Rais Ruto na kinara wa upinzani Raila Odinga waifariji familia ya Jenerali Ogolla

Rais William Ruto na Kiongozi wa upinzani Raila Odinga walikuwa miongoni mwa jamaa, marafiki na viongozi mbali mbali waliofika nyumbani kwa Jenerali Francis Ogolla jijini Nairobi kuifariji familia yake. Mwendazake Ogolla akisifiwa kama mwanajeshi na kiongozi shupavu ambaye alijitolea kuitumikia taifa hili.

Пікірлер: 2

  • @carensumba950
    @carensumba950Ай бұрын

    Poleni sanaaa ... You are in my prayers

  • @jairuscr7310
    @jairuscr7310Ай бұрын

    Rafiki wako ndio adui wako , na baadaya wanajifanya wazuri ,

Келесі