SOMO - Vita vya kiroho 09-08-2020 | FULL VIDEO HD
Ibada Hii Ilifanyika Kanisa La Vuka Yordani Kisongo Waya - Jijini Arusha Tanzania na kuongozwa na @Bishop Elibariki Sumbe Mwangalizi na Askofu Mkuu Wa Makanisa Ya Grace Evangelical Church Tanzania (G.E.C.T)
Follow Our Social Media Pages :
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
tiktok.com/BishopElibarikiSumbe
/ bishopsumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #KisongoWaya #ArushaTanzania
Пікірлер: 62
Naomba nguvu ya ufahamu, wako jehohava MUNGU Naomba nguvu yako, maisha haya cio ninayotakq, ninaomba utende jambo mipaka nilio wekewa ukanidondolee, hawa watu ninao wafanyia kazi wakujue ww ndiwe mwanzo mwisho....naomba mabqdiliko maishani mwangu, magonjwa, pesa kuto simama ciwezi peke yangu BWANA...uwskumbuke ndugu zangu uwsponye na maroho zq mateso ya kila aina BWANA YESU tenda kwa ajili ya watu wako jehohava MUNGU ,wakujue ww apa kazini mwangu
Amen niko hapa kwa ajili ya BWANA usinipite YESU unapozuru wengine naomba NIHUDUMIE pamoja na nyumba yangu amen. MUNGU akubariki sana mtumishi wa Mungu.
Nimebariwa nikiwa Saudia Arabia mungu akubariki mtumishi Kwa mafundisho mazuri nimefunguliwa Sasa niko huru🙏🙏🙏
BWANA YESU naomba kujua taratibu zako, uanzishapo jambo ndani yangu ata katika hii kazi ni ww ulie nipa na majaribu zaidi ya haya pasipo nawe kujucika.
Naomba nguvu yako eee BWANA Katika viwango unavyo niinua nisadie jehova MUNGU, mwanzo ulivyo mwisho wangu ukaongezeke ndani, nguvu ya utajiri wako YESU KIRSTO umarisho nawe,
Amena Amena kubwa napokeya ufungulivu na uponyaji kutoka kwako mungu wangu kupitiya maombi ya mutumishi wamungu bishop elibaliki sumbe na neno lako mungu wangu, asante mutumishi wamungu, usinipite baba katika watu wako,unifunguwe ufahamu katika Jina la yesu kristo wanasaleth amena Amena kubwa
Naomba musaada wa Maombi mtoto wangu anasumbuka nakikohozi kya nguvu sana kila mwezi piya napata vita katika ndoto usiku naomba musaada wa Maombi
Naomba musaada wa Maombi mumewanga kazi imeisha naomba kwa Mungu amupekazi nakufunguwa milango ya safari ya sisi kwenda inchi zambali
Mungu azidi kutulinda na kututetea mimi na familia ya Mungu
Aksanti Yesu. Kristo
Barikiwa Sana Mungu awe nawe Baba yetu ASKOFU SUMBE
Napokea nguvu ya YESU KRISTO ya kuwa tajiri na wanangu na wadogo zangu
Najiunganisha Na Haya maombi
Pombe zote zimekauka kupiitia madhabahu ya Vuka Yordani
Mwanangu anapokea ajira
Mungu akupe nguvu zaidi
Aminnaaaaaa❤❤❤
Pokeya uponyaji tuma kupitiya madhabahu ya vuka yordani mungu akufukishe kupitiya madhabahu yake pokeya kwa jina la yesu nina tubu kwa ajili yako
@BenjaminUseni
Жыл бұрын
Amen
@user-zq9wx6mj8q
Жыл бұрын
Amen
@kitambalazadock7078
Жыл бұрын
Mungu attendee familia yangu 🙏
@marianchamba3898
9 ай бұрын
Amina
@paulinechongoma-hx9rm
5 ай бұрын
😊😊
Napokea uponyaji kupitia mazabau haya kwajina la Yesu Christo Amen
Amen mungu asifiwe❤
Merci radars France tanzanie
Natehua mitego yote juu ya gu na juu ya wanangu katika jina la YESU KRISTO AMEN
Amen Amen 🙏🙏🙏
Amen baba
BWANA YESU asante kwa upendo wako kwetu Sisi watoto wako amen
Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏 Amen
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Amen 🙏
Amin
Amen
Papa njgonisaa 5:hu
Ameen
Ameeeen🙆🙆🙆
Ameeee
Ameéeen
Amina baba
Gloire à Dieu papa
Gloire au seigneur
😮❤😊
🙏
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
AMEN 🙏🙏🙏🙏
Ameeen
Ameeeen 🙏🏼
Naamini kupitia chanel hii naponywa na kazi napata.
Watu wanafunguliwa kimwili Je na Mbunguni wanafunguliwa kweli au ni Duniani Tu??Mungu nisaidie mie hata sielewi chochote
@hadivelmapela5163
Жыл бұрын
Kwani we unajua anae wafungua ninani kama na mbinguni hawafunguliwi
Amen 🙏🙏
Amen Amen 🙏🙏
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen