SIRI NZITO ZANZIBAR: OTHMAN MASOUD AFUNGUKA/ ALICHOKIACHA MAALIM SEIF/ UCHAGUZI 2025

MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR OTHMAN MASOUD AMEFANYA MAHOJIANO MAALUM NA DAR24 MEDIA, NA KUELEZA MENGI YANAYOHUSU UHUSIANO ULIOPO KATI YAKE YA RAIS HUSSEIN ALLY MWINYI, ACT WAZALENDO NA CCM PAMOJA NA UTULIVU ULIOKITHIRI VISIWANI HUMO.
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbalimbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#ZANZIBAR #MAKAMOWARAIS #OTHMANMASOUD

Пікірлер: 36

  • @salyali7807
    @salyali78072 жыл бұрын

    Mashaallah.... OMO very intelligent.. macho yetu yapo kwako .. May Allah akupe nguvu na uwezo wa kuendesha jahazi.. Allahumma ameen Allahumma ameen

  • @davidnyembe7670
    @davidnyembe76702 жыл бұрын

    Very nice . Huyu ntangazaji namkubali sana

  • @ridhwanfaki9738
    @ridhwanfaki97382 жыл бұрын

    Mashaallah mashaallah Hakika mh othmani mola akuhifadhi na uwadui wa watu wabaya .huyu ni kiongozi muelewa na ni mtu makini sana kiukweli ni kiongozi tofauti na wengine

  • @adamally404
    @adamally4042 жыл бұрын

    Namshukuru Allah kwa kutupa kiongozi km huyu sichoki kumsikiliza Allah akupe umri mrefu wenye manufaa na wewe na Nchi yetu kwa ujumla

  • @issa3091

    @issa3091

    2 жыл бұрын

    Kweli hasa

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma85012 жыл бұрын

    Good job my brother watakuelewa tu very good othman 👍🇺🇸

  • @pendoibrahim2934
    @pendoibrahim29342 жыл бұрын

    VERY SMART DAR24 MEDIA. NAWAPENDA NA NAMPEDAGA HUYU KAKA MTGAZAJI JAMN

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel18262 жыл бұрын

    Yes this is the true leader ,very intellectual with perfect visions.

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi43852 жыл бұрын

    ILA ....IN SHA ALLAH ONE DAY

  • @amourchikawe753
    @amourchikawe7532 жыл бұрын

    Siku zote ukweli haufichiki na huyu baba anasimamia katika kile anacho kiamini Jambo ambalo it's very rea kuona viongozi wana kua hivyo. Sio mtu wa maneno tu na kama unachunguza maongezi yake anapo towa neno huliangalia kwa nyanya tofauti.

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance67502 жыл бұрын

    "Sikuwa mwana-CCM. Mimi sijawahi kuwa mwana-CCM." ... "Nikiwa mtumishi wa ser'kali."

  • @idrisaabdulwakil9618
    @idrisaabdulwakil96182 жыл бұрын

    Utulivu 100% Ukweli100% Haki100%

  • @ibugharib389
    @ibugharib3892 жыл бұрын

    VIONGOZI Kama hawa Ndio wataivusha Zanzibar kwenye dhiki ya maisha kwa uwezo wa Allah sio wale ambao matumbo Yao tu Ndio muhimu.Bega kwa bega mpaka KIELEWEKE

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh66182 жыл бұрын

    Vyema, lakini mimi nna suali jee tunaishi na SMZ au GNU, ikiwa ni GNUinakuwje kutaja taja serikali ya mapinduzi, mapinduzi si yalishapita na serikali iliopo madarakani si imeingia kwa kura na sio mapinduzi

  • @jumamohamed3168

    @jumamohamed3168

    2 жыл бұрын

    Kura watu wanapiga lakini anayeshinda sio anayetangazwa kuna mizengwe inafanyika kumpa mtu ushindi asiyestahiki ndio yanayofanyika na wewe nafikiri unajua hilo.

  • @seifabdulwahid4579

    @seifabdulwahid4579

    2 жыл бұрын

    Ww kukiharibika kwako unataka akatajwe Kaka ako su ? Jiengeze ndugu yangu

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    2 жыл бұрын

    @@jumamohamed3168 Hili ndio tatizo kudhani kuna mgombea fulani kashinda. Kuna wakati hata WAKALA au mgombea mwenyewe anampigia kura mtu mwingine halafu anatangaza kuibiwa kura. Ni upuuzi! Suluhisho la Zanzibar ni chama kinakoshinda kiongoze huko

  • @jumamohamed3168

    @jumamohamed3168

    2 жыл бұрын

    @@hajihassan5433 Sio kudhani watu wanayafanya hayo kama hujaambiwa wewe ufanye tulia ,watu wanapewa hizo kazi na ndio wao wanaosema baada ya kufanikisha zoezi hilo ,wewe unaishi nchi gani unayepinga mambo yapo wazi kabisa .wanayoyafanya hayo tupo nao mitaani mwengine ni mdogo wako Baba na mama kwa hiyo yakishafanyika na ameshawapitia ulaji waliomtuma na kugaiwa pesa kidogo hueleza yote na mizengwe waliopatiwa wawapatie watu kula.

  • @aqmmsm55

    @aqmmsm55

    2 жыл бұрын

    serikali iliopo ni ya mapinduzi ingawa ni ya GNU maana yamefanyika mapinduzi ya kalamu sio ya damu

  • @salyali7807
    @salyali78072 жыл бұрын

    Yaallah mjaalie mja huyu awe Raisi wa zanzibar... Allahumma ameen Allahumma ameen

  • @hazurungihaji7117

    @hazurungihaji7117

    2 жыл бұрын

    Amin

  • @sabrinamohammed5378

    @sabrinamohammed5378

    2 жыл бұрын

    Ameen yarabby

  • @ommymehmed8880

    @ommymehmed8880

    2 жыл бұрын

    tukipata kiongoz muadilifu hakika mambo yatabadilika ,kwa uwezo wa Allah

  • @ommymehmed8880

    @ommymehmed8880

    2 жыл бұрын

    na makamo wa pili pia jaman mumhoji tumsikie mistari yake

  • @aishafarah2456

    @aishafarah2456

    2 жыл бұрын

    Mashallah Allahumma Amen Yaraby

  • @jadilimasambo8711
    @jadilimasambo87112 жыл бұрын

    Hakuna faida ya muungano..vunjeni tu

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi43852 жыл бұрын

    😂😂🤣🤣😂🤣😂 ZANZIBAR.... ZANZIBAR .......ZANZIBAR....... SISI TUPO MBALI SANA KUFIKA SINGAPORE LABDA TUFANYE MAAMUZI ....MANA UKIWA MASKINI KAMA UNAMAAMUZI UNAPATA PAKUTAFUTA KULIKO MASKINI ALAFU KUNA MTU AMEFUNGA MIGUUNI🤣😂🤣🤸🤸🤣😂

  • @saidmohd7240
    @saidmohd72402 жыл бұрын

    Wewe Baraka Shamte Uzee ushakuchukuwa! Unafikiri kuna cku CCM hawatakuwa wao Makamo wa Kwanza??? Halafu huna asili na CCM wewe! Njaa tu inakusumbuwa wewe!!

  • @saidimasudi6450
    @saidimasudi64502 жыл бұрын

    Wewe upo serikarini kaziyako kumshauri rais sio kuzurira na vyombo vya habari. Mapungufu utakuja yauza 2025 hapo ni kuwasumbua wapiga kura wako Fanya kazi ulio teuliwa

  • @mangofish9079

    @mangofish9079

    2 жыл бұрын

    Kusema kwani dhambi umesikia unajua asili ya watu kama nyie wenye viburi vya kijinga munakosa maarifa hata ya kufikiri baadhi ya wakati.

  • @barakashamte3273
    @barakashamte32732 жыл бұрын

    Wewe Othman wacha unafiki Hiyo sharia ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa.si ilitungwa na CUF chini ya Abubakari na Seif Sharifu ikamnyoa manyoya Makamo wa Kwanza makusudi kwa tarajio angetokea CCM. Sasa mnavuna mlichopanda.

  • @jumamohamed3168

    @jumamohamed3168

    2 жыл бұрын

    Huelewi unachokiandika ushabiki wa kisiasa unakusumbua watu wanamahesabu ya Zanzibar kupiga hatua kubwa za kimaendeleo kuna watu hapa Zanzibar wamesababisha kuwa nyuma kimaenseleo kwa sababu wao ndio wanaoongoza na uwezo wao umeishia hapa tulipo leo tukiwa na hali duni ya kimaendeleo.

  • @ibugharib389

    @ibugharib389

    2 жыл бұрын

    Wewe Ndio wale muliopiga wazee wetu bakora kule Pemba mbona jina lako kama wewe au ndio wale maluuni wakubwa