Ruto Naivasha I Kampuni za kutengeneza magari za Japan kufungua kituo cha mnada wa magari Naivasha

Waagizaji wa magari ya Kijapani hawatalazimika tena kusafiri hadi nchini Japan kuanzia mwezi Aprili mwaka huu kufuatia kuzinduliwa kwa eneo maalum la kiuchumi la Naivasha. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo kidogo cha kuzalisha umeme huko Naivasha, kinachotarajiwa kusambaza umeme hadi eneo hilo, Rais William Ruto alidokeza kuwa watengenezaji magari nchini Japan wamekubali kufungua kituo cha mnada kwa magari yote ya Japan. Alisema hatua hiyo inatarajiwa kunufaisha ukanda mzima wa Afrika Mashariki na Kati.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive

Пікірлер: 9

  • @rydergoode6922
    @rydergoode69226 ай бұрын

    I like how the twins helped each other when teleprompter glirched out

  • @godffreyndirangu1653
    @godffreyndirangu16536 ай бұрын

    😢

  • @KalyaElisha
    @KalyaElisha6 ай бұрын

    How about production instead of Sales?

  • @rydergoode6922

    @rydergoode6922

    6 ай бұрын

    Exactly. This is just another PR stunt

  • @decoloniz_afro

    @decoloniz_afro

    6 ай бұрын

    U complain everything

  • @philiponkui8650

    @philiponkui8650

    6 ай бұрын

    that would be hard be satisfied with what is there already.

  • @Eddyke
    @Eddyke6 ай бұрын

    what the hell? 😂

  • @jerryobutiatia6922
    @jerryobutiatia69226 ай бұрын

    NANI HUENDA JAPAN KUNUNUA GARI??? WHAT IS HE SAYING? WHAT IS HE SAYING?? ONLINE AUCTION NI YA NINI?????

Келесі