Part 4_SINTOSAHAU KUZIMU-USHUHUDA WA KWELI WA KATRINA ALIYEKUWA JINI MTU MLA WATU

JIUNGE NA MAGROUP YETU YA WASAP KAMA UNGEPENDA KUWA MCHANGIAJI WA KILA MWEZI KAMA IFUATAVYO:-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/Cm8cBgjxQhM...
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp.com/KOzwX8N7rqy...
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/EhBM3Od8c1B...
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 101

  • @favouredbygod4163
    @favouredbygod41633 жыл бұрын

    Huyu dada amenibariki kuliko kawaida.Nimejua mengi sana kuhusu maisha ya kiroho na namna ya kushinda falme za giza. Nakutia moyo dada usiache kutoa ushuhuda utafungua wengi sana.

  • @marianachriss2444
    @marianachriss24443 жыл бұрын

    Waislam wanatakiwa wampokee YESU kristo ,maana ndio Alfa na omega,mwanzo na mwisho.

  • @mabulamasunga7378

    @mabulamasunga7378

    3 жыл бұрын

    Mioyo yao migumu na wanaogopa suluba akiokoka

  • @gosbertmuta5421

    @gosbertmuta5421

    3 жыл бұрын

    Yanagoma majn yao

  • @zeuscus501

    @zeuscus501

    3 жыл бұрын

    Kati ya yesu na Mungu nani wa kumpokea ?

  • @joshuanjiuka2870
    @joshuanjiuka28703 жыл бұрын

    Ubarikiwe mtumishi, hapo nimekuelewa. Pia Mungu akubariki Mr Jactann Unaulizia maswali ambayo na watazamaji tunahtaji. Big up.

  • @omaebarongo1892
    @omaebarongo18923 жыл бұрын

    Truly tuitaji tumshikilie yesu Sana, maana mashetani hawalalali Mwenyezi Mungu atusaidie aki

  • @nasht8604
    @nasht86043 жыл бұрын

    Uhhhh thank you sir atlist nimejibiwa swali lenye limekua likisumbua ufaham wangu GOD bless u💯🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mariajili6319
    @mariajili63193 жыл бұрын

    Weslam okokeni njooni kwa yesu

  • @blessingmalaika4045
    @blessingmalaika40453 жыл бұрын

    Yesu pekee ndio njia ya uzima!

  • @omaebarongo1892
    @omaebarongo18923 жыл бұрын

    Kusema kweli sikuwa najua kuwa Muslims wanaabudu mapepo, nilikuwa nasikia tu but Leo nimeamini kweli Mwenyezi Mungu atuokoe, nimebarikiwa Sana Asante kwa ushuhuda wako umenisaidia sana na naamini utasaidia wengi, barikiwa Sana AMINA

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting37283 жыл бұрын

    May God bless u .ur testmony is touched

  • @siahmboya1033
    @siahmboya10333 жыл бұрын

    Barikiwa sana kupitia ushuuda wako nimejifunza vingi Sana ' nabarikiwa na shuuda hiki kipindi kidumu , kinatuinua na kutufundisha

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul7373 жыл бұрын

    In God we trust barikiwa testimony is touching kwa yesu kuna raha I wish ur prayers can save some pple wenye ulipeleka kwa jina la Yesu.

  • @glorytoGod639
    @glorytoGod6393 жыл бұрын

    Hongera mtumishi wa Mungu Jactani,kazi yako Ni njema, ubarikiwe mno

  • @frankmpoto5347
    @frankmpoto53473 жыл бұрын

    Mawigi risptic heren marangi ya makucha mikufu bangili, ni mali ya mapepo, wengi wanajiita wameokoka na bado wanavaa vitu hivyo ujue uko chini ya himaya yake bado kwakutokujua

  • @fredrickmichael2317

    @fredrickmichael2317

    3 жыл бұрын

    Ni kweli

  • @chazgunda5823

    @chazgunda5823

    3 жыл бұрын

    Nguo makochi mc mapanzia je ? Ni mali za nani? Acha mawazo finyu imani yako ndo itakuponya

  • @gosbertmuta5421

    @gosbertmuta5421

    3 жыл бұрын

    Sio wote waitao bwanabwana watafanyaje vile..............jaza hpo nimesahu mm

  • @geitandelwa299

    @geitandelwa299

    2 жыл бұрын

    Yes hayo mawigi na mavazi ya KIUME yaani suluzli hereni kewa mlokole havifai

  • @appleelia9965

    @appleelia9965

    Жыл бұрын

    Mungu humpa kila mtu neema ya wokovu hatua kwa hatua. Maana hata mtu ambaye leo hujipambi haimaanishi ulianza hivyo! Hii ni Neema ya Roho Mtakatifu. Na inategemea alivyookoka aliangukia mikonon mwa mchungaji mwenye iman ip juu ya hayo mapambo. Mm namhesabu hajapata mahali sahihi pa kuukulia wokovu wake

  • @rosemdemu4237
    @rosemdemu4237 Жыл бұрын

    Mwmbie katalina ààche mapambo ili amuone Mungu mana akifa hivyo alivyo kuzinu kutamfulahia

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz71143 жыл бұрын

    Doctor wa Roho Barikiweni Sana Watumishi Wa Mungu

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey703 жыл бұрын

    Nabalikiwa sana kupitia hii chanel yani napata nguvu moyoni mwangu 🙏

  • @tabithakigongo7801
    @tabithakigongo78013 жыл бұрын

    Yaan jinsi mlivomuandama huyu dada kwa mapambo na mavazi yake mpaka unabaki kushangaa..!! Jamani mambo ya Mungu ni ya ajabu sana ..lugha za MUNGU NI za kiroho na ni za ajabu sana.. ukisoma kiumakini na kiundani ndipo utaelewa na pia Mungu anaongea jamani so akimsihi na kumuambia aache ataacha kwa makusudi yake...!! Vitu vyoote ni mali ya Bwana. Maana halisi za maandiko ya kibibilia ni tofauti na mnazofikiri..

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter16613 жыл бұрын

    Hakika naendelea kubarikiwa na huu ushuhuda unanifungua zaidi barikiwa sana Mtumishi

  • @mariajili6319
    @mariajili63193 жыл бұрын

    Nime barikiwa kwa ushuhuda wako, mungu hakubariki

  • @jessekusipa7325
    @jessekusipa73253 жыл бұрын

    Good bless you and your job, keep it up.

  • @jasndo3332
    @jasndo33323 жыл бұрын

    Tunajifunza mambo mengi thanks for your testimony God bless you Amen

  • @kithia100
    @kithia1003 жыл бұрын

    Dada Asante Sana kwaushunda , umeniinua kiroho🇰🇪🙋

  • @joylynenalija4795
    @joylynenalija47953 жыл бұрын

    Nmebarikiwa sn na huu ushuhuda,Mungu akubarik kaka Jaktan 🙏

  • @PromovertvTz

    @PromovertvTz

    3 жыл бұрын

    Amen

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku523 жыл бұрын

    Ndio maana wengi kizazi hichi hakiwenzi hata kazi za myumbani somo lingine. Nani kweli mogojwa mengine sio ya kawaida asante kwa kutufunguwa macho dada. Jumbo lingine ni wakristo kuchukiana yesu akasema amri kubwa ni upendo may God have mercy upon us all in Jesus Name

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu56973 жыл бұрын

    Asante dada🙏🙏🙏

  • @happytz6190
    @happytz61903 жыл бұрын

    Ee Yesu uwe nami sikù zote

  • @lilianachiengministries3386
    @lilianachiengministries33863 жыл бұрын

    Ushuda nzuri,nasikiza sana hata time ya comment haiko.hakika wewe Sio mwoga maana una yesu .

  • @nicholaskiragu2797
    @nicholaskiragu27972 жыл бұрын

    Asante sana.. hizi shuhunda zinaniimalusha Sana kiroho.. God bless you. Zile roho za watu waliokufa huishi wapi?.

  • @leahkatto8820
    @leahkatto88203 жыл бұрын

    Mungu azidi kutukomboa kupitia ushuhuda wa dada etu mzr tunakupenda

  • @johnmelele1450
    @johnmelele14503 жыл бұрын

    amen

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa84903 жыл бұрын

    Hakuomba funguo bali alimnyanganya shetani

  • @pierremira
    @pierremira3 жыл бұрын

    Majini na wao ni ndugu

  • @millicentayangokunting3728

    @millicentayangokunting3728

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣

  • @joycekaphevemba7215
    @joycekaphevemba7215 Жыл бұрын

    Mimi naomba kujua maana ya mahandaki , na ugaibuni hizo vitu maana yake ni Nini??

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi74943 жыл бұрын

    Nawafuatilia vizuri Jacktan nikiwa nairobi

  • @doreenmartin3105
    @doreenmartin31053 жыл бұрын

    Bwana asifiwe nimefrahia ushuhuda huu ilanaomba pia aongeree frimasion watumishi wanao jiunga navitu wanavyotumia

  • @liliankelvin4662

    @liliankelvin4662

    3 жыл бұрын

    Hila dada nakuomba wewe sasa ni mchungaji pili nikioo cha jamii usivae suruali usijichubue, usiweke kope usivae wigi, ni chukizo kwa mungu

  • @modestesahingereje3408
    @modestesahingereje34088 ай бұрын

    haukuwa ndaniyarkisto kwasababu unafundisha watukuvamawi gihatutaki kuonatena mutuanae rezeya ushuhuda namawigi??????? anaperekawatu kuzimutena

  • @Star-qf7ls
    @Star-qf7ls3 жыл бұрын

    OMG 😲

  • @innomushi5994
    @innomushi59943 жыл бұрын

    Dada pia atujibie hili swali je.nikweli marehemu kanumba alichukuliwa kimiujiza nakwamba anatumika kuzimu?

  • @EngJosh

    @EngJosh

    3 жыл бұрын

    Itakusaidia nn Ndugu

  • @neemakingdom4816
    @neemakingdom48163 жыл бұрын

    Naomba kuuliza ughaibuni na kuzimu inamaana ni tofauti?

  • @PromovertvTz

    @PromovertvTz

    3 жыл бұрын

    Utajibiwa, endelea kufatilia

  • @joshuanjiuka2870
    @joshuanjiuka28703 жыл бұрын

    God bless you.

  • @furahabahati8432
    @furahabahati84323 жыл бұрын

    🤔🤔🙏🙏🙏🙏

  • @pericykiko6198
    @pericykiko61983 жыл бұрын

    Hongera Mtumishi lkn toa hayo makope na ma weaving mahereni

  • @eunicehezron3481

    @eunicehezron3481

    3 жыл бұрын

    AMINA

  • @wemamanikana9791

    @wemamanikana9791

    3 жыл бұрын

    Kweli kabisa, akiacha kuvaa hayo manywele na mapambo atakuwa mlokole kweli kweli

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha87563 жыл бұрын

    Duuu kazi unashangaa haya mambo mungu tusaidie

  • @josephinepetet122

    @josephinepetet122

    3 жыл бұрын

    Ashukuliwe Mungu kwa kukutoa huko wapo wengine hawajaipata hiyo neema

  • @joesikaluzwe4218

    @joesikaluzwe4218

    3 жыл бұрын

    Umeshinda wewe dada kwenye jina ra yesu christo usirudiye nyuma

  • @joesikaluzwe4218

    @joesikaluzwe4218

    3 жыл бұрын

    Na taka kujuwa nyota yamtu waga inaonekanaje

  • @Mazoea

    @Mazoea

    3 жыл бұрын

    @@joesikaluzwe4218 mambo ya nyota ni unajimu ni ushirikina.....

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta54213 жыл бұрын

    Marufuku kujiita Dr wa roho iwe mwanzo na mwisho Dr wa roho Ni YESUKRISTO peke yake, Yani huna tofaut na wale wanoita makanisa Yao et kanisa la ukomboz manake Kuna ukomboz mwngne duniani? Me spend ujue .......me ntaendelea kuwachukia waislam km mungu anavomchukia shetani kwamaana mtu yy aliye kinyume na bwana wangu YESUKRISTO yuko kinyume namm namm niko kinyume nae, mwislam Hana huruma na hata km alishawah kukufanyia wema flani chunga Sana Hawa Ni watu waajabu Sana kumbe wanayakumbatia kabsa wanasema et majn Ni viumbe vya mungu jamn hata km lkn vikiwa chini ya laana hivo viumbe tuvipende hvohvo? Hapana tena mungu anisamehe kabsa katk Hilo siwez

  • @veronicanguga8016

    @veronicanguga8016

    3 жыл бұрын

    Umecoment sehemu nyingi nimekuona ila nakuona unashida kubwa sana ya akili yako, haiposawa unahitaji ukombozi usijione upo sahii. Tafuta msaada haraka kabla hujaanza kuvua nguo

  • @everinapeter1313
    @everinapeter1313 Жыл бұрын

    Na manywele yake ya bandia

  • @tamariophant6919
    @tamariophant69193 жыл бұрын

    Ubarikiwe

  • @Neymarjr2013

    @Neymarjr2013

    3 жыл бұрын

    Mungu akubariki

  • @getrudeuronu8177

    @getrudeuronu8177

    3 жыл бұрын

    Mamb

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul7373 жыл бұрын

    Vipi dada kunauwezekano ukatoa baadhi ya watu ulipeleka ama walikufa😣

  • @gellykaizar4112
    @gellykaizar41123 жыл бұрын

    Muonekanao tu ni shida yan mchungaji anavaaje suruali jamn duuuh

  • @brigithadidas5128

    @brigithadidas5128

    3 жыл бұрын

    Yani binadamu kati ya yooote aliyoongea ww umeona ilo tu la kukosoa

  • @hugowilfredlukoo4971

    @hugowilfredlukoo4971

    3 жыл бұрын

    Suluali sio tatizo tatizo ni uelewa wa asili ya mavazi

  • @angelalaizer3895

    @angelalaizer3895

    3 жыл бұрын

    @@brigithadidas5128 anamnyoshea kidole wakati huyu mbingu anatoboa.atashangaa.

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu56973 жыл бұрын

    Colona nsuo imetoka kuzimu😌😌😌😌

  • @henryosoro7696
    @henryosoro76963 жыл бұрын

    Hiyo sehemu inaitwa Gamboshi nimeisikia sana.. Inastahili makanisa ya jengwe uko mingi.

  • @akilimussa4571

    @akilimussa4571

    3 жыл бұрын

    Henry, ngoja tukutume ukawe mchungaji huko

  • @salomenachunga3590

    @salomenachunga3590

    3 жыл бұрын

    Hhhh, sio kila sehemu ya kupeleka ufalme read your bible throgh the power of the holy spirit utaelewa kwa nn gambosh

  • @josphatmuteti8167
    @josphatmuteti81673 жыл бұрын

    Ugaibuni ni nini kwa Kingereza?

  • @queendanford4546
    @queendanford45463 жыл бұрын

    Mh

  • @lukapastory
    @lukapastory2 жыл бұрын

    VIP mawigi, rangi kwa kucha ni halali?

  • @modestesahingereje3408
    @modestesahingereje34088 ай бұрын

    mwambiye nabandohaja acawucawe????

  • @user-gu8in9kt4o
    @user-gu8in9kt4o2 ай бұрын

    Acha uongo mbwa wewe hapo tu umevaa shetani kichwani hakuna cha mtumishi wa Mungu kafie mbele vya hilo wigi jisitiri natena ikome kutaja misikiti taja makafiri wenzako wanao ruhusu ndoa za jinsia moja

  • @samwelluhuta7208
    @samwelluhuta72083 жыл бұрын

    Kumbe jackitan kumbe ukinyoa unywele unapendeza!!!

  • @PromovertvTz

    @PromovertvTz

    3 жыл бұрын

    😆☑️

  • @gosbertmuta5421

    @gosbertmuta5421

    3 жыл бұрын

    @@PromovertvTz kabsa ulibadilika skukujua yan

  • @LucyKapinga-fg4dk

    @LucyKapinga-fg4dk

    3 ай бұрын

    Please na promover naomba namba ya Mchungaji Fedreck jumanne​@@PromovertvTz

  • @rachelmlingwa8880
    @rachelmlingwa88803 жыл бұрын

    Kupitia udhuhuda wa huyu dada nimeamini kweli Kanumba anatumika kuzimu kwa mimi. Nilishamuona kny ulimwengu wa roho

  • @millicentayangokunting3728

    @millicentayangokunting3728

    3 жыл бұрын

    Lini ???anafanya nini?

  • @gosbertmuta5421

    @gosbertmuta5421

    3 жыл бұрын

    Ulimwona akasemaje

  • @jasonandjesuschrist4172
    @jasonandjesuschrist41723 жыл бұрын

    JACKTAN MUSAFIRI ASANTI BARIKIWA NA BWANA YESU KRISTO ❣️ LAKINI Mwambie mchunganji atoe maheleni na manywele ya kubandika manake ni mali ya shetani 😥 akae vile YESU KRISTO ❣️ alivyo muumba Asanti ❣️ BWANA YESU KRISTO ❣️

  • @mariajili6319
    @mariajili63193 жыл бұрын

    Kaokoka mbona kaweka wig kichwani sijaelewa? ao kwa mtu alieokoka kuweka kwele bandia kichwani ni sawa?

  • @neemalambo9790

    @neemalambo9790

    3 жыл бұрын

    Sio sawa

  • @kingdavid1924

    @kingdavid1924

    3 жыл бұрын

    Sio sawa kabisa na ni dhambi kabisa. Mungu ni mwaminifu atamfundisha na roho mtakatifu yupo atamsaidia na naamini ataacha ingawa hili kwa wakristo wengi ni shida ila wengine walishapona na wameshaelewa.

  • @brigithadidas5128

    @brigithadidas5128

    3 жыл бұрын

    Ambao hatujui tusaidie kibiblia ni dhambi kivipi

  • @neemanzengele7169

    @neemanzengele7169

    3 жыл бұрын

    Mpaka Roho Mtakatifu azungumze naye Yesu atambadilisha polepole naamini hivyo kwa jina la Yesu.

  • @tunusanga4701

    @tunusanga4701

    3 жыл бұрын

    Bado yupo kwenye transformation...atabadilika siku hadi siku

Келесі