SAA YA MABADILIKO by Henry Kimario - Kwaya Ya Mt Mikaeli Malaika Mkuu -Kikatiti - FT Lawrence Kameja
Музыка
#iRisEmpire2022#AudioVisuals
KWAYA: MT;MIKAELI MALAIKA MKUU (kigango cha Malula)
PAROKIA: PAROKIA YA WATAKATIFU PETRO NA PAULO KIKATITI
WIMBO: SAA YA MABADILIKO
MTUNZI: HENRY KIMARIO
SOLOIST : LAWRENCE KAMEJA
MCHEZA KINANDA: A J MYONGA
SOUND ENGINEER: MAXMILLIAN MASHAMBA
AUDIO & VIDEO: iRIS EMPIRE
Please🙏 Subscribe, Like, Share & Comment
Пікірлер: 145
Hakika ni saa ya kubadili maisha yetu na kuishi kikamilifu kwa mungu....wimbo mzuri hongera ❤
Haya ndio makombora yanayopasha joto imani zetu hongera sana mtunzi wa hii nyimbo Mungu awalinde wanakwaya hawa waendelee na kazi ya kuinjilisha 🙏🙏🙏
Wimbo mzury san
Hongereni sana
Nimeupenda,nammeutendea haki
Huu wimbo unaguza ndipo
🔥💝❤️
Wimbo mzur sana mungu akubarik sana mwlimu kameja
Chuma imeliaa eeeh
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Mapema Tuu
Hakika ni saa ya mabadiliko barikiweni nyote mliotumika ktk hii kazi
Hakika ni saa ya mabadiliko Mungu awabariki sanaa,mlijua kupendeza na sauti tamu yakumtukuza Baba yetu wa mbinguni pongez kwawote walioshiriki kwa ujumla❤❤❤❤💕💕
Wimbo mzur sana mbarkiwe warmish wa mungu
Hongera Kaka
So amazing song
💞
Ni saa ya mabadiliko,haipendez kumchukia nduguyo.
Congratulation laurence kameja ni saa yamabadiliko
Hongera Kaka kameja sauti nzuri Sana🔥🙏🙏
Kazi nzuri,ujumbe umetufikia.twawapenda Sana.
@SaintRithadaycare
Жыл бұрын
Asante sanaa
Amina ,,,kazi nzuri sana , Hongereni wanakwaya wote na Mbarikiwe
Ulipambana sn anko Tino mpk kitambi kiliisha na ufupi ukaongezeka Mara pah! Ukawa mweusi lkn hatimae imenoga hongera sn, hongera na wanakwaya wote kwa ujumla na shukhran kwa wote walofanya kz ifike hapa jmn Mungu awabariki mpk mshangae
@yustinomelkior7802
Жыл бұрын
😃😃😃 Amina kubwaa
@SaintRithadaycare
Жыл бұрын
Asante sanaaaa
We thank God
Amina,nisaa ya mabadiliko Ni Saa ya mabadiluko
Wimbo mtamu can see my friend Lawrence kamenja there
Mlifanya KAZI nzuri hongereni waimbaji pamoja na Iris Empire creativity Iko juu sana!!!!! Director kongole kwako
Hongera sana welcome Kenya. Ni UPENDO Tu
kaz nzur, mubarikiwe🙏 mr. Tinnoh nmeona kaz yako congrats😍
@yustinomelkior7802
Жыл бұрын
Asante Donna
Kazi safi
Hongereni sana kazi nzur sana
Hongereni wimbo mzuri
Good job Lawrence
Saa ya Mabadiliko🎶🎶🎶
Hongera sana🎉🎉
Hongera mwalimu kaz nzur Sana asante kwakuniinjilisha Kwa wimbo mzur
Saa ya mabadiliko💥
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Unyamaaaaa mzee
Kazi nzuri sana, hongereni
Kameja huyo waoooooh
Mungu na atukuzwe milele... Asante kwa hii zawadi ya SAA YA MABADILIKO- ... Love you St.Mic 🙏Asante Iris Empire 🙏 Kameja "Nakubali"
@monicaisuja8917
Жыл бұрын
Ameeeeeeeen
Nyimbo nzur imenibalik kwakweli
💯💯💯💯💯💙💙
Nyimbo Nzuri Kabisa ya Kuanza Mwaka.......Lawrence,sauti yako inatubariki kila siku,Iris empire wameweza kwa hii nyimbo.....Mungu awabariki na mzidi kufika mbali 💯💯
👏👏👏
Hongera laurence kameja
Blessed 🙏
Mungu ni mwema hakika
Waooo nzur sanaaaa🔥saa ya mabadiliko wamefany vzr san
Kweli Ni saa ya mabadiko. Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri
Great work keep it up. Mmenibariki sana
Mungu ni mwema,,,,, hatimaye,,,,
Kameja baraka tele
Mungu awabariki sana kwa utume uliotukuka
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Amen! Shukran sana🙏🙏
Kazi nzuri
Kazi nzuri Hongera sana Teacher Mwenyezi Mungu akupe maarifa zaidi
Creativity
Wow 🔥. Hongera
Ni saa ya mabadiliko, tubadili mioyo na matendo yetu tumpendeze Mungu☺️🙏🏽…. Great work👏
Mungu awabariki sana wana kwaya
Kazi njema kaka, ujumbe wake ni mkuu sana kwa wakati huu.. kweli ni saa ya mabadiliko..
Hongereni sanasana Wimbo Safi👌. Sauti nzuri, ujumbe mzuri umenibariki😇😇. Barikiwaaaaaa kwa Utunzi na uinjilishaji pia🤝🤝
Saa ya mabadilko
Ni saa ya mabadiliko jamani🔥🔥🔥🔥
Nice song....nimependa sana...👏👏kazi nzuri hongereni...ndugu kamenja Lawrence kama kawaida you don't disappoint....big up man.. Mseminaristi Francis.
Kazi ni ya Moto sana🔥🔥🔥😍❤️, kuimba Raha nyie asikwambie mtuu, hongereni sana Kwa kazi nzuri
@yustinomelkior7802
Жыл бұрын
Thanks dada Esther,,,,
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Tunashukuru Sana sana! Mungu akubariki - zidi kukaa karibu na channel Yetu kuna mambo mazuri zaidi yanakuja.🙏🏾Stay blessed
I cant get enough of this song, my gooodness,,, very well composed and heavenily voices.
@doroteasamweli599
Жыл бұрын
Mmetishaaaaa sana kiriii nakuonaaa unavyoiwezea sasa iyo butterfly
Iko poa sana. Good mwamba
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Shukran sana Man God bless
Kazi Nzuri mno🔥🔥🔥
Big up guys. Congrats brother Henry Kwa matashi mema haya
Naomba mawasiliano yenu iris nahitaji tuzungumze jambo
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
0658001112
❤
Interesting🔥👏
This is banger🔥🎉the message is home🔥💯The soloist 🙌
Wimbo mzuri
🙏🙏hongereni sana Kwa Kazi nzuri,Mwimbo mzuri wenye ujumbe mzuri hakika ni Saa ya mabadiliko Kwa kila mmoja Kwa nafasi yake🙏Mungu awabariki sana.
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Tunashukuru Sana sana! Mungu akubariki - zidi kukaa karibu na channel Yetu kuna mambo mazuri zaidi yanakuja.🙏🏾Stay blessed
Nilisahau ku coment ndio nimekumbuka leo na sina cha kusema 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎹
Nice one
Very good work bros.
Kazi safi sana wangwana.🔥
Good job God bless you
Hongereni kwa nyimbo nzuri, napatej nota yake?
Good job Iris na waimbaji wote😍👏👏
Nice song 💝 full of facts God bless you all who have made it
Amina🙏🙏
Hongereni sana, good song, good message. May God bless you all 🙏
Ujumbe mzuri. Barikiwa sana wana wa Kikatiti. 🤙👏👏
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Amen! Shukran sana🙏🙏
To God be the glory.
Amen 🙏 🙏 ❤
Kazi nzuri Sana 🔥🔥 mbarikiwe 🙏🥰
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Amen Amen
Such a great song! Perfect for the soul. May you be bless LK
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Tunashukuru Sana sana! Mungu akubariki - zidi kukaa karibu na channel Yetu kuna mambo mazuri zaidi yanakuja.🙏🏾Stay blessed
@yohanajulius9578
Жыл бұрын
@@StudioiRisPro aisee nahitaji contacts zenu tuzungumze
❤❤❤❤
Good job🙏🏽
@rogatkisanga7496
Жыл бұрын
Beautiful song with a great message to all believers. Congrats to composer, Lawrence Kameja, organist and all who made this possible. Hivi nota tunazipata wapi? Msaada jamani.
Great piece
You're the Lens Dons. Always on top💯🔥🔥🔥🔥🐝🐝🐝
Good music with a message Baraka tele
I love the creativity in directing .....
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Tunashukuru Sana sana! Mungu akubariki - zidi kukaa karibu na channel Yetu kuna mambo mazuri zaidi yanakuja.🙏🏾Stay blessed
Creativity at ist epic point in the video 💯💯🤗🤗,,,It's that Time🤗🤗🥳
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Tunashukuru Sana sana! Mungu akubariki - zidi kukaa karibu na channel Yetu kuna mambo mazuri zaidi yanakuja.🙏🏾Stay blessed
This hits so hard. Inagusa hadi mifupani. The message is so good 🔥🔥👏👏. Producer amefanya kazi nzuri and of course my big brother crowned it all, Kameja all the way ❤️🔥👏
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Thank you so much🙏🙏
🎉
@user-jw1qq7ip2j
10 ай бұрын
Hongera san kwa wimbo mzuri
Marvelous creative art✍️
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Tunashukuru Sana sana! Mungu akubariki - zidi kukaa karibu na channel Yetu kuna mambo mazuri zaidi yanakuja.🙏🏾Stay blessed
Good job🔥🔥🔥.. Congratulations Lawrence, Iris and Team👏👏👏
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Thanks Much
To God be the Glory! PERFECT SONG FOR THE SOUL
@StudioiRisPro
Жыл бұрын
Amen🙏