PATANISHO : NILIOLEWA NA LIVINGSTONE LAKINI NILIKUA NA MIMBA YENYE SIO YAKE

Ойын-сауық

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
Subscribe to RadioJambo KZread - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Пікірлер: 27

  • @user-kp9ll1qu5n
    @user-kp9ll1qu5n20 күн бұрын

    Mtu akikunyima chochote kile hata ikuwe pesa shamba achana naye omba mungu atakupea mungu n wetu sisi sote nakuombea mafanikio

  • @user-yg7mc8px7t
    @user-yg7mc8px7t20 күн бұрын

    Jipe shughuli dada huyu. Mbaba anakutumia tuu bure😢😢😢😢😢

  • @veronicaachieng8652
    @veronicaachieng865220 күн бұрын

    People will treat u how u allow them to .once u know ur worth youll never settle for less.

  • @PhylisKoech-he4yb

    @PhylisKoech-he4yb

    20 күн бұрын

    Fact❤

  • @brendaokola3893

    @brendaokola3893

    20 күн бұрын

    True

  • @mumbentahthomas9954

    @mumbentahthomas9954

    20 күн бұрын

    True

  • @PhylisKoech-he4yb
    @PhylisKoech-he4yb20 күн бұрын

    Uyu mwanamke ni mjinga 😢😢kwani hafikiri ,bwana ya mtu sumu nijikute

  • @Fraizah
    @Fraizah20 күн бұрын

    Huyo ni side chick 😂😂😂akubali tu 😂😂

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni548220 күн бұрын

    Huyu Naomi nayeye kwani alikorogewa jameni 🙆🏽‍♀️😳🥲🤦🏽‍♀️ Move on Naomi..huyu mtu anakuchezea juu ameona uko desparate!! Wachana na hizo vitu za urithi juu you and youre children will never have peace tia bidii kwa kazi yako mummy. God will bless you even more.

  • @lukasobiria7912
    @lukasobiria791220 күн бұрын

    Gidi, I like the way you're advising this lady... But ni mgumu kweli

  • @user-ko3do3hk1z
    @user-ko3do3hk1z20 күн бұрын

    Huyo amekaliwa na bibi yake, jipe shughuli, Ogidi ambia huyo mwanadada siku hizi wanadada hatulilii wanaume, Gulf ilikuja bwana heri tuhangaikie kwa mwarabu than kutesekea kwa mwanaume, kuja Gulf mwadada wacha aibu ndogo , tayari unaa watoto wengine kwenu, jipe shughuli bwana

  • @lnpMuzik

    @lnpMuzik

    20 күн бұрын

    Si upone dada 😂

  • @rejoycemmbone5049
    @rejoycemmbone504919 күн бұрын

    Waah hii ndio inafanya najita mkutano baadae napata conclusion,,lemme me make use of my passport well,.ndoa si ticket ya kuenda mbinguni,,but Mungu siku utanibariki na ubavu wangu ntakuwa ready 🙏🙏🙏

  • @mango12344
    @mango1234420 күн бұрын

    My dear you are not a second wife, you are just a mpango. Kubali tu and move on.

  • @MaryMatereadvicer011
    @MaryMatereadvicer01120 күн бұрын

    Watu waheshimu ndoa za wengine side hen wanakuwanga na uchungu wakiwachwa, sipendi nyumba ndogo mimi

  • @user-pi2te8lv8r

    @user-pi2te8lv8r

    20 күн бұрын

    😂watakukujia hapa

  • @b.3940
    @b.394020 күн бұрын

    But kama mtu anaitwa Livingston si kumaanisha anapenda living things kama living Naomi, living second wife, living shamba, na living nyumba ya kukodisha. Shida ya Living Ochieng ni nini??

  • @user-cg3vf2bl6b

    @user-cg3vf2bl6b

    20 күн бұрын

    Huyu Naomi hafai ata advice ,kwani hajipendi ?hawa ni wale dada WA Bora niitwe pipi ya poma😂😂 shaurienu watu wako Riyadh wakichapa pipi ya poma badae

  • @MargaretAwinja-ls7hx

    @MargaretAwinja-ls7hx

    20 күн бұрын

    ​@@user-cg3vf2bl6b😂😂😂😂😂

  • @annyleycoyney7622
    @annyleycoyney762220 күн бұрын

    Side chick treated tht way😮😮😮then u mean nothing bt forcing issues 5k was for transport to go back at ur work but kama uko na machozi ya men keep cry itakuja kuisha one day ibaki kama yangu ya matanga tu

  • @julianamalinda2357
    @julianamalinda235720 күн бұрын

    Wewe sister ur a painkiller 😅😅😅😅

  • @sekanicanory9915
    @sekanicanory991520 күн бұрын

    bure kabisa

  • @diackomwansu660
    @diackomwansu66020 күн бұрын

    Mabati mbili kujenga nyumba hata choo ni mabati tano 😂

  • @denniskaronei9117
    @denniskaronei911720 күн бұрын

    Sasa kuku na patanisho iko na uhusiano gani?anyway uyu msichana ???????

  • @justuskemboi2322
    @justuskemboi232220 күн бұрын

    Mwanadada afungue macho na aanze kuishi maisha yake

  • @rachelmuch5788
    @rachelmuch578813 күн бұрын

    Weee Mzee wa mtu n sumu😂😂😂😂😂😂😂me apana

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee20 күн бұрын

    Uko na mimba nguvu za kurundikana na libaba.

Келесі