@SHEIKH OTHMAN MAALIM TV : JE UNAJUWA KUWA UKIYAFANYA MAMBO HAYA UTAKUWA BORA KWA MWENZA WAKO

#sheikh #othman #maalim #tv #Darsa #Visa #Tareikh
USIACHE KUTEMBELEA KZread CHANNEL HII KWA KUPATA DARSA MBALI MBALI TUNAZOWALETEA LAKINI PIA JISKIE HURU KUULIZA AU KUTOA MAONI YAKO ILI UPATE MAJIBU SAHIHI JUU YA MADA TUNAZOKUFIKISHIA HAPA HAKIKISHA UMEBONYEZA NENO SUBSCRIBE CHINI YA VIDEO HII ILI UWE UNAPATA TAARIFA PALE TUNAPOTOA VIDEO MPYA KARIBUNI SANA. E-MAIL: SHEIKHOTHMANMAALIMTV@GMAIL.COM
Usikose Kufuatilia Darsa Zetu kila siku hapa hapa katika ukurasa wenu wa fb wa sheikh Othman Maalim na pamoja youtube channel yetu ya sheikh othman maalim tv kwa lengo la kufikisha na kuendeleza uislamu katika kila pembe ya dunia insha
#SUBSCRIBE, #COMMENT, #LIKE, and #SHARE
Na pia Unaweza pia kutufuatilia Katika mitandao yetu ya kijamii
kama Vile : Twitter As @Sheikh Othman Maalim Tv,
Instagram : Sheikh_othman_maalim_tv
Linked In : Sheikh Othman Maalim Tv

Пікірлер: 45

  • @shailamunis9867
    @shailamunis98672 жыл бұрын

    Allah atujaalie kua wema ,ili atupatie wenza waliokua wema Allahumma aamyn.

  • @khadijakamus2850
    @khadijakamus2850 Жыл бұрын

    Mashallah Allah aendelee kukuongoza na kukuweke uzidi kutuelimisha Alhamdullilah tunasoma mengi Allah awape neema zake wazee wako waliokulea na walim wako waliokusomesha Mashallah

  • @husna34562
    @husna345622 жыл бұрын

    Kweli shehk ndoa za sasa azina mapenzi mie yalinishinda uko kwa ndoa kama upo gerezani fujo kila siku aziishi Alhamdhulilah saiz nainjoi japo kua sina kitu Alhamdhulilah Amani tele moyoni bora ujane wa maisha kuliko mume anaekuangaisha

  • @sakinat2527

    @sakinat2527

    2 жыл бұрын

    🤔😨

  • @zeitunkassim9352

    @zeitunkassim9352

    2 жыл бұрын

    😅😅😅😅 your comment though Mama Tariq ukorofi huo 😏🤔

  • @husna34562

    @husna34562

    2 жыл бұрын

    @@zeitunkassim9352 😁😁

  • @najmaawadh1359

    @najmaawadh1359

    2 жыл бұрын

    Ukorofi kidgo . maskini pole mpenzi jaribu tena wanaume sio wote tabia zao Sawa Sawa huwenda sio wako pia 😉usikatae kuolewa tenaa

  • @husna34562

    @husna34562

    2 жыл бұрын

    @@najmaawadh1359 🤣🤣🤣🤗

  • @husna34562
    @husna345622 жыл бұрын

    Mashallah

  • @agentmsami5303
    @agentmsami53032 жыл бұрын

    Allah s.w akuhifadh shekh wetu

  • @esharashid4072
    @esharashid4072 Жыл бұрын

    Sai sikuelewi shekh keshi inshallah

  • @khadijakamus2850
    @khadijakamus2850 Жыл бұрын

    Waalaykumusalam warahmatullah wabarakatu alhamdullilah

  • @sakinat2527
    @sakinat25272 жыл бұрын

    Maa shaa Allah tabarak Allah yaa sheikh Shukran jaziila wa barak Allah fiiq

  • @zeitunkassim9352

    @zeitunkassim9352

    2 жыл бұрын

    Amiin

  • @kwkw5723
    @kwkw57232 жыл бұрын

    NAAM,,,,shukran jazzaqallahu kheri

  • @sakinat2527
    @sakinat25272 жыл бұрын

    In shaa Allah yaa sheikh

  • @jimjam4148
    @jimjam41482 жыл бұрын

    MASHA ALLAH.

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi60702 жыл бұрын

    Jazzakka Allahu khyern ❣️🌹❣️🤲✨🌟

  • @Laila-zl8lj
    @Laila-zl8lj2 жыл бұрын

    Bismillah Mashaallh ❤️ ALLH Akupe mwisho mwema 🤲

  • @ashajuma2478
    @ashajuma24782 жыл бұрын

    Mashaallah

  • @zeitunkassim9352
    @zeitunkassim93522 жыл бұрын

    MashaAllah TabaraqaAllah 🙌 ShEIKH kwa ilmu

  • @msmwanaid5394
    @msmwanaid53942 жыл бұрын

    Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh.

  • @sakinat2527
    @sakinat25272 жыл бұрын

    Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh yaa sheikh

  • @najmaawadh1359

    @najmaawadh1359

    2 жыл бұрын

    Assalam alykum ukhty sakina

  • @sakinat2527

    @sakinat2527

    2 жыл бұрын

    @@najmaawadh1359 wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh ukhty Najma hujambo habibty

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany2872 жыл бұрын

    Mashallah 😍

  • @najmaawadh1359
    @najmaawadh13592 жыл бұрын

    Masha Allah. Hahahaha labda nihiyo basi tuu

  • @zeitunkassim9352
    @zeitunkassim93522 жыл бұрын

    Waalkm salaam warahmatullah wabaraqatuh

  • @najmaawadh1359

    @najmaawadh1359

    2 жыл бұрын

    Assalam alykum ukhty

  • @najmaawadh1359

    @najmaawadh1359

    2 жыл бұрын

    Zaitun

  • @zeitunkassim9352

    @zeitunkassim9352

    2 жыл бұрын

    @@najmaawadh1359 waalkm salaam warahmatullah wabaraqatuh habibty wangu vp mzima wee?

  • @najmaawadh1359

    @najmaawadh1359

    2 жыл бұрын

    @@zeitunkassim9352 alhamdullh mzm habibty langu hof kwako weyee🥰🤣

  • @zeitunkassim9352

    @zeitunkassim9352

    2 жыл бұрын

    @@najmaawadh1359 Alhamdulillah neema Wallah kheir my dear 💋