TABLIGH TUSOMENI KWANZA NDO TUTOKE KUTANGAZA QURANI SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA

TABLIGH TUSOMENI KWANZA NDO TUTOKE KUTANGAZA QUR AN |SHEKH MUHARARAM MZIWANDA

Пікірлер: 95

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp22 күн бұрын

    Tabligh ni mlezi wa Rika zote . vijana ,wazee, wenye elimu na wasio na elimu. Mimi namshukur Allah , kupitia Ulezii huu wa Tabligh nimejuw kusoma Qur-an yote na pia Nafundish watoto Madrasa zaid ya miaka 11 na pia namshukur Allah kunijaali kuwa mpaka sasa naendelea kufanya Amalii mbali mbali , Allah atukubalie amali zetu,

  • @mohamedhadad6008
    @mohamedhadad600822 күн бұрын

    As"alaikum wa rahmatullahi wa Barakatuh. Nishawahi kuenda Tabligh na wasomi wapo ndani na wengine wanailimishwa humo humo ndani ya Tabligh. Kuna wengi wamepata kuilimika na jazba ya kuanza kusoma. Mm nahisi hata iweje ukisifiwa pilau Tamu Tamu zaidi ya biriyani na hujawahi kula pilau umewahi kula biriyani utasema biriyani Bora zaidi. Nashari Shekhe ajitolee aende khuruj. Pia afatilie Habib Jufry ni Moja huwa anaenda Tabligh

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim19 күн бұрын

    Kutoka ni raha sana,

  • @adamhashim3352
    @adamhashim335225 күн бұрын

    Mziwanda mimi nmeandaa kundi ya siku arobain tunaenda vijijini hukooo umasaini unaonaje uunge jamaati uwasomeshe vijana huko

  • @AliAli-uv5gw
    @AliAli-uv5gw27 күн бұрын

    Allah atuongoze sote tuisome na kuielewa DINI yetu

  • @HassamRashid-o3v
    @HassamRashid-o3v29 күн бұрын

    Upo sahihi shekhe wangu ila walio kuwa na elimu wote wapo mitandaon wanabishana uyu kamlad uyu na uyukamjib mashekhe tunashindwa sis mamuma tushike kipi tuache kipi nani tumfuate nan tusimfuate mnatupoteza wanafunz wenu tunaowafuatilia

  • @medimisi6930

    @medimisi6930

    23 күн бұрын

    soma ndo utajua tofauti ya tuwi na maziwa

  • @hamzakimaro3764

    @hamzakimaro3764

    23 күн бұрын

    akisema mtu wa SUNNAH hayo mngewatukana!!

  • @ramazaniradjabu1862
    @ramazaniradjabu186223 күн бұрын

    Allah akuongoze sheikhana

  • @selemankishema5780
    @selemankishema578025 күн бұрын

    Sheikh mara nyingi ukiongea huwa unavuruga muogope Allah

  • @AbdallahMpemba

    @AbdallahMpemba

    7 күн бұрын

    Swadakta shkh

  • @abuushadykichenga1977
    @abuushadykichenga197714 күн бұрын

    Tunashukuru kwa ujumbee ila waliosoma pia hawapo tayari kabisa kuradiana wanamuachia nani Mashekh awapo tayari na imani tutasoma ukouko ila atuachi kutoka

  • @HassamRashid-o3v
    @HassamRashid-o3v29 күн бұрын

    Upo sahihi shekhe lakin Hawa wasio kuwa na elimu ndio wenye moyo wakwenda fisabilah wanao jua kila siku wanashinda mtandaon kubishana uyu 2:19

  • @nasirirashidi4350
    @nasirirashidi435023 күн бұрын

    UKlWA SHElKH SO KUJUA KILA KITU. WACHA WATU WAENDE KUNDIN WACHA UPOTOSHAJI

  • @AllyAme-h9e
    @AllyAme-h9e14 күн бұрын

    Yeah malengo ya tabligh watu wote tuwe ktk malengo ya kuubwa kwetu muda wote tuish ktk sunna ya mtume s.a.w

  • @alimau7939
    @alimau793924 күн бұрын

    Mbona nyinyi mlio soma munakaliana tu majini mukipigana raddi kama wake wenza nendeni vijijini huyo hali ni mabaya mueche blablaa ata watu wa kitabu walikua na elimu kubwa lkn walipokosa kuitumia kwa usahihi Allah akawalani

  • @ZubeirHussein-b7f
    @ZubeirHussein-b7f23 күн бұрын

    Assalam Aleikum Warahmatullahy Wabarakatu Kiukweli Watu Wa Tabligh Ni Wengi Mtihani Kwanza Wanajiona Kuwa Wao Ndio Wasomi Wakubwa Na Nintihani Sana Wallahy Kwani Makundi Makubwa Ya Answari Sunna Na Magroup Mengine Ni Chimbuko Lao Tabligh Mungu Tu Atusalimu Salama Ila Mmmh Kielimu Mimi Sijasoma Ila Kwa Elimu Niliokuwa Nayo Mimi Kwa Answari Sunna Nimtihani Sana Wallahy Kwani Nisimwage Mengi Ila Niwapotoshaji Sana

  • @hatibumohamedi3471

    @hatibumohamedi3471

    9 күн бұрын

    sawa wewe ulie mwema enderea na wema wako na auta badilsha chochote

  • @suleimanharoubseif6492
    @suleimanharoubseif649223 күн бұрын

    Kun swahab alikuwa na Aya moja t na amefikish uislamu at hakuwa amesom san sis tukipekuwa vitab kidg tayar tumekuwa na elimu san

  • @YusphMashaka
    @YusphMashaka24 күн бұрын

    Acha huongo ww

  • @khamisswalehe
    @khamisswalehe3 ай бұрын

    itafika zama wanazuon watakosa zuhud na watadai kwenda kwa viongoz na mtajiri kutaka mapato eti lakin wajikinge na shari za utajir foolish one sisi tumesoma dunia na tumeipga chini hyo dunia bila kujali tutatoka na tutasoma na wala hatutajali makelele ya watu wa video

  • @user-ne7xi3bk3p
    @user-ne7xi3bk3p20 күн бұрын

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😂

  • @stedeteam531
    @stedeteam53117 күн бұрын

    HAAYA WEWE UNAEJUA TOKA BASI UKAANGALIE HALI ZA WAISLAAM VIJIJINI WAKO HOI BIN TAABAN TULIENDA KIJIJI KIMOJA TUKAKUTA MUME YUKO EDA KAFIWA NA MKE WAKE HALI NI MBAYA HAISEMEKI

  • @HassaniKapate
    @HassaniKapate11 күн бұрын

    Kama tablihi mtu hajawahi kutoka asiizungumzie utapata madhambi

  • @AllyAme-h9e
    @AllyAme-h9e24 күн бұрын

    Tabligh wanatafuta imani imani ikijengeka bc elimu itatafutwa bila imani yakweli hata elimu itakuwa haina manufaa ndokama ivo husema usoyajuwa tabligh wapo sawa naww shekh toka japo 3 ukajenge iiman

  • @RamadhanHassani-en8nf

    @RamadhanHassani-en8nf

    24 күн бұрын

    Hakuna Iman inayotaftwa bila ya kuwa na Elim Iman inaipata kwa kumtambua Allah na huwez kumtambua Allah kwa maneno matupu bila kusoma wanaomuogopa Allah ni watu wenyew na elimu

  • @mohaakoleta8571

    @mohaakoleta8571

    23 күн бұрын

    ​@@RamadhanHassani-en8nfelimu unayoikusudia ni ya utambuzi WA Allah SW ambayo imebebwa na kalimah ya ikhlas ya Laa ilaha illa llah ambayo ndiyo Iman...ndiposa tunafanya daawah ya Laa ilaha illa llah ili kujenga Imani yetu..elimu ya pili ni ile ya kutambua halali na haramu ambayo inategemea elimu ya Iman inayojenga nguvu katika moyo WA mwanadamu kueza kutekeleza halal na kujiepusha na haraam...kwa hivyo elimu ya kwanza tunayopasa kuwa nayo ni elimu ya Iman ambayo tunaipata kwa kufanya daawah ya Laa ilaha illa llah ili kuifikisha kwa wa2,watu wamjue Allah kwanza ili iwe rahisi kufuata maamrisho na kujiepusha na haraam

  • @omari-vo7dy
    @omari-vo7dy19 күн бұрын

    Acha chuki

  • @SeifSeif-gw3zc
    @SeifSeif-gw3zc29 күн бұрын

    Suluhisho sio kuwaweka watu wa tabligh kwenye darsa anazozilenga shekh apo au yyte anayewaponda, suluhisho ni kuwafundisha tu elimu ya daawa kwa sabab wao hawahitaji elimu za mabishano sjui bidaaa wala nini , kwa hyo angetoa ushauri wa namna hiii , tabligh wana misingi yao ya daawa mengine iko sawa mengine hayko effective kwa hyo wawaunde tu upya si kuwafundisha wanayotaka wao

  • @allywaziry6419

    @allywaziry6419

    27 күн бұрын

    Hakuna swala la misingi yao, Kuna misingi ya dini tu, swala la kusoma kabla ya kutangaza dini ni lazima, hakuna kazi ya dawa bila elimu, misingi ya dini yetu ni kusoma kwanza kabla ya chochote, unamhimiza vipi mtu kuswali hali ya kuwa wewe hiyo swala hauijui?

  • @HusseinAbdul-is9xq

    @HusseinAbdul-is9xq

    25 күн бұрын

    ​@@allywaziry6419jua kotofautisha kufikisha na kufundsha ...!tumuombe Allah s.w.t atupe ufahamu

  • @mohaakoleta8571

    @mohaakoleta8571

    23 күн бұрын

    Sasa nikuulize ....mpaka tupate shahada ya elimu ndo tufanye daawa au hata kama ni aya Moja tunaoijua tuifanyie daawa?​@@allywaziry6419

  • @user-uf6qf9lx4y

    @user-uf6qf9lx4y

    20 күн бұрын

    Sheykh masikini hajaelewa maana na makusudio ya kutoka.

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad372128 күн бұрын

    Abuu khaula huyu jamayako anawachapa matabligh halafu bado anauhimiza ule umoja feki masalafy nikusoma na kusomeshana na hii ndoinaleta tofauti kubwa jamanieeeeeeee TUSOMENI

  • @kibedikamba7616

    @kibedikamba7616

    28 күн бұрын

    Sasa apo tatizo lipo wapi kuwaambia kuwa wasome kwanza

  • @HusseinAbdul-is9xq

    @HusseinAbdul-is9xq

    25 күн бұрын

    ​@@kibedikamba7616tofautisha kufikisha na kufundsha Allah s.w.t atupe ufahamu

  • @mashairiyamwilijo9977

    @mashairiyamwilijo9977

    20 күн бұрын

    HAKI

  • @MohamedNoormohamed-lc4rg
    @MohamedNoormohamed-lc4rg22 күн бұрын

    Hata tabliq wanaenda kujifunza diini wakiwa dacwa wanasoma taalim baada salatul fajri

  • @yahyamwinyi3856
    @yahyamwinyi385623 күн бұрын

    Kwahiyo mpaka wawe wazee

  • @abdiabassi8857
    @abdiabassi885719 күн бұрын

    Mtafute huyo kijana baada miaka Tano utashanga utauliza umesomeya.

  • @zerotohero8212
    @zerotohero821220 сағат бұрын

    Watu wakitok tabligh huwa wanafundishwa dini katik kundi, na baadhi ya vijan hurudi akiwa wajuz wa kusom quran, kwahiy watu huenda tabligh kwa sabab kuu 3: 1.kusoma dini yao 2.kutafuta thawabu. 3.kulingania watu ktk kheri.

  • @MuhammedHassan-l1r
    @MuhammedHassan-l1r21 күн бұрын

    Hajitambui she huyu

  • @user-sg6nc1is3j
    @user-sg6nc1is3j28 күн бұрын

    Wacha urongo shehe ati mtoto wa miaka Kumi Na nane anatoa Hela wapi za kuzunguka nchi zote hizo ulizo zitaja.....

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib22323 күн бұрын

    Tatizo hata mashekh walio wengi hawajui lengo la tabligh akiwemo huyu sheikh Mziwanda. Tabligh hawasomeshi bali wanawaita na kuwahamasisha waislamu warudi katika Dini na positive impact ya tabligh inaonekana vijana wanaotoka tabligh wamerudi katika Dini na kufuata Sunna ya mtume saw.

  • @AllyAme-h9e

    @AllyAme-h9e

    23 күн бұрын

    Sahihi mhdkhatibu

  • @SameerMdumbemalongo

    @SameerMdumbemalongo

    15 күн бұрын

    Wanafata ndoto za maulana ILYASA AL KANDARAWI.....HAKUNA UZUSHI HUU KTK UISLAM

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx11 күн бұрын

    Shekh mriosoma hamtak kulingania munabishana tu wenzenu wakifanya munawaponda hiyo sio din we mbona elim unayo hutok kulingania?

  • @user-zz7ox6iq9m
    @user-zz7ox6iq9m22 күн бұрын

    Hujitambui wewe Allah anaitoa nuru ya Elm yako

  • @mussajuma9281
    @mussajuma928123 күн бұрын

    Ukweli ni kwamba Watu tabliqh wengi wao elimu ni ndogo sana. Ni kumwezeshana hadithi za peponi tu

  • @MohamedNoormohamed-lc4rg
    @MohamedNoormohamed-lc4rg22 күн бұрын

    Hata mtume alikuwa tabliiq bwana enda uka some diini vizuri

  • @Mapyatv
    @Mapyatv25 күн бұрын

    nahao wanao soma sasa wakitoka uk kusoma hawana wanalofanyakaz kupigana rad tu hakuna elim tenamajungutu

  • @Abun70242
    @Abun7024224 күн бұрын

    Kuwatembelea wasioswali na kuwaalika msikitini kuswali kwahitajika ilmu ya kiwango kipi?Hawa mashekhe hawajielewi,hawatofautishi kukumbusha na kufundisha,msiba mkubwa,wapotoshaji hawa.

  • @KasiimWasia

    @KasiimWasia

    24 күн бұрын

    Mziwanda.tafuta.mada.shehe.hata.waliokuwa.sababu.ya.kifo.cha.abujahali.ni.watoto.wadgo.tena.umri.wao.ni.miaka.kumi.ambili.hapo.vipi.ndani.yavita.vyajihad

  • @khamismwalim
    @khamismwalim18 күн бұрын

    tatizo sheikh munaongeatu maovu mangapi yafanywa kazi mwataka sifamunekane munaelimu kusifu.vingozi mupewe pesa

  • @salumahmad7503
    @salumahmad750319 күн бұрын

    shekh wewe una elimu hutoki jitahid bas utoke

  • @adamhashim3352
    @adamhashim335225 күн бұрын

    Kwahyo wanaotoka tabligh na wanaokata viuno maulid bora nan

  • @mohdkhatib223

    @mohdkhatib223

    23 күн бұрын

    Tatizo hawa masheikh kama akina Mziwanda hawajielewi wanapinga nini na wanasapoti nini? Anatetea waharibu Dini wazushi wa maulidi, halafu anawapinga watu wa tabligh wanaomdhukuru Allah asbuhi na jioni na kuwaita watu miskitini

  • @user-ne7xi3bk3p
    @user-ne7xi3bk3p20 күн бұрын

    Huyu shekhe anaongea asilolijua mungu amuongoze maana anachokifanya kibaya sana namruzi yalimkuta mabaya sana kwakutumia akili zake katika dini😮

  • @user-ng7fi7nl2r

    @user-ng7fi7nl2r

    19 күн бұрын

    Ajatumia akili yake apo amesoma aya na hadithi tatizo wewe mgumu kuelewa

  • @user-ne7xi3bk3p

    @user-ne7xi3bk3p

    19 күн бұрын

    @@user-ng7fi7nl2r hadithi ipi alio isoma hapo hapo Allah ameleta nakarah على بصيرة yani nakra inajulisha vitu vingi yani عام

  • @user-ne7xi3bk3p

    @user-ne7xi3bk3p

    19 күн бұрын

    @@user-ng7fi7nl2r yamaanisha elimu alimu iliyo elezewa hapo haina kiwango maalum

  • @imperfektservantt-e8b
    @imperfektservantt-e8b6 күн бұрын

    Ukitumia neno tabligh kama kundi fulani la watu kunaleta umaalumu ambao hupelekea watu wengine kuona ni jukumu la hao wanaoitwa rabligh kufanya kazi hii ya kufikisha mafundisho ya uislamu. Jambo hili la kuweka umaalumu wa mambo fulani ya dini yanafanywa na watu fulani ndio huzalisha makundi mf salafi kuonekana ni watu fulani badala ya muislamu yoyote anayefuata sunna na kitabu. Pili kiwango gani cha elimu mtu awe nacho ili asemekane kuwa amesoma? Mtume ﷺ a. anasema balighu anni walau ayah, je hawa tunaowataka wasome kwanza ina maana hata aya na hdithi walau moja moja hawazijui?

  • @saedsoud9181
    @saedsoud91813 ай бұрын

    Wanatoka kwa sababu wenye elimu mmekaa mijini hali mbaya sana vijijini mashekhe hamuendi kufanya daawa na kusomesha, wao wanafanya kuziba hilo pengo. Mngesambaa ninyi kila pembe ya nchi wao wangekaa pembeni na ninyi mngetangulizwa katika Tablighi. Maswahaba wangekaa wanasoma tu Makkah na Madina bila kufanya hijra wamakonde na wazaramo wangepataje Uislamu???

  • @ahmednnaina451

    @ahmednnaina451

    Ай бұрын

    Pointless Utakwendaj kutoa daawa usiokuwa na elimu nayo ? Vp ukiulizwa maswal usioyajua? Kusoma kwanza ndo bora zaid kuliko huko kutoka.

  • @ahmednnaina451

    @ahmednnaina451

    Ай бұрын

    Hata maswahaba hao unaowazungumzia kabla hawajaanza kutumwa kufikisha ujumbe walisomeshwa kwanza na bwana mtume swallahu alayh wasallam soma tarekh vzur tabligh wao wanakusanya yyte yule

  • @hassancharo1496

    @hassancharo1496

    29 күн бұрын

    ​@@ahmednnaina451WEWE ILIENDA WAPI KUFIKISHA NENO LA ALLAH AMA NI KUGOMBANA JUU YA ARAFA

  • @allywaziry6419

    @allywaziry6419

    27 күн бұрын

    Maswahaba walisoma dini yao kwanza, hakuna kazi ya dawa bila elimu.

  • @AbuuAbdilRahmaan

    @AbuuAbdilRahmaan

    26 күн бұрын

    Kwahiyo kwakuwa wenye udhu hawaswali...basi wewe unaamua kuswali bila udhu.?

  • @kassimsuleiman733
    @kassimsuleiman7333 ай бұрын

    Na nyinyi mulio na elimu kazi yenu si kutia wanja tuu na kutaka sifa ktk membar yaani dini ya Mungu idorore eti kwanza asome ktk madrasa zenu? Kwa taarifa yako ktk tabligh tunasomeshwa acha na Allah ndie alosema ktk nyiyni yawepo makundi yenye kuelimisha mambo ya kheri na kukataza maovu Sasa nyinyi mashekhe zetu mulionaelimu mumetoka lini kutangaza dini si munakaa mijini mukipaka mekap na wapi wa maulidi Shekhe acha zarau kwanza hiyo dini nyni mashekhe munaificha hamutaki kuwambia waislam ukweli kazi yenu ni nikudharau tabligh tutaendelea kutoka biidhnillah. Wewe kaa usomeshe na sisi tuache tutoke ila fahamu kua sisi huku tunasomeshwa elimu zote.

  • @khamisswalehe

    @khamisswalehe

    3 ай бұрын

    shekhe hana hoja za kuwaponda tabligh nani kasema tabligh hatusomi

  • @ahmednnaina451

    @ahmednnaina451

    Ай бұрын

    Asilimia kubwa hawasomi sheikh hapo bali wanamezeshwa tu maneno na kwenda kufikisha jamn kusoma ndo jambo bora zaid ndo maana kuna hadith inasema kutafuta elimu ni kumefaradhishwa juu ya waislam wanaume na wanawake ndo kitu kikiitwa faradhi maana yake usipokifanya wapata dhambi Kwa tabligh ambao wanasoma kher kwao na kongole kwao lkn hapa wanazungumziwa hao wengine

  • @ahmednnaina451

    @ahmednnaina451

    Ай бұрын

    ​@@khamisswaleheniliwahi kumsikia mmoja wa matabligh akisema kuwaambia wenzake ety twende tukapunguze iman kidg. Hapo walikuwa wanaenda kuhudhuria darsa kwa sheikh ndo wanapaita kupunguza iman hawa ndo wanaozungumziwa. Tabligh wengi wanafanya daawa ndo jambo la mwanzo halaf elimu ni jambo jengne wakat elimu ndo jambo lakwanza katk uislam

  • @khamisswalehe

    @khamisswalehe

    Ай бұрын

    @@ahmednnaina451 imani ya hakika ni yakini na elim ya hakika ni yakini kufa na shahada tu wewe ndio tutakuamin kma una elimu ya dini

  • @adamhashim3352

    @adamhashim3352

    25 күн бұрын

    We mziwanda imani yako huwezi mfikia dai wa siku3

  • @isaack100
    @isaack10027 күн бұрын

    Sheikh weww umesoma umeshawishi wangapi waje kuswali.kwa siku wafanya ziara mara ngapi?

  • @zaichuu8879

    @zaichuu8879

    26 күн бұрын

    @@isaack100 kazi yao kushinda kwenye mitandao wakibishana na kuonyeshana nani msomi zaid

  • @yahyamwinyi3856
    @yahyamwinyi385623 күн бұрын

    Ww shekhe bila watu kufanya tabliq ww ungejuaje dini?

  • @omarymbonde6748

    @omarymbonde6748

    22 күн бұрын

    Soma kichwa cha habari

  • @zaichuu8879
    @zaichuu887928 күн бұрын

    Aliyekuambia tabligh hawana elimu nani?

  • @kibedikamba7616

    @kibedikamba7616

    28 күн бұрын

    Wamesoma wapi wengi wao?

  • @allywaziry6419

    @allywaziry6419

    27 күн бұрын

    Wengi Sanaa hawajasoma na hawataki kusoma,

  • @lusupi

    @lusupi

    23 күн бұрын

    Nikweli wengi wao hawana elimu mimi pia nilishawai kuwa na tabligh na nilikua sijui kitu lakini tunatembea nyumba hadi nyumba kulingania

  • @mohaakoleta8571

    @mohaakoleta8571

    23 күн бұрын

    ​@@allywaziry6419hata kama hawajasoma lakini hawakosi kuijua suratul ikhlas...kwa hivyo ni jukumu lao pia kuifikisha,Wacha suratul ikhlas hata hiyo kalimah ya Laa ilaha illa llah wanapaswa kuifikisha,Kuna wengi hawaijui kalimah lau ungelikuwa umetoka siku tatu ungelifahamu

  • @mohaakoleta8571

    @mohaakoleta8571

    23 күн бұрын

    ​@@lusupiMashaAllah ndugu yangu,Allah akulipe kwa muda wako uliotumia na jamaat,huko kutembea na kulingania nyumba Hadi nyumba ni kazi kubwa aliyoifanya m2me SAW umejifunza jukumu lako kama mfuasi WA m2me SAW Wala usibabaishwe na wa2 wasiojua ,tuendelee kutembelea wa2 tuwaalike ajili ya sala sababu wengi hawasali

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim77593 ай бұрын

    Shee hapo umechapia hakuna في سببية ktj nahau ni فاء سببيية Na wewe pia ukosome upyaa

  • @ahmednnaina451

    @ahmednnaina451

    Ай бұрын

    Akili huna unaendsshwa na mihemko

  • @adamjutto5849

    @adamjutto5849

    28 күн бұрын

    😂😂😂Soma kijana,ukifika kusoma vitabu kama مغني اللبيب Au كفاية المعاني Utaelewa anakusudia nini

  • @zuheorsalim7759

    @zuheorsalim7759

    28 күн бұрын

    @@adamjutto5849 مغني اللبيب عن كلام الاعاريب لابن هشام الانصاري mbona nishakigongesha hiki

  • @hijahamadi5793

    @hijahamadi5793

    28 күн бұрын

    We kweli garasa yaani hata maana za herufi za jarri hujasoma , halafu watakamkosoa sheikh, Hiyo aliyotoa maana sheikh ni 'في ' sio فاء ، nenda kwa watoto wa Mutawassitwah mwaka wa kwanza tu watakufundisha.

  • @zuheorsalim7759

    @zuheorsalim7759

    28 күн бұрын

    @@hijahamadi5793 hakuna ktk maan l huruuf ya fii ina maana yq sababiya