PATANISHO : ULINIAMBIA UNAEZA JILIPIA RENT JUU YA MAKASIRIKO NA SAI SASA UNATAKA NIRUDI

Ойын-сауық

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
Subscribe to RadioJambo KZread - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Пікірлер: 31

  • @beatriceasaji
    @beatriceasajiАй бұрын

    Tafuta kazi dada msaidiane maisha ni magumu sana

  • @emmaakelo4383
    @emmaakelo4383Ай бұрын

    Wewe mrembo tafuta KAZI ufanye yawa.. Wacha kupea kijana ya wenyewe pressure jameni tafuta pesa musaidiane

  • @chullakoi8803
    @chullakoi8803Ай бұрын

    Mademu wengi wako na hii kiburi ya eti naeza jikalisha hata ka ni mm nakuachia nyumba.

  • @agnesandalo6936
    @agnesandalo6936Ай бұрын

    Me together with ghost,,,kwi kwi kwi kwi kwi.....uhuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MohammedMohammed-uz4jn

    @MohammedMohammed-uz4jn

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @wallsound_defefender

    @wallsound_defefender

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂mee too,uuuhui!

  • @rachelmuch5788

    @rachelmuch5788

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kennethisiko882

    @kennethisiko882

    Ай бұрын

    😂😂😂😂

  • @shamimaoko

    @shamimaoko

    29 күн бұрын

    Me too huhuuuu uwiiii 😂😂

  • @babewajeff
    @babewajeffАй бұрын

    Wa kwanza leo❤❤❤❤❤❤

  • @purposeinsuranceagency6695

    @purposeinsuranceagency6695

    Ай бұрын

    Salimia Jeff

  • @cannidahosano3302
    @cannidahosano3302Ай бұрын

    Grace enda uarabuni ufanye kazi.. achia mamako mtoto na Kevo aendelee kutafuta pesa venye anasema. Don't waste your time waiting for someone na mtoto anakuwa mkubwa soon mtaanza kusumbuana juu ya school fees. Mtu wa vita hata sioni ako na right ya kuishi na wewe

  • @cassandraakinyi3399
    @cassandraakinyi3399Ай бұрын

    Tafuta kazi data,shenzi

  • @celinejudy1496
    @celinejudy1496Ай бұрын

    Ndoa n kuvumiliana but apo kwa kichapo ziiii

  • @praxidesjuma4911
    @praxidesjuma4911Ай бұрын

    Ww mrembo Kwan hakuna nyumba kwa Akina kijana

  • @VioletAtamba
    @VioletAtambaАй бұрын

    Maisha ya saa hii dada , tafuta KAZI msaidiane

  • @VictorKiplagat-wn4mw
    @VictorKiplagat-wn4mwАй бұрын

    Endelea kugoja utagoja xanaa toka ujitume ujitemegemee

  • @VioletAtamba
    @VioletAtambaАй бұрын

    Nowadays dada tafuta pesa zako

  • @emilywangui
    @emilywanguiАй бұрын

    Wasichana wa sikuhizi hawana uvumilivu kwa kweli....Grace ndiye aliharibu kwake tena ako hapo kuplay victim 😅😅😅

  • @judithmunyiri9514

    @judithmunyiri9514

    Ай бұрын

    Ukweli kabisa hawataki kuchoka

  • @b.3940
    @b.3940Ай бұрын

    Huyu Grace ni mama mang’aa. Chege alisema alimsamehe kwa ya kile kitendo alifanya sasa najiuliza kilikuwa kitendo gani? Pia Grace kasema atajisimamia hamtaki Chege sasa yualia ameishiwa. Bure Kabisa.

  • @user-xz4yh1cs9t
    @user-xz4yh1cs9tАй бұрын

    Huyo Dem amenikumbusha time niliuza vitu zote hadi nguo zake nikapotea nikiwa nimepata Dem Kwa nyumba yangu . My hubby bought everything within one month na akanitafuta nikapata adi nimepelekwa nyumba ya pesa thrice ya ile tulikua.kwa kifupi kevo hatarudi Kwa huyo Dem 😂😂😂

  • @mercyseur9462
    @mercyseur946225 күн бұрын

    Huyu Grace namuonea 18 walai si unaona hata analalamika Kwa hayuko sawa na parents

  • @KevinOduor-xb3kk
    @KevinOduor-xb3kkАй бұрын

    Wanaume hawataki pressure kwa nyumba.

  • @bwari01
    @bwari01Ай бұрын

    Really? Gidi na Ghost, please offer wisdom as leaders in our community! The young man needs to order his life and have his own place before he dates/marries. The young man gal should know this young man is not ready for a relationship! She should choose better! Bet yet, she should figure out her life. How dare she ridicule him for not being able to pay rent when she herself can’t even pay? How do you ask someone to have something you don’t have? NKT

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni5482Ай бұрын

    Kwani huyu dem hana job? Afanye kazi pia..tia bidii mummy.

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092Ай бұрын

    Kichapo is a No! Ashakudharau!

  • @mrsk4860
    @mrsk4860Ай бұрын

    Aki ni me cheka, hahahahaha

  • @marrieann5278
    @marrieann5278Ай бұрын

    Chege ana bidii but Grace ni kisirani ju kulingana na Chege ni Grace alileta shida

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853Ай бұрын

    Tafuta kazi wewe dada

  • @jacquelinendambuki3196
    @jacquelinendambuki3196Ай бұрын

    True or false 😂😂😂😂😂😂

Келесі