TAZAMA MJENGO HUU MWANZO MWISHO UNA ROOM3 ZOTE MASTER BEDROOM UKUBWA WA HII NYUMBA UNAPATA NYUMBA 2

#ujenzinafuu #ujenzi #ramanizanyumba

Пікірлер: 14

  • @Halimamchafu1174
    @Halimamchafu11742 ай бұрын

    Iko mwahaaaa❤

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula48703 ай бұрын

    Nimependa Hongera Sijaona wardrobes Au walk in closets Nitakutafuta

  • @bestmoviesever1007
    @bestmoviesever10074 ай бұрын

    kiukweli napenda mnacho kifany mnahamasisha kweli ila je,mnapokea kazi za mikoani, na je, vip kuhusu malipo yakazi yatakua makubwa kwa vile nimikoani , na je mna pokeaga simu nimepiga zaidi yasimu saba hadi sasa ila notyt hampokeagi wengi hatuitaji ramani tuna hitaji kuwapa kazikutoka chini hadi mwisho

  • @binabeid3980
    @binabeid39808 ай бұрын

    Unatisha mzee baba upo vzr sn mashaallah

  • @zuleikhaomar4657
    @zuleikhaomar46575 ай бұрын

    Nimeipenda sanaaaa

  • @user-oq8nr6tb7p
    @user-oq8nr6tb7p3 ай бұрын

    ❤❤❤

  • @mirnababy5012
    @mirnababy50128 ай бұрын

    Let's go lm proud kaka fundi🎉

  • @diyembarak5506
    @diyembarak55068 ай бұрын

    Ubarikiwe kakangu kwa kazi nzuri Sana.

  • @diyembarak5506
    @diyembarak55064 ай бұрын

    Mr house nataka kuona huu mjengo mwisho wake TAFADHALI

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya4638 ай бұрын

    Nimeikubali kaz

  • @leonardsasita4634
    @leonardsasita46345 ай бұрын

    Safi

  • @lisaBajuta-qi2bm
    @lisaBajuta-qi2bm7 ай бұрын

    Nintakutafuta

  • @akidaally2835
    @akidaally28358 ай бұрын

    Hii nyumba imetumia tofali ngapi?

  • @AalyahNassor
    @AalyahNassor5 ай бұрын

    ❤❤❤

Келесі