Rais Ruto ajitetea kuhusu kukodisha ndege ya kifahari yenye bei ghali keulekea Marekani

Ruto: KQ Ingekuwa Ghali Zaidi
Rais Ruto Ajitetea Kuhusu Kukodisha Ndege Ya Kifahari
Ruto Asema Ndege Ya Kq Ingekuwa Ghali Zaidi
Kauli Ya Rais Ruto Yavutia Shutuma Mitandaoni
Viongozi Wa Upinzani Wakashifu Gharama Ya Safari Hiyo
Rais Alikuwa Amesafiri Na Ujumbe Wake Marekani

Пікірлер: 330

  • @justinmaroro7393
    @justinmaroro7393Ай бұрын

    Angetumia Kenya Airways at least hiyo pesa ingebaki hapa Kenya hata kama ingekuwa zaidi

  • @deeruta9894

    @deeruta9894

    Ай бұрын

    Mimi nashangaa na hesabu ya rais kbsa.

  • @overcomerlaban

    @overcomerlaban

    Ай бұрын

    Wewe ngojea ukuwe president utumie Kenya airways

  • @luckyluchano1

    @luckyluchano1

    Ай бұрын

    Thinking outside the box. Tungeeza pata akili kama hii yako tungekuwa mbali sana😊

  • @nikkonicholas4541

    @nikkonicholas4541

    Ай бұрын

    Mnataka kufanya nini na iyo pesa na hamuonangi Tena,,,shenzi nyinyi

  • @elphasgovedi

    @elphasgovedi

    Ай бұрын

    ​@@nikkonicholas4541matusi nayo ndio umesomea

  • @bramwelavigi1208
    @bramwelavigi1208Ай бұрын

    So he doesn't want to use KQ to avoid the taxes he himself imposed ...

  • @zenajustus5731

    @zenajustus5731

    Ай бұрын

    Kinyozi hajinyoi akijinyoa hujikata😊.

  • @edwardkamau9063
    @edwardkamau9063Ай бұрын

    I always regret...for voting this man😢😊

  • @emilyemmanyokabi7628

    @emilyemmanyokabi7628

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @victorgaramangala4964

    @victorgaramangala4964

    29 күн бұрын

    Utajua haujui

  • @mercyyoutubecheptoo9144

    @mercyyoutubecheptoo9144

    29 күн бұрын

    Hadi nini Edward kamau ha ha bottom up economy na mama mboga

  • @erickanyugo3253

    @erickanyugo3253

    29 күн бұрын

    Ruto 2027! Gachagua 2032! Tupatane Kwa debe!!!

  • @stevekanja6318

    @stevekanja6318

    29 күн бұрын

    600 million for tea farmers is gone.

  • @kimathi7118
    @kimathi7118Ай бұрын

    200 million ni transport tu, hatujaongelea accommodation, na PDM

  • @mercyyoutubecheptoo9144

    @mercyyoutubecheptoo9144

    29 күн бұрын

    So sad

  • @Jobonserio

    @Jobonserio

    29 күн бұрын

    What's PDM?

  • @kimathi7118

    @kimathi7118

    29 күн бұрын

    @@Jobonserio marupu rupu

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897Ай бұрын

    Pesa zetu hizo ushuru kupanda kila uchao..Mungu tetea wajawako

  • @user-ex8mv3mf6z
    @user-ex8mv3mf6zАй бұрын

    Even if Kenya airways is expensive, he should have used it. izi story zake haziaminiki...I don't understand how Kenyans process information

  • @cantoncornel6948
    @cantoncornel6948Ай бұрын

    Eating our taxes with a big spoon ....... Telling Kenyans to tighten our belts while wasting money

  • @nancykabari1487
    @nancykabari1487Ай бұрын

    Ruto si mjinga alijua munaweza set ndege yake iende ikaanguke aende hivyo 😅

  • @JoyzMichelles-eh8vs

    @JoyzMichelles-eh8vs

    29 күн бұрын

    Kifo ni lazima na ikifika only GOD can protect you so kama ni kufa atakufa tu and why does he think someone is behind him kama ni adui uhuru alikua na adui wengi till date wapo

  • @LydiaNyambura-be5nv

    @LydiaNyambura-be5nv

    28 күн бұрын

    Kwani ataishi

  • @alekiwambua9444

    @alekiwambua9444

    25 күн бұрын

    So maisha yake ni ya maana kuliko ya wengine

  • @CCMNEWS20
    @CCMNEWS20Ай бұрын

    Ata hiyo pesa hangetumia bado zingeingia Kwa corruption...wakule kabisa wamalize waende

  • @JoyzMichelles-eh8vs

    @JoyzMichelles-eh8vs

    29 күн бұрын

    On top of that zitaingia so is double double

  • @aheudit
    @aheuditАй бұрын

    So Kenya airways is charging us more, why? Taxes

  • @asekasheldon8427
    @asekasheldon8427Ай бұрын

    Kioni uko right.Uyu ndio mcha Mungu ndio anatesa watu wake.kama hii ndio kuwa mtu wa Mungu wacha ikae

  • @Blessed69666
    @Blessed69666Ай бұрын

    Ata ageenda na Wheelbarrow Azimio wangeteta tu😆

  • @johnbrown3235

    @johnbrown3235

    Ай бұрын

    mbwa wewe akili za wheelbarrow.

  • @PiusMbatha
    @PiusMbathaАй бұрын

    Nikama leo ni fools day wadau

  • @edquest5764
    @edquest5764Ай бұрын

    Oparanyas pair of shoes is 1 million, and he has not less than five of these type......... That is 10 million min ........., on just shoes......... 2.4milion per hour, must be chicken change for this Azimio people........... Wacheni Kelele ya upuzi....... I million for a pair of shoes....................on whose bill was this luxury foot ware put ........ He never gad them as Mp, never had them as minister, but got them as Governor.......... Akili Kichawani...........🤔🤔 And Azimio is here talking wastage of public funds.......... Bure Kabisa.......... !!!! 😲😲😲

  • @kenmutesh4265
    @kenmutesh426529 күн бұрын

    First rule of business. Be presentable enough to convince your investors or clients

  • @davinmuhahala6887
    @davinmuhahala6887Ай бұрын

    So yeye anaamini kutax watu bt hataki kutaxiwa

  • @zenajustus5731

    @zenajustus5731

    Ай бұрын

    Huyo ndiye hustler wetu😊

  • @yemenkaboy_wers
    @yemenkaboy_wersАй бұрын

    Wakenya si vipii bana,,😂😂Aache kutubeba wana huyu jamaa

  • @paylwambui2362
    @paylwambui2362Ай бұрын

    Ina itwa bottom up ponda Mali hustler..😂😂

  • @254wakilongo
    @254wakilongoАй бұрын

    Ruto ako sawa ...hizi ndege zinaanguka sana

  • @Patoh254Somie

    @Patoh254Somie

    Ай бұрын

    Yeah hii opposition wanataka Rais akufe vnye walitamani akiwa dp

  • @mbwanasilaha8872

    @mbwanasilaha8872

    Ай бұрын

    Nakubaliana nawewe

  • @asekasheldon8427

    @asekasheldon8427

    Ай бұрын

    Pia yeye ageaguka akufe tu akuna kitu anatusaidia nayo

  • @elkayking

    @elkayking

    Ай бұрын

    So izo ndege zinaanguka zinafaa kubeba tu wengine

  • @sultanmswahilitv4864

    @sultanmswahilitv4864

    29 күн бұрын

    Juu hiyo yenye alitumia hiwezi anguka?akili imejaa pupu

  • @jacksonomwami638
    @jacksonomwami638Ай бұрын

    Kenyans and hustlers are happy

  • @enterpreneur9738
    @enterpreneur9738Ай бұрын

    Wakenya hudanganywa kama watoi 🤣

  • @mugishajeanclaude2949
    @mugishajeanclaude2949Ай бұрын

    Rais uko sawa

  • @anthonyochieng1446
    @anthonyochieng1446Ай бұрын

    Ati the president came with goodies 😅.Goodies my foot, he is overtaxing us, then he flies to USA to increase public debt.

  • @peterchepkwony5584

    @peterchepkwony5584

    29 күн бұрын

    Asked those living in US how much taxes they pay,even buying kendi,"beremente"gum" tax must be paid

  • @HappyAstronomicalModel-kn3hg
    @HappyAstronomicalModel-kn3hgАй бұрын

    Wacheni pang'ang'a,,mnafikiria mtamtega na ndege zenu,,,

  • @rhodademesi6591

    @rhodademesi6591

    29 күн бұрын

    Nani amutege na yeye NI commander

  • @bachumohamed1924
    @bachumohamed1924Ай бұрын

    Kwa usalama wa Ruto sioni shida kwani bado kenya 🇰🇪 Airways kuna vibaraka wa Uhuru na Azimio wasiomtakia uhai. Wangefanya lolote.

  • @JoyzMichelles-eh8vs

    @JoyzMichelles-eh8vs

    29 күн бұрын

    Kama Uhuru angetaka kumuua kama unavyo sema alipokua uogozini basi angemumaliza so koma uhuru

  • @abdiabassi8857
    @abdiabassi8857Ай бұрын

    Msemaji wa serekali anaongea kama mzee mtaa..

  • @josephgitau3106

    @josephgitau3106

    Ай бұрын

    😂

  • @joshuaomaya2262
    @joshuaomaya226229 күн бұрын

    RUTO WEWE UKO SAWA BUDA KAA UNAEZA BEBA HII KENYA USAFIRI NAYO KILA MAHALI PLS FANYA HIVO BRO.

  • @quintinaC
    @quintinaC29 күн бұрын

    A man should always promote his home business than giving money to other countries. I'll also stop using KQ nkt

  • @jasminewest6826
    @jasminewest6826Ай бұрын

    The best option is to vote wisely come next election.

  • @kinggs-pb9vd
    @kinggs-pb9vdАй бұрын

    It was very very shameful and I think he should be ashamed of himself and those who advised him to do so if Ireland cai hire Kenya airways very shameful

  • @bachumohamed1924
    @bachumohamed1924Ай бұрын

    Ruto aliwaonea eighteen , kwani maadui wake ni wengi wasioamini yeye ni rais,,, mbona ni wanaolalamika ni Azimio vibaraka wa uhuru. We know what they are planning

  • @robertwanakayi-xy8yg
    @robertwanakayi-xy8ygАй бұрын

    Rais yuko sawa kabisa! Kioni fikiria ndiyo ushtumu rais! Heshimu Rais na umpe kongole kwa kazi nzuri maana hungefanya hivi anavyofanya!

  • @wanguichege1954
    @wanguichege195429 күн бұрын

    Kama the private jet was a symbol of status...i think it is ironic because we thought his symbol of status was a wheelbarrow...

  • @bonynjenga
    @bonynjengaАй бұрын

    If he's not flying he's lying if not lying he's flying nkt.

  • @diaminesmlu4658

    @diaminesmlu4658

    Ай бұрын

    Only fools thinks like you but visionary people sees it differently Tuliwaambia unga itashuka saa hizi ni pesa hapo na bado uko kwa hio ujinga

  • @user-gr4qx1co4b

    @user-gr4qx1co4b

    Ай бұрын

    Talk about taxes also.

  • @bonynjenga

    @bonynjenga

    Ай бұрын

    @@diaminesmlu4658 when common sense will be common to you will come to sense that life doesn't revolve on unga.

  • @benjaminosura7665

    @benjaminosura7665

    29 күн бұрын

    Kumamako wewe akili punguani I through u are not a kenyan,,

  • @BensonOgeto-re3ox
    @BensonOgeto-re3oxАй бұрын

    wewe tuue tu mungu anakuona

  • @walenisi9278
    @walenisi9278Ай бұрын

    Zakayo,leta chart ya cost kati ya hiyo ndege yako na ya KQ

  • @MitchellErmina
    @MitchellErmina29 күн бұрын

    Kenya iko na ndege gani ambayo iko gali koliko ile ametumia ikiwa kiwanja cha kenya airways kimeshindikani kukarabatiwa utakua ndege awachi uwongo

  • @002RYE
    @002RYEАй бұрын

    Sasa si heri hiyo hela nyingi ingebaki tu Kenya nkt

  • @PatsConfectionery

    @PatsConfectionery

    Ай бұрын

    Hata ingebaki huku bado mnge complain tu

  • @MaxamedNur-ct8zd

    @MaxamedNur-ct8zd

    Ай бұрын

    Ingebaki ungepata share nini acha ujinga

  • @blessedbrayo6617
    @blessedbrayo661729 күн бұрын

    Isaacs Mwaura, so Kenya ni kijiji, wueeh😢 UDA govt...

  • @nahashonlagat3279
    @nahashonlagat327929 күн бұрын

    Hata mimi bana sahi niwe prezoo lazima nipande ndege expensive ju sina time ingine , this is the only opportunity 😂😮

  • @sitcomsfulcrum
    @sitcomsfulcrumАй бұрын

    Bana watu si wajinga banaa😂😂😂😂 io doh ni mob sana angetumia tu KQ yeye naye ni kutueka kwa madeni

  • @rhodademesi6591
    @rhodademesi659129 күн бұрын

    Ni vizuri enda na 200m urudi na kikapu full ya madeni tulipe.

  • @mwasbrown7348
    @mwasbrown7348Ай бұрын

    Mungu anaona

  • @monicahmakena5817
    @monicahmakena5817Ай бұрын

    Aliacha amebomolea wananchi makao wakabaki kwenye baridi na njaa akachukua ndege ya 200 million bila kujali mwananchi😂😂😂😂God have mercy on us 😭 😭😭😭😭

  • @binbenmartin3425
    @binbenmartin3425Ай бұрын

    Wewe ukiitwa state house saa hii utaenda na boda boda ndio usave ???

  • @diaminesmlu4658

    @diaminesmlu4658

    Ай бұрын

    Good question

  • @carolyneatieno6815

    @carolyneatieno6815

    Ай бұрын

    Uber Iko.

  • @snjau7613
    @snjau761329 күн бұрын

    Politicians wetu,Jesus!!! Are they annoying? They talk nonsense na shinda zetu ni nyingi. Hawataki kuzitatua.

  • @JohnKibirii-qe8sb
    @JohnKibirii-qe8sbАй бұрын

    A Kenyan president is not a village nyumba kumi elder.

  • @saidhashi2856

    @saidhashi2856

    Ай бұрын

    But according to you Sammia Suluhu Hassan and Uhuru mwigai Kenyatta are village elders becoz of preferring and promoting their National Carriers???

  • @beatricekhangayi-qh5ny
    @beatricekhangayi-qh5nyАй бұрын

    Ruto nimbwia mukubwa shetani yeye anapepa paka watoto wake shetani you ruto Mafi wewe😂😂😂😂😂

  • @Nicholas-yr2sq
    @Nicholas-yr2sq29 күн бұрын

    This is why iluv kioni, he speaks the truth 💯

  • @ShukriGufu-ec3gk
    @ShukriGufu-ec3gkАй бұрын

    You see action speaks louder than words

  • @dandaggy066
    @dandaggy066Ай бұрын

    Welcome back mr tax man,public hospitals still services paralysed 😠

  • @adamjin777
    @adamjin777Ай бұрын

    Kenya airways 34x850,000 for business class tickets is much less than 200 million. Wach kutudanganya

  • @aheudit
    @aheuditАй бұрын

    Even if it cost a billion, we don't care.

  • @brojohnofficial14
    @brojohnofficial14Ай бұрын

    ATI atarudi na nini na ndeni Africa nkaa tulirogwa

  • @alimohammed1224
    @alimohammed1224Ай бұрын

    Mpigieni tena kura azidi kupanda ndege za milioni

  • @NickMavago

    @NickMavago

    Ай бұрын

    Tutampigia aendelee kutuletea mabilioni

  • @alimohammed1224

    @alimohammed1224

    Ай бұрын

    @@NickMavago poa mtoa ushuru

  • @MitchellErmina
    @MitchellErmina29 күн бұрын

    Kenya kweli tuko matatani 2milion wakati wakenya waliadhiriwa na mafuriko masomo yanadidimia pia yani hatuna kitu kenye tumefanya cha maana kenya nikufinyiliwa tunafinyiliwa na huyo mwaura anasema eti ametumia pesa kwenda kufata pesa mingi alete kenya kwani kenya uliweka pesa zake huko kwali kwanza analetea nani na hatutaziona bado kenya mnachukuwa pesa zingine huko mkidhani mnapendwa nikurushiwa mahindi polepole tu mkifika nikunyongwa tu ruto atakuwa hayoko tena kwa kiti

  • @user-im8ot4yx1x
    @user-im8ot4yx1x28 күн бұрын

    Nkt..we know people who have gone to yues bwana..they didn't pay 1.5m per hour...not even close😢

  • @profAKILI
    @profAKILIАй бұрын

    Ni sawa, hehehehe..finya hao vyzuri...maliza hao kabisa😅

  • @Engineerotich
    @Engineerotich26 күн бұрын

    Achana rais bna

  • @eliudekamuraprint9379
    @eliudekamuraprint9379Ай бұрын

    Watermelon nyamaza. Ulishindwa na maisha kitamboooo!

  • @Ericjunior7656
    @Ericjunior7656Ай бұрын

    Wacheni aaribu pesa za umma... tugeges are happy

  • @lillianrasoa846
    @lillianrasoa846Ай бұрын

    How many chicken 🐔 did he sale to get 200million crazy guy 😢😢

  • @simongatutha559
    @simongatutha559Ай бұрын

    A very simplistic way of thinking.

  • @johnbrown3235

    @johnbrown3235

    Ай бұрын

    it's normal for tugeges to sing so you must defend the thief and trickster. he appears to have stolen your brain.

  • @diaminesmlu4658
    @diaminesmlu4658Ай бұрын

    Mkiona pesa yenu inatumika vibaya mnaeza amia nchi zingine si pia wacogo waburindi watanzania wasudaness walipo hona mahisha kwao ni ngumu si waliamia kenya sisi tuko sawa

  • @kilowatts317
    @kilowatts31729 күн бұрын

    ndio sababu nikajua hakuwa anasema bwana asifiwe bali alisema bona asubuhi sana

  • @vincentogoye
    @vincentogoyeАй бұрын

    Who is fooling who

  • @Patoh254Somie
    @Patoh254SomieАй бұрын

    Security of the president is important mnataka aanguke na hizi ndege raila achukue urais amalize wake na akina babu?

  • @fineboy8367

    @fineboy8367

    Ай бұрын

    Wajinga ka nyinyi sjui mnakaa wp

  • @saidhashi2856

    @saidhashi2856

    Ай бұрын

    If you don't trust your own National airline, it means you don't deserve to be a leader of a country. Instead of paying foreign planes billions of money every now and then, why Not just buy executive plane for Kenya airways, which all the State leaders can make use of, in the next 20 years. It makes more sense.

  • @Glory_Kathomi.

    @Glory_Kathomi.

    Ай бұрын

    What has he been using all along? Stop fooling us

  • @benjaminosura7665

    @benjaminosura7665

    29 күн бұрын

    Sio babu ni hassan joho wale wakufungia wameru muguka mombasa,,

  • @rhodademesi6591

    @rhodademesi6591

    29 күн бұрын

    😂😂😂 your thinking though!

  • @cantoncornel6948
    @cantoncornel6948Ай бұрын

    Ooh God .....sad

  • @ramadhanikenga274
    @ramadhanikenga274Ай бұрын

    Nyinyi mliopiga kura kazi munayo mimi hata sijui kura zapigwa vipi niko shakahola na maisha yanasonga mbele

  • @VictorOrora
    @VictorOrora29 күн бұрын

    Uhuru anaumia kweli😂

  • @naomigikwa6148
    @naomigikwa614829 күн бұрын

    Mtajua hamjui

  • @conceptaakinyi
    @conceptaakinyiАй бұрын

    Ruto ni mwizi

  • @josphine432
    @josphine43229 күн бұрын

    Mr president no need to explain...you deserve it

  • @benjaminmogere6203
    @benjaminmogere620329 күн бұрын

    Azimio mkaskilie vibaya nauko😂😂

  • @Adenpro33
    @Adenpro33Ай бұрын

    The choosen raisi

  • @cuttingedgeConsistentTraders

    @cuttingedgeConsistentTraders

    Ай бұрын

    By who?

  • @saidiosore10
    @saidiosore10Ай бұрын

    😂😂😂 achana na uyo m2, heri raila😢

  • @Patoh254Somie

    @Patoh254Somie

    Ай бұрын

    Uuii raila is never an option to Kenyans

  • @simongatutha559

    @simongatutha559

    Ай бұрын

    Raila atufikishe wapi. Aende nyumbani

  • @skintruder800

    @skintruder800

    29 күн бұрын

    U mean to say ruto is actually doing a good job? Why not give the guy a chance as well, then evaluate the difference. Instead, people are to hasty to judge and forgetting they themselves had a say in the votes.

  • @skintruder800

    @skintruder800

    29 күн бұрын

    Stop complaining in short

  • @mackdonaldairo609
    @mackdonaldairo609Ай бұрын

    Uhuru ulituambia kumbe ulikuwa unajua.

  • @josephmikae79
    @josephmikae7929 күн бұрын

    Aki huyu zakayo atamaliza hii kenya

  • @user-im8ot4yx1x
    @user-im8ot4yx1x28 күн бұрын

    Hii ndio upuzi ya kina Mugabe!

  • @omarjeylan4113
    @omarjeylan4113Ай бұрын

    WELCOME TO DEMOCRACY WAJINGA SISI.

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236Ай бұрын

    Aaaa anapiga show tu huku na huku mzee zakayo wa safari aliiba kura na sasa kazi imemshinda ni kutesa tu na kibet chake

  • @terizat512
    @terizat512Ай бұрын

    COMPLAINING EVEN WHEN GOOD PERFUME WAS PUT ON JESUS THATS WHEN OPPOSERS REMEMBERED THE POOR WHICH WAS NOT EVEN IN THEIR MINDS HOPE IS NOT THAT WAY WATU WA KULALAMIKA😢

  • @ChristineWambua-vm6mb
    @ChristineWambua-vm6mbАй бұрын

    Ata Dora iko chini sana

  • @juniorkellytv6811
    @juniorkellytv681129 күн бұрын

    Mtu Bure Kabisa.

  • @IssaSalim-nz9mb
    @IssaSalim-nz9mbАй бұрын

    Fellow Kenyans where are our former presidents except uhuru who is still alive let them use all luxuries bt they should know after all that is done its still 6feet under the ground do what pleases God no one will stay here forever

  • @paylwambui2362
    @paylwambui2362Ай бұрын

    Hawa kwa uongo ni kama kusomea wako na PhD ya uongo..

  • @benjaminosura7665

    @benjaminosura7665

    29 күн бұрын

    Indeed ,,kama vyenye matiangi alithibitisha 😂😅

  • @DanielGacamio
    @DanielGacamio29 күн бұрын

    Wa

  • @RojaKit
    @RojaKit24 күн бұрын

    dynasty kids are best as leaders but sasa maskini akipata cheo lazima aenjoy sile raha alikosa as a kid

  • @martinshake1651
    @martinshake165128 күн бұрын

    Tujiangalie

  • @omarikebiro164
    @omarikebiro164Ай бұрын

    private jet is always expensive. how cheap is cheap

  • @cineplus-tv255
    @cineplus-tv255Ай бұрын

    Zakayo anawanyonya damu😅😅😅

  • @AnkoLolo-mv5bk
    @AnkoLolo-mv5bkАй бұрын

    Hata pia ya raila tupewe tuache nyonyonyo nyingi

  • @Bossgossipp.

    @Bossgossipp.

    Ай бұрын

    raila sio prezzo😂

  • @jako715
    @jako71529 күн бұрын

    Tumechokana uwongo, ya president Ruto 1:29 😊

  • @alekiwambua9444
    @alekiwambua944425 күн бұрын

    Skia io albino na ni form tukipeana tz

  • @zingachaula
    @zingachaula25 күн бұрын

    Achen ushamba mlitaka akodi hedkopter

  • @user-eh1ix1kd7u
    @user-eh1ix1kd7uАй бұрын

    Ruto is a master of sweet words to charm Kenyans and he knows that most of us are idiots....So apparently a private jet is cheaper than KQ...If so, what message is he sending about KQ; most people are likely to avoid the airline because if it is expensive. Besides, a steward of public resources wants to have more CASs. What happened to living within our means? Unfortunately, tribalism and party affiliation cannot allow most Kenyans to see the truth.

  • @davincimaths9492
    @davincimaths9492Ай бұрын

    This man is a reincarnated Mobutu 😢.. He can lie without blinking... I wonder if we still have fools who still believe in this man...

  • @SomoIya-qh7jz
    @SomoIya-qh7jzАй бұрын

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @trigachonse2755
    @trigachonse2755Ай бұрын

    He's alert because he knows what he did to ogolla through his close allies.

  • @cedricmusedi3839
    @cedricmusedi3839Ай бұрын

    But he's the president awache uongo he's responsibility is to make KQ cheaper