizuri

  • @emanuelminja2023

    @emanuelminja2023

    4 ай бұрын

    0784013400