The Diaspora Chat: Unataka kwenda kuishi Norway? Hizi ndio hatua za kufuata na mambo ya kujiandaa

Bonyeza link hii kutembelea channel ya From Tanzania to Norway
/ @fromtanzaniatonorway
HATUA ZA KUFUATA ILI KWENDA NORWAY
Hatua ya kwanza kabisa ya kufanya ni kujiandikisha taarifa zako zote kwenye website hii
selfservice.udi.no/
Mwisho kabisa baada ya kujiandikisha, ni kulipia application yako:
Ada za applications ni kama ifuatavyo
Mwanafunzi-1.2M
Mtalii -200,000
Au pair -2.1M pia kurenew
Family reunion - kwa mara ya kwanza, 2.6M
Kazi-1.6M
Baada ya kulipia utapata kuingia kwenye website yao ya uhamiaji ili kutafuta taarifa na karatasi ambazo utatakiwa kuwasilisha ubalozini
Linki ya website yao ni hii:
www.udi.no/en/
Kuhusu scholarships, tembelea link hizi kwa taarifa zaidi:
www.afterschoolafrica.com/sch...
www.studyinnorway.no/Tuition-...
www.studyinnorway.no/
Au-pair kuna website nyingi, mojawapo ni
www.aupairworld.com/en
Link ya wizara ya afya na kuomba:
www.helsedirektoratet.no/engl...

Пікірлер: 178

  • @alsam4881
    @alsam48813 жыл бұрын

    Hayo maisha ya huko ulaya ya kutokujuwana,kuzoweana na kuingiliana na watu ni mazuri sana, kwa sababu hakuna chuki, wivu wala majungu kwa watu kama huku kwetu bongo.

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi76075 ай бұрын

    Kujifunza lugha ni sawa hutaelewa unachofanya unaweza kuharibu kazi

  • @MWAMALUMBILI
    @MWAMALUMBILI3 жыл бұрын

    Kusafiri kwa minajiri ya kujifunza maisha ni jambo lakuhimizwa wa watanzania. Kuna watu humu wanawaza kuwa wakimbizi. Ukishakuwa hivyo ndiyo, umepoteza uhuru wako! Huwezi kutembea popote bila vibali. Pia hutaweza tena kurudi Tanzania bila kuuathiri ukimbizi wako.

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Ni kweli kabisa, wakimbizi wanapata shida sana hata wakiwa kwenye uhuru au nchi nyingine

  • @MWAMALUMBILI

    @MWAMALUMBILI

    3 жыл бұрын

    @@FromTanzaniatoNorway kuna wanasiasa wakimbizi Tayari wanajuta. wameukimbia uhuru Tanzania wakiamini kifungo cha korona ULAYA ndiyo salama yao. Ni upumbavu.

  • @salmsalmo931

    @salmsalmo931

    2 жыл бұрын

    Upo ulaya

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele3 жыл бұрын

    WATANZANIA YAANI TUKO NYUMA SANA. UKIANGALIA TU WENZETU WA KENYA WAKO KILA NCHI DUNIANI NILIKUWA UINGEREZA WAKENYA WALIKUWA KIBAO, NIKO CANADA SASA WAKENYA KIBAO YAANI WATANZANIA NI WA KULUMANGIA WAKUTAFUTA KWA TOCHI WATANZANIA HATUKO AGGRESSIVE AT ALL ELIMU YETU NI MBOVU SANA NA WAOGA SANA

  • @zuleikhakhamis3303

    @zuleikhakhamis3303

    3 жыл бұрын

    na ukimuona ni fitna tupu mn hatupendani

  • @africanbellatherealtalk

    @africanbellatherealtalk

    3 жыл бұрын

    Nadhani pia ugumu wa kupata visa unachangia watz kutokuwa wengi kama other African countries.

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Kweli wakenya wako wengi sana kila sehemu na ni kwa sababu ya udadisi wao na kuzingumza kiingereza

  • @shelinswai3926

    @shelinswai3926

    3 жыл бұрын

    Kweli watz niwaoga

  • @hassanisadiki824

    @hassanisadiki824

    3 жыл бұрын

    Akuna cha Elimu hapo, tatizo watanzania hatupendani ni ngumu kumpa mtu Fursa za huko

  • @aminakupila3079
    @aminakupila30793 жыл бұрын

    Haya Dada Alice Mtui umefanya kazi nzuri kuwaelewesha watanzania wenzetu Mimi niko Finland 🇫🇮 nimekaa hapa miaka 14 jirani yako next time sky nitafute nami nikupe Khabari.

  • @kamelharry1713

    @kamelharry1713

    3 жыл бұрын

    Hey nikaribishe nije nkutembelee huko uliko

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Aminaaa, nasubiria interview dada

  • @aminakupila3079

    @aminakupila3079

    3 жыл бұрын

    @@FromTanzaniatoNorway let’s hope Sky na Baby Sky wakipendelea.

  • @salmsalmo931

    @salmsalmo931

    2 жыл бұрын

    Upo ulaya

  • @salmsalmo931

    @salmsalmo931

    2 жыл бұрын

    Unafanya kazi za ndan

  • @zahrayusuf5985
    @zahrayusuf59853 жыл бұрын

    Ukweli people don't say the truth lots of people wameingia kama wakimbizi na wamejifanya wametoka nchi xilizokuwa na vita kama Somalia,Congo,Burundi n.k wachache kama wanafunzi halafu wamezamia. So is not easy like wanavyosema and watu hawasemi ukweli from how they come to what they are doing for living

  • @shukuruilomo768
    @shukuruilomo7682 жыл бұрын

    Ahsante Sana umenipa mawazo mapya

  • @GlowCharls
    @GlowCharls3 жыл бұрын

    Thanks for elaborating further Alice. In 2013-2014 Scandinavian countries zilikuwaga hot cake sana kwa scholarships and job opportunity I remember. And to join recognized university you have to come from recognized university. They also have a system ambayo they can retrieve all that information huku kwetu.

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Thanks so much too for your input love

  • @alainmubalama1365
    @alainmubalama13653 жыл бұрын

    Asante ro

  • @sarahmusabrand5859
    @sarahmusabrand58593 жыл бұрын

    Jamani umekosha maana ndio ndotoangu

  • @stellapeter2282
    @stellapeter22823 жыл бұрын

    Huyu dada ameelezea vizuri sana jamani.

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Thanks a lot sis

  • @africanbellatherealtalk
    @africanbellatherealtalk3 жыл бұрын

    Thanks Alice kwa kutuelewesha hope waliokuwa wanauliza namna ya kwenda Norway itawasaidia sana.Thanks kwa Sns pia👏

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Yaay thanks hun, i hope so too

  • @bikolivenance8407

    @bikolivenance8407

    2 жыл бұрын

    tupe namba zako za watsapp

  • @bikolivenance8407

    @bikolivenance8407

    2 жыл бұрын

    tupe namba zako za watsapp

  • @rosa629
    @rosa6293 жыл бұрын

    Asante sana Alice dear, ni kweli wanasema nje nyumba ni ghali sana,

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa19353 жыл бұрын

    Huku Austria ni kugumu kuingia labda uje kama mtalii ukitaka kuja kukaa mpaka uoe au uolewe sababu hatuna embassy yao Tanzania huko kenya 1🇦🇹🇦🇹🇹🇿🇹🇿

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita3 жыл бұрын

    Hahaha girl, kweli kabisa kuhusu maisha ya ng'ambo yani usitegemee mtu kukuzoea kirahisi. Friendliness yetu inabaki TZ.

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Kweli kabisa

  • @harunsarafu508
    @harunsarafu5082 жыл бұрын

    Mpaka mnakera watanzania mnapenda sana sifa kutoa story sijuwi nini mtu akikuuliza swali nataka kuja uko una lala mbele Sasa mnafundisha watu waumie au wasikilize Mada zenu.Watanzania mnao ishi uko ulaya MNA roho mbaya yaani.mpo tofauti na wakenya wacongo Nigeria.wabongo mnapenda sifa sana

  • @asiasalim4634
    @asiasalim46343 жыл бұрын

    Okay sister nakusiliza maisha bongo sio

  • @mohamediomari1614

    @mohamediomari1614

    3 жыл бұрын

    Maisha ya bongo jau😂😂😂😂😂😂

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Maisha bongo mazuri sana, nje pia ni mazuri ikiwa umepat opportunity nzuri

  • @lillianeriksson8183
    @lillianeriksson81833 жыл бұрын

    Nimekaa norway for 7yrs mshahara ni mkubwa hila maisha ni ghali sana,kwa mtanzania kuja norway kufanya kazi ni ngumu sana,maana Tanzania hakuna vita

  • @MWAMALUMBILI

    @MWAMALUMBILI

    3 жыл бұрын

    Kuna watu walitaka kutuharibia nchi yetu ili tu kuingiza nchi yetu ktk vigezo hivyo. Upuuzi mtupu.

  • @ChoroTesla

    @ChoroTesla

    2 жыл бұрын

    @@MWAMALUMBILI huu ulioandika ni upumbavu

  • @salmsalmo931

    @salmsalmo931

    2 жыл бұрын

    Bado upo norway

  • @rose_Winchester86

    @rose_Winchester86

    2 жыл бұрын

    Je mtu akipata mchumba wa norway akaja kuishi nar huko bado ni ngumu kupata kazi?

  • @aminakupila3079
    @aminakupila30793 жыл бұрын

    Mimi ni shabiki mzuri wa Sns toka sky mmeamzisha kabla hamjabadilisha Jina nawapenda sana na baby sky wako.

  • @stevenlugojeremia2323

    @stevenlugojeremia2323

    Жыл бұрын

    Mambo Amina habari za masiku

  • @aminakupila3079

    @aminakupila3079

    Жыл бұрын

    @@stevenlugojeremia2323 nzuri🙏

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 Жыл бұрын

    Alice habari yako, ninaye mtoto wangu anayo ndoto ya kusomea vocational school Norway , amemaliza kidato cha nne na anapendele kusomea mechanical engineering

  • @Hassanali-ck1wu
    @Hassanali-ck1wu3 жыл бұрын

    yani uyuu dada anaongea kwa confidence kabisa

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    hahaa asante Hassan

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty3 жыл бұрын

    Norway,canada,Finland pesa yan mabye huwe mvivu tu wakufanya kazi pesa ipo

  • @msalikemedia

    @msalikemedia

    3 жыл бұрын

    Tatizo kupata kazi hata hio ya ndani ni ngum kweli

  • @hassanibrahmu8973

    @hassanibrahmu8973

    3 жыл бұрын

    Nimehangaika miaka mingi lkn cjafanikiwa bahati cna

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi76075 ай бұрын

    Hiyo kuuliza hela gapi kwenye benk na nyumba ni ulaya zima dada yangu

  • @Mukamba254
    @Mukamba254 Жыл бұрын

    Nigependa kuishi Na kufanya Norway

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele3 жыл бұрын

    An is an unmarried young adult aged 18 to 30 years, who has no children and travels to a foreign country for a period of time to live with a host family. The supports the host family with childcare and light housework. ... However, the is neither a housekeeper, nor a . KIFUPI NI DADA WA KAZI, YAYA

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Asante sana kwa maelezo. Napenda kuongeza pia wakaka wanaweza kuaplai

  • @user-un3df1sl2h
    @user-un3df1sl2h3 жыл бұрын

    Yani ungeongea kiswaili bila kuchanganya luga ingekuwa vizuri sana mana wengine atuelewi

  • @kokolete

    @kokolete

    3 жыл бұрын

    Dads huelewi utaingiaje Ulaya?maana siku hivi wana fanya English test/lugha ya hiyo nchi na niyakuongea..

  • @juniorvanmaanen5042
    @juniorvanmaanen50423 жыл бұрын

    Ukweli unaanza kuomba ukimbizi ili upate paper awo uyingiye kama mwanafunzi ndio unaweza pata werk parmit

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Kuna waliojaribu ila waligundulika baadae na walikuwa wameshaanzisha na familia, walirudishwa nchini kwao siku hiyo hiyo

  • @francisaban3873
    @francisaban38733 жыл бұрын

    Kuna aina tatu za kuingia ulaya, family reunion, student visa, tourist visa ambayo huruhusiwi kufanya chochote. Nice vizuri family reunion na students visa. Kuhusu kazi za ndani ni ngumu sana kwa sababu hawataweza kukulipa

  • @salmsalmo931

    @salmsalmo931

    2 жыл бұрын

    Upo ulaya

  • @francisaban3873

    @francisaban3873

    2 жыл бұрын

    @@salmsalmo931 yah..nipo ulaya

  • @salmsalmo931

    @salmsalmo931

    2 жыл бұрын

    Samahan hamu yangu kuja huko unafanya kaz fan?

  • @francisaban3873

    @francisaban3873

    2 жыл бұрын

    @@salmsalmo931 nafanya kazi

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi76075 ай бұрын

    Dada muongee koswahili bwana tunakumbuka lugha yetu

  • @amirimuhsin560
    @amirimuhsin560 Жыл бұрын

    Oya dada usiongee sana kizungu bhana hatuelew

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga35353 жыл бұрын

    Kuna jamaa yangu hapo Oslo Anaitwa ackson mukumba Sky mfanyie interview atupe madin nae

  • @hassanisadiki824

    @hassanisadiki824

    3 жыл бұрын

    Madini gani bab, fanya tuondoke

  • @Jeff_Tz

    @Jeff_Tz

    3 жыл бұрын

    @@hassanisadiki824 😀😀😀

  • @misshappymonyo4802
    @misshappymonyo48023 жыл бұрын

    FURSAAAA 👏🏼👏🏼👏🏼

  • @khamisjuma39
    @khamisjuma392 жыл бұрын

    Unaza ukanisaidia nipate kazi dad

  • @elizabethsakina9987
    @elizabethsakina99873 жыл бұрын

    Watu ambaho mnasema ulaya watu wanaosha vyoo ni uongo it depends kama haujuwi lugha ndiyo unafanya kazi kama izo ila once you know English huwezi kuosha vyoo kama apa America ili maisha yako yawe raisi inakubidi ujuwe lugha na ku drive once ukijuwa ivyo akuna shida na opportunities ni nyingi za maisha so kama uko a lazy person njo utaosha vyoo lakini

  • @damariszuckschwert9489

    @damariszuckschwert9489

    3 жыл бұрын

    Kuosha vyombo pia mishahara yao inawazidi mainjinia bongo

  • @tausially225

    @tausially225

    3 жыл бұрын

    Mi nataka hata hiyo ya vyombo please I can do that

  • @tausially225

    @tausially225

    3 жыл бұрын

    Nifanyie connection 👏

  • @boballymote7586
    @boballymote75863 жыл бұрын

    Yupo sahihi kabisa ila kuna swala la ndoa unaweza ukaja ukatembea au mkafunga ndoa lakini lazma urudi kwenu alafu ndio unakuja tena au muwasiliane aje mfunge ndo mufatilie process alafu unakuja watching from sweden🇸🇪

  • @salmsalmo931

    @salmsalmo931

    2 жыл бұрын

    Upo ulaya

  • @boballymote7586

    @boballymote7586

    2 жыл бұрын

    @@salmsalmo931 yap

  • @boballymote7586

    @boballymote7586

    2 жыл бұрын

    @@salmsalmo931 minya hio picha ucheki video zangu

  • @peninasimwanza444
    @peninasimwanza444 Жыл бұрын

    Tz nchi yangu🥺🥺🥺🥺watanzania tunashindwa kusaidiana

  • @africangirl189
    @africangirl189 Жыл бұрын

    Wish it was in English 😂 concentration ingekua juu kidogo

  • @frankgeorge6034
    @frankgeorge60343 жыл бұрын

    Hiyo 2.1M ya au pair ni cost za ada pamoja na kurenew au imekaaje?

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga35353 жыл бұрын

    Kumbe Bro sky we ni kadogo ivyo Yan kwa wenye matatizo ya macho hawakuoni😆😆😆😆😆

  • @frankgeorge6034
    @frankgeorge60343 жыл бұрын

    Je unapokuwa unafanya application na ukalipia ada,mfano kama mm nahitaji au pair; naomba uniambie je upo uwakika wa kupata hiyo kazi kwa 100% au ndio ukikosa hiyo nafasi unarudishiwa ada yako? Naomba jibu dada

  • @samsondenis8905
    @samsondenis8905 Жыл бұрын

    Naomba link ya host family dada

  • @user-nt4mp3fo1t
    @user-nt4mp3fo1t4 ай бұрын

    Dada kama una ndugu yuko huko utaenda kuishi nyumbani kwake

  • @annaupendo4768
    @annaupendo47683 жыл бұрын

    Ukifanikiwa kwenda ulaya popote kama mkimbizi ndoo njia nzuri na nyepesi sana huko kusaidiwa vingonevyo uta pambana au aliekuitisha atakupambania sana na inahangaishana.

  • @damariszuckschwert9489

    @damariszuckschwert9489

    3 жыл бұрын

    Nani alikudanganya kwenda ulaya kama mkimbizi ni rahisi? Wanapitia magumu yao mengi tu hata wengine hujiua.,msiongee vitu vya kubuni

  • @deuskusaga8156
    @deuskusaga8156 Жыл бұрын

    Hiyo hopea inaandikwa vip?? Nisaidie spelling zake

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele3 жыл бұрын

    WANACHUKIA WATU HASA WAAFRIKA LAKINI HAWASEMI NI WABAGUZI, MIMI NAINGIA KWENYE BUS HAPA CANADA HAKUNA HATA SIKU MOJA MTU MWEUPE ANAKUJA KUKAA NA MIMI YUKO RADHI KUSIMAMA HATA KAMA KITU CHANGU KINA NAFASI YA KUKAA NI WABAGUZI NA KUHISI WAAFRIKA WANA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA THAT IS FACT PERIOD

  • @SimuliziNaSauti

    @SimuliziNaSauti

    3 жыл бұрын

    Duuh! Very sad, pole sana kwa changamoto hiyo. Tutumie email kwa info@snstz.com ili ikiwezekana tukualike kwenye kipindi ushee experience hiyo

  • @ilovejesus9303

    @ilovejesus9303

    3 жыл бұрын

    Na wewe unaosha vyombo huko? Maana naona umemjibu mtu kuwa wanaosha vyombo

  • @slayingtee6044

    @slayingtee6044

    3 жыл бұрын

    Hiyo ni kawaida hata huku China wabaguzi

  • @fatemaligalawa1918

    @fatemaligalawa1918

    3 жыл бұрын

    @@ilovejesus9303 yule sioamemjibu bari amemkejeri

  • @ashurahamisi8577

    @ashurahamisi8577

    3 жыл бұрын

    Unajua Nina mpango mwakani Kama corona imepungua na mm nataka kutafuta nafasi ya kuja Canada ,Poland au Noway inshallah basi tuambizane taratibu za kuingia kwa wenzetu manaojua

  • @najmaalbajun4686
    @najmaalbajun46863 жыл бұрын

    Mm mwenyewe nataka kwenda uko kufanya kazi ata za ndani tu

  • @rahmaally2913

    @rahmaally2913

    3 жыл бұрын

    Twende wote mwenzangu😂😂😂

  • @elmasroj9712

    @elmasroj9712

    Жыл бұрын

    Kama mimi hapa

  • @nyamkamawanjara29
    @nyamkamawanjara293 жыл бұрын

    Nani anamwona sky

  • @fatemaligalawa1918

    @fatemaligalawa1918

    3 жыл бұрын

    Mm nimemuona

  • @juniorvanmaanen5042
    @juniorvanmaanen50423 жыл бұрын

    Dada acha kudanganya watu uku ulaya sio warabuni.

  • @user-un3df1sl2h

    @user-un3df1sl2h

    3 жыл бұрын

    Embu tueleweshe nawewe basi

  • @charlescosmas7823
    @charlescosmas78233 жыл бұрын

    Elezea vyema basi unaongea ngeli za nomini nying wengn unatuacha bhnaaa.... Afu ttz viza iyo nalo mjue

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Pole sana, next time nitazidisha kiswahili

  • @Kenchiyh
    @Kenchiyh3 жыл бұрын

    Kweli na hii Corona saivi kuja sio raisi

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Corona is changing the world, thanks sisi for your input xx

  • @ndudusuleiman3480

    @ndudusuleiman3480

    3 жыл бұрын

    Namba plz

  • @Hassanali-ck1wu
    @Hassanali-ck1wu3 жыл бұрын

    brother tunaomba ututafutiee mtu anaee ishiii Sweden ufanye mahojianoo naee mna Sweden ndio pepo ya dunia

  • @msalikemedia
    @msalikemedia3 жыл бұрын

    Sasa dada hebu toa hizo dili za au per

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Hujaaplai tu mdogo wangu

  • @msalikemedia

    @msalikemedia

    3 жыл бұрын

    @@FromTanzaniatoNorway kuaplai ndio vigum kwasababu sijui niazie wapi maana sina mtu yoyote ninae mfaham ambae anaweza nipa njia

  • @charlescosmas7823
    @charlescosmas78233 жыл бұрын

    Karudi tenaaaaa...

  • @stellapeter2282

    @stellapeter2282

    3 жыл бұрын

    Mwache atupe Madini. Sky mlete tena atuelezee mengine mengi jamani.

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Thanks guys

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele3 жыл бұрын

    TATIZO NI KUWA WATANZANIA SIO AGGRESSIVE UKIMWAMBIA KITU ANATAKA UMFANYIE KILA KITU UPAKULIE TU KWENYE SILVER PLATE ALE TU WAKATI KILA KITU KIKO KWENYE INTERNET TATIZO NI ELIMU YETU TANZANIA NI MBOVU

  • @ilovejesus9303

    @ilovejesus9303

    3 жыл бұрын

    Yaani jamani tumelala. Wakenya wapo mbali Sana akili zao zinachakarika

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Kweli kabisa, asante kwa mawazo

  • @aminakawawa1935

    @aminakawawa1935

    3 жыл бұрын

    @@ilovejesus9303 wakenya wajanja sana wenzetu hata kama hajasoma wanabebana sana

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga35353 жыл бұрын

    Mimi utani take care wewe nakuja 2027 nakutegemea ccta

  • @FromTanzaniatoNorway

    @FromTanzaniatoNorway

    3 жыл бұрын

    Karibu sana kaka

  • @sylviah9666

    @sylviah9666

    3 жыл бұрын

    @@FromTanzaniatoNorway ghai! Natamani kuja kule

  • @lichou1942
    @lichou19423 жыл бұрын

    Yani mie natamani kwenda ulaya ira sinapesa 😢😢

  • @mariamdimosso621

    @mariamdimosso621

    3 жыл бұрын

    Kama ujaolewa tafuta mume utakuja kwa wepesi

  • @charlescosmas7823

    @charlescosmas7823

    3 жыл бұрын

    😂😂😂

  • @ndudusuleiman3480

    @ndudusuleiman3480

    3 жыл бұрын

    Namba pap

  • @msalikemedia

    @msalikemedia

    3 жыл бұрын

    Kwani kuingia huko kwa njia ya kufanya kazi je hata kama ya ndani hii ipoje

  • @mariamdimosso621

    @mariamdimosso621

    3 жыл бұрын

    @@msalikemedia ulaya watu wanapenda kuishi family kazi za ndani hakuna kwa mfano nnchi za Nordic wanapenda kutumia machine kufua ,kuocha vyombo na wengi wana machine za kudeki na kusafisha sakafu sasa hapo mfanyakazi wa Nini njia nyepesi huku ni kuja kusoma na upate bahati ya kuolewa maana unaweza soma siku hizi ukimaliza urudi kwenu ukaombee kazi kupitia ubalozi wa kwenu na ukiolewa na mtu wa huku unatakiwa hurudi kwenu uka apply resident permit ndio huje usitegemee ukifunga ndoa ndio unapata resident japo hutaruhusiwa kuapply ila utaambiwa ukasubirie kwenu majibu yako

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai11403 жыл бұрын

    We ukishapata kazi Tanzania uende ulaya kufanya nini?ulaya ni kugumu sana labda uende ukiwa mtoto maana Tamaduni zao ni shida

  • @edwardmkwelele

    @edwardmkwelele

    3 жыл бұрын

    SAWA KABISA HAKUNA CHOCHOTE NI USHAMBA TU UKIENDA HUKO NI KUOSHA VYOO TU

  • @zuleikhakhamis3303

    @zuleikhakhamis3303

    3 жыл бұрын

    @@edwardmkwelele acha nikurekebishe km hujasoma ni mvivu ndo utaosha vyoo mpk kwa ulimi lkn ukisoma kuzuri na unalipwa vizuri every week au every two weeks sio km Tz mshahara mbuzi mpk mwezi acha Ushamba sisi tuko ulaya na tumeenda College na University na tuna kazi nzuri alhamdulliallah

  • @zuleikhakhamis3303

    @zuleikhakhamis3303

    3 жыл бұрын

    km una kazi nzuri Tz kuzuri lkn km kazi tuu za kawaida ulaya kuzuri ulaya ni ulaya tuu apo kwenye salary munapigwa chini Tz

  • @ilovejesus9303

    @ilovejesus9303

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣 yaani nimecheka. Hizi ndio akili za Watanzania. Yaani kama unafikiria hivyo dah. Nyumbani ni nyumbani lakini toka nje uone jamani. Lakini uwe umesoma ndio utaenjoy

  • @ilovejesus9303

    @ilovejesus9303

    3 жыл бұрын

    @@edwardmkwelele ndio fikra zako hizo? Pole Sana. Lakini hata wakiosha vyombo si Kazi au???

  • @nahishakieathumani5041
    @nahishakieathumani50413 жыл бұрын

    Mimi naona kuingia ulaya naona uwingie kama mkimbizi ndio inakuwa raisi sana kwakweli ani kama mimi nilivyo ingia Europe

  • @mohamediomari1614

    @mohamediomari1614

    3 жыл бұрын

    Eeeeh umeingiajeee jamn

  • @ndudusuleiman3480

    @ndudusuleiman3480

    3 жыл бұрын

    Sasa ni ngumu kuja ulaya kwadza wenyewe wako strikly sana

  • @ashurahamisi8577

    @ashurahamisi8577

    3 жыл бұрын

    Tueleze na sisi tupate kujua maana Kama nchi yetu haina vita utaingiaje Kama mkimbizi nawao wanajua hatuna vita

  • @nahishakieathumani5041

    @nahishakieathumani5041

    3 жыл бұрын

    @@ashurahamisi8577 uku wapo ata watanzania wapo ani ani sijui ata nikwambieje lamda nikuwelekeze vizuri ashura

  • @zuleikhakhamis3303

    @zuleikhakhamis3303

    3 жыл бұрын

    @@ashurahamisi8577ulaya ukimbizi sio lazma kwenu kuwe na vita ata mumeo akiwa anakutesa ukija huku ukimripoti tuu ni ukimbizi jamani kuna ukimbizi wa aina nyingi