TUNDA MAN: MATONYA ALINITELEKEZA NCHI ZA WATU KISA UMAARUFU | MABAUNSA WAKANITIMUA | SNR

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#SNR #tundaman

Пікірлер: 22

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa7594 ай бұрын

    Tunda man moja ya legend sana hapa bongo big up bro

  • @PaulJuma-bj7jb
    @PaulJuma-bj7jb4 ай бұрын

    Sana tunda

  • @badmanno.1650
    @badmanno.16504 ай бұрын

    Kwani Mombasa kuna nini mbona mnatuonea sana ?? Tz mashoga kibao tena ni mastar kabisa na mnawajua ila kila mkitaka kutaja ushoga mnaunasibisha na Mombasa.. makosa.

  • @ruu6592

    @ruu6592

    4 ай бұрын

    Nawashangaa akati dar ndio kwenyewe 😂

  • @yahyamohamed1831

    @yahyamohamed1831

    4 ай бұрын

    Kweli kabisa. Hao wanasema hivyo ili kuficha yao

  • @BONGOINMOTION

    @BONGOINMOTION

    4 ай бұрын

    Wataje hao wasanii

  • @bakariomari8758

    @bakariomari8758

    4 ай бұрын

    Kwa kweli tena wawazi wazi kwenyw masherehe wanaonekana na hadi mitandaoni

  • @yahyamohamed1831

    @yahyamohamed1831

    4 ай бұрын

    @@BONGOINMOTION unawajua wewe hao wanaoimba nyinmbo za mpalange tu🤮

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph4054 ай бұрын

    Broo mkipost andikeni pat ngapi bas ,londom inazingua ,unaanza kipande cha pili kabla ya mwanzo

  • @dar24media

    @dar24media

    4 ай бұрын

    sawa sawa hapana shaka kaka

  • @hezronjoseph405

    @hezronjoseph405

    4 ай бұрын

    @@dar24media respect nawakubar

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz4 ай бұрын

    Tunda acha kutupa lawama kaka. Sio kila situation ni ya kuongea kwenye mídia kaka

  • @nashnene6326
    @nashnene63264 ай бұрын

    Hili nalo, hoviooo! Kwanza huna nyota

  • @jameskilasa759

    @jameskilasa759

    4 ай бұрын

    Lakin si unamjua au humjui?

  • @rynesalewa7043

    @rynesalewa7043

    4 ай бұрын

    ​@@jameskilasa759umempa jibu zuri,yan kuna mijitu ina chuki za waz waz kabisa,huu ni wivu una msumbua hovyo 😏😏😏

  • @Peterchila-un2lx

    @Peterchila-un2lx

    4 ай бұрын

    Wewe una nyota mfirwaji wewe

  • @yudadaniel4867

    @yudadaniel4867

    4 ай бұрын

    ndio maana kuandika ujui

  • @rajenderrobert8605

    @rajenderrobert8605

    4 ай бұрын

    Tunda Man ameongelea Mombasa. Ni kweli Watanzania tulielezwa story na hadithi nyingi za kuuogopesha sana sina uhakika kama ilikuwa kweli

Келесі