Serikali yafafanua utolewaji wa vibali kwa ajili ya uchimbaji visima majumbani

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo amesema uchimbaji wa visima vya maji kwenye makazi ya watu unaruhusiwa isipokuwa urefu wa kisima na aina ya matumizi inayokusudiwa ndio inayoamua iwapo mmiliki atapaswa kupewa kibali au la.

Пікірлер: 12

  • @abuyabally7091
    @abuyabally70915 жыл бұрын

    tuleteeni ushuru wakichwa ilikuengeza mapato hapa kazi tu

  • @spykespark8477
    @spykespark84775 жыл бұрын

    U shenzi mtupu water ni bure na maji aliochimba mtu yanawausu nini mbona mnatamaaa ivo nchi hazijengwi ivo hata sikumoja shame on you..

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 Жыл бұрын

    Huyo katibu kwa akili yake mita 15 maji yanapatikana? Aache akili mbovu kuwasapoti watu wanaotaka kula hela uupuzi

  • @christophersaimon4398
    @christophersaimon43985 жыл бұрын

    serikali ya viwanda hiyooooooo

  • @joelsule4111
    @joelsule41115 жыл бұрын

    Sasa naomba kujuzwa kuhusu hili!! Maji ya kisima huwa hayana cha rasmi kama miundombinu. Ni maji ambayo ili iyapate ni lazima utafute vifaa maalum ili kuweza kuyatumia na vifaa hivi pia ni nya kitaalam hivyo lazima uvinunue! Je? Serikali imepunguza kodi au hata kuvifutia kodi ili wananchi waweze kujikwamua na tatizo la maji? Hata kama serikali itaamua kutoza kodi ni vizuri kwa maendeleo ya taifa, lkn si inapaswa kumrahisishia mwananchi mwenye kujitahidi kutafuta maji ardhini? Maji haya yanamsaada mkubwa sana, japo si salama sana kilingana baadhi maeneo yanapopatika. Lkn si sawa na kukosa maji kabisa.

  • @mohamedsulemain9005
    @mohamedsulemain90055 жыл бұрын

    bora mrudishe tuh ada mashuleni tuh tuendelee kulipa wananchi maana hii sasa imekuwa hali ngumu kila kona mwananchi anabanwa kwa kisingizio cha uwajibikaji,kwa serikali iliyoondoka ilikuwa ya chama kingine?

  • @saidimilanzi6403
    @saidimilanzi64035 жыл бұрын

    hata huyu nae kawa msenge jamanii njaa mbaya

  • @albertwilsonalbert01
    @albertwilsonalbert015 жыл бұрын

    Kiukweli awamu hii tutanyooka

  • @mnzavachris5423

    @mnzavachris5423

    5 жыл бұрын

    Albert Wilson Albert tunyooshwe mara ngap

  • @eugeniakimaro6397

    @eugeniakimaro6397

    5 жыл бұрын

    Hii sheria kiukweli inachanganya. Hata yeye kabla hajaulizwa swali alisema kuhusu mita na sio matumizi hii inaonesha kuwa inaitajika ifafanuliwe vizuri. Huku nilipo mimi unakuta mzee ana kisima kina mita 40 ila anateka ndoo moja au mbili kwa siku ila kuna wengine wana visima chini ya mita 15 lakini anamwagilia shamba la parachichi zaidi ya ekari mbili. Tunaomba ufafanuzi wake uwekwe kwenye hizo kanuni ili itusaidie sisi tunaofanya kazi na hao wananchi kuzitekeleza kwa urahisi Nashauri iwe kwa kiwango cha matumizi na sio kwa kina. Na ionekane kwenye hizo kanuni.

  • @mnzavachris5423

    @mnzavachris5423

    5 жыл бұрын

    EUGENIA KIMARO hii nchi sijui kama ishawahi kutekeleza kwa madhubuti MIPANGO yake na bado yaletwa mingine mingi tu, shida kwlkwl