SHEIKH NASSOR BACHU - Madhara ya Zinaa

Sheikh Nasoro Bachu
Allah (s.w) amrehemu atakumbukwa ni miongoni mwa masheikh aliyeleta mapinduzi makubwa kwenye kueneza mawaidha ya dini ya Kiislamu visiwani Zanzibar na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki, akihubiri tapo jipya la dini hiyo lililofahamika kama Ahlu Sunna, akiwa na lengo la kurudisha mfumo wa maisha ya Kiislamu kama ulivyoasisiwa na kiongozi wake, Mtume Muhammad (S.A.W), na pia kuupa Uislamu sura ya kimataifa.
#SHEIKHNASSORBACHUMadharayaZinaa #mawaidhazinaa #sheikhnassorbachu #madharayazinaa

Пікірлер: 4

  • @samirsaid762
    @samirsaid7622 жыл бұрын

    Allah amueke pema peponi shekhe wetu nassor abdallaah Bachu

  • @alwatanimjelledi2222
    @alwatanimjelledi2222 Жыл бұрын

    Subhaana llahi wabihamdih Subhaana llahil adhwiim!!

  • @Katuni862
    @Katuni8622 жыл бұрын

    Allahu akbar

  • @salimsaid3717
    @salimsaid3717 Жыл бұрын

    Allah amrehem sheikh wangu kipenzi sauti yake imenifanya nishindwe kusikiliza mawaidha ya masheikh wengine nimekua affected na sauti yake natamani mawaidha yote nisikilize kwa sauti yake

Келесі