PATANISHO : KUBALI ULIALIKA MPENZI WAKO WA KITAMBO, BIBI AKIWA MATANGA
Ойын-сауық
Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
Subscribe to RadioJambo KZread - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Пікірлер: 30
From Switzerland
My dear na simu imekatwa 😂😂
First comment Nangonja kucheka 😂
Hizi kanila za kuleta watoto ulee wa kambo mm hapana kila mwanamke alee mtoto wake
😂😂😂😂😂😂aki man's
Kiekiekie 😢😂
Naitiri Engo
Hahaa🤣🤣🤣 yaaaani people go through a lot
Oya for the past 4 months radio haiskiki Taita surely
Ok
Asilete kwa nyumba tena
Ndoa shikamoo
Aki wanaume hawatosheki😂😂😂😂😂
Frequency of Kisumu please
Mimi nakubaliana na bwana Ghost haifai ulete mwanamuke kwanyumba ya mke mwengine. Afabdari wakutanane inje ukooooo
@mumbentahthomas9954
Ай бұрын
Akiwa ni mimi wife siwezi rudi ata kwa dawa. Coz hapo mwanaume nikunikosea heshima sanaaa.
@moreh462
Ай бұрын
Hana pesa ya lodjo😂
Ghost kicheko yako inaeza fanya mtu akate cmu
😂😂😂😂
Mechi ya baby mama nayo hukua surebet mkipatana. Don't be fooled😂😂😂
Wanaume mnatakanga nn 😂😂
@ismaelodemo2539
Ай бұрын
Dem mnono😂
@Richmond_Classic
Ай бұрын
tunataka kitu kizito
@MargaretAwinja-ls7hx
Ай бұрын
😂😂😂😂 huwezi elewa
@user-po4jx2dl9x
Ай бұрын
@@ismaelodemo2539 waah, sa sisi hatuna nyota 🤣🤣
@user-po4jx2dl9x
Ай бұрын
@@Richmond_Classic 🤣🤣