Obby Alpha- Bora kushukuru (Official Video) For Skiza dial *837*2692#

Музыка

#BoraKushukuru is a Gospel Song Based on thanks giving.
Produced by Mixing Doctor
Guitar by Andreu Michael kan
#BoraKushukuru #ObbyAlpha #obbyalpha
Graphics #ApCreativeAgencies
Proudly sponsored by #GanjiKindoo
#ObbyAlpha
#BoraKushukuru #SingWithObbyAlpha Ni Bora Lyrics
Verse 1
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo,
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo,
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata,
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa.
Tabasamu njoo,Nataka nibadiri
Wangu mtazamo niishi kitajiri
Na wewe maumivu njoo,Nataka nibadiri
Wangu msimamo niishi kijasiri,
Ile habari ya kulialia Kila siku nakataa (Nakataaa).
Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aah,
Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (Makucha).
Wao walipofanikiwa wakataka kutushusha aah!!!
Bridge
Nafuta zile why me!! Why me!!
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
Nafuta zile why mimi Why mimi !!
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
Chorus
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo,
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo,
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata,
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa.
Verse 2
Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani,
Zamani huko nilishakataliwa na watu wa nyumbani,
Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata,
Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa.
Kumbe ni Bora kuridhika na hiki,
Nilichopata ndio yangu ridhiki,
Mungu ni Bora yeye hatabiriki,
Amekupa hicho mi amenipa hikii.
Bridge
Nafuta zile why me!! Why me!!
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
Nafuta zile why mimi Why mimi !!
Sijapata kwanini ? Kwanini ?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
Chorus
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo,
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo,
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata,
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa.

Пікірлер: 3 700

  • @martinmuthuitito4844
    @martinmuthuitito48448 күн бұрын

    I put this comment here so after a month or a year when someone likes it reminds me of this beautiful song

  • @PresenterKai
    @PresenterKai8 ай бұрын

    Wimbo mkubwa sana huuu Obby, Mungu akuzudishie kibali chake kwa watu wake. Amen.

  • @FLORAMWIMBO

    @FLORAMWIMBO

    8 ай бұрын

    ❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥

  • @ObbyAlpha

    @ObbyAlpha

    8 ай бұрын

    Kakaangu ahsante sana kakaa tuzidi kuombeana kakaanguu

  • @kelvinblessed34

    @kelvinblessed34

    8 ай бұрын

    True 🙏🙏

  • @jane7857

    @jane7857

    8 ай бұрын

    Bless u khaii

  • @carolinemurugi4121

    @carolinemurugi4121

    8 ай бұрын

    This will hit a million views in few weeks❤❤❤❤😊

  • @sekondianacletus4537
    @sekondianacletus4537Ай бұрын

    who is listening this song in end of april 2024.

  • @paulinemuthoni2860

    @paulinemuthoni2860

    Ай бұрын

    My favorite song so far on rep back to 🔙

  • @Acenmilly-ti6np

    @Acenmilly-ti6np

    27 күн бұрын

    I really love the song

  • @KYLALILYVENTURES

    @KYLALILYVENTURES

    26 күн бұрын

    Me

  • @saintnet2714

    @saintnet2714

    21 күн бұрын

    Is this a gospel

  • @paullabel571

    @paullabel571

    14 күн бұрын

    I don't understand what he is saying but I know it's for the glory of God. I love the melody, the beat, the way to express what he is singing. Well done Sir.🎉🎉🎉

  • @africanblossoms7544
    @africanblossoms75446 ай бұрын

    Thank you Tanzania for representing Eastern Africa in good songs. Kenya tuko pamoja na nyi

  • @naftalikahare9068

    @naftalikahare9068

    6 ай бұрын

    ❤love from 254

  • @directormisuni

    @directormisuni

    5 ай бұрын

    We lov u ❤

  • @samniza1763
    @samniza17638 ай бұрын

    Hizi ndio Nyimbo tunapenda kusikia kwa afya zetu za akili, imani na maisha

  • @bilaalbabu4643

    @bilaalbabu4643

    8 ай бұрын

    Kweli kabisa 💯

  • @user-ju4mi1km5l

    @user-ju4mi1km5l

    7 ай бұрын

    Mimi sahiii napitia machungu sana kùpotesa mtoy lakin hii inaniboesha roho yangu

  • @mercykerubo9604

    @mercykerubo9604

    7 ай бұрын

    Kweli

  • @eliamakere3089

    @eliamakere3089

    6 ай бұрын

    Nyimbo nzuri mno

  • @arafakiloli749

    @arafakiloli749

    6 ай бұрын

    Sahihi kabisa

  • @judyjoshofficial5992
    @judyjoshofficial59928 ай бұрын

    🎉🎉🎉🇰🇪 kenya 😊😊😊love 😍 Balikiwa sana keep shining Kenyans like ziko wapi?

  • @Haghaimwansasu

    @Haghaimwansasu

    8 ай бұрын

    ❤❤❤😊

  • @mudricPokoleee

    @mudricPokoleee

    8 ай бұрын

    Tupo from mombasa one

  • @mudricPokoleee

    @mudricPokoleee

    8 ай бұрын

    Hujawai kosea kaka

  • @mudricPokoleee

    @mudricPokoleee

    8 ай бұрын

    🔥🔥

  • @mudricPokoleee

    @mudricPokoleee

    8 ай бұрын

    Bgap sana kaka

  • @gracengui721
    @gracengui72117 күн бұрын

    Leo nimeangalia huu wimbo mara tanooo Juu ya hapo kwa kufuta why me God remember those who are going pain 😭 and they don't have anyone to tell

  • @MzeeMoja1
    @MzeeMoja15 ай бұрын

    Wasanii wa Tanzania tunawapenda sana Kenya! This is another banger, so fire!

  • @susanmalongo2398

    @susanmalongo2398

    5 ай бұрын

    It is a good song😊❤❤❤❤❤❤

  • @AjAj-fx2bz

    @AjAj-fx2bz

    Ай бұрын

    ❤❤❤❤

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH8 ай бұрын

    Wimbo pendwa Sana kwa wasikilizaji kama umeamini alichokifanya alpha gonga like zangu hapa

  • @andreamutekulwa1092
    @andreamutekulwa10928 ай бұрын

    Kama unaukubali huu wimbo kama mimi, na ipo siku utafanyikiwa gonga like hapa🙏🏾

  • @PetloNelson

    @PetloNelson

    Ай бұрын

    Pamoja

  • @FelixNaibei-sq2he
    @FelixNaibei-sq2he7 ай бұрын

    "Taabasamu njoo, nataka nibadiili wangu mtazamo, niwaze kitajiiri.... "the part i love the most

  • @mamaemmanuel9472
    @mamaemmanuel94725 ай бұрын

    Bwana Yesu asifiwe. Mwanangu kama umeiona hiyo coment naomba ufanye uonane na mwanangu ana miaka minane anakupenda sana hasa huo wimbo. 😅

  • @faustacharles111
    @faustacharles1117 ай бұрын

    Huu wimbo ni ushuhuda wangu…Listening this song working hard day and night tangu nije Abroad life is hard lkn nikikumbuka nilipotoka GOD is great…. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 if ur reading this usikate tamaa kesho yako ipo karibu💪🏾

  • @user-gh4pq7sj9j

    @user-gh4pq7sj9j

    6 ай бұрын

    Nimejikubali sasa

  • @user-gh4pq7sj9j

    @user-gh4pq7sj9j

    6 ай бұрын

    Napendezwa sana na baraka hizi

  • @PetloNelson

    @PetloNelson

    Ай бұрын

    🎉🎉🎉pamoj

  • @jumwa2714

    @jumwa2714

    Ай бұрын

    Sichoki kusikiza hii wimbo❤

  • @eldiablo7841

    @eldiablo7841

    Ай бұрын

    Amen ❤

  • @user-ns9im4kw7q
    @user-ns9im4kw7q8 ай бұрын

    Huu wimbo umepandisha sana kiwango changu Cha Imani. Hakika Mungu ni mwema sana kwetu. Dear Father thank's for all you have done in my life & I keep waiting for all good you are going to do in my life. Ameen.

  • @samniza1763

    @samniza1763

    8 ай бұрын

    Amen!

  • @MohammedkSesay-ji8iv

    @MohammedkSesay-ji8iv

    8 ай бұрын

    Can someone explain this song to me I love this song so much ❤❤. One love❤❤ Africa 🌍🌍

  • @delvisnyaata7995
    @delvisnyaata79954 ай бұрын

    Mungu ameniinua 2024 nashukuru 💯💯

  • @belindamboya9132
    @belindamboya91328 ай бұрын

    This song inanitia Imani Na nguvu za kuendelea kubambana 💖💖💖repsenting my country Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪in Gulf 🇱🇧🇱🇧🇱🇧

  • @lucymallya4250

    @lucymallya4250

    7 ай бұрын

    Nyimbo nzuri nina angalia hii tu 💖 🎉❤ napenda sana kuliko nyimbo zote 1:40 1:40

  • @user-sw3bq9wd9g

    @user-sw3bq9wd9g

    6 ай бұрын

    ♥️♥️♥️😍

  • @user-dx8sb8ev3f

    @user-dx8sb8ev3f

    5 ай бұрын

    ME too

  • @Lishlish510

    @Lishlish510

    3 ай бұрын

    ❤❤

  • @vumivumilema6503

    @vumivumilema6503

    2 ай бұрын

    vp

  • @amarshaban1754
    @amarshaban17548 ай бұрын

    I'm a Muslim but since I heard this song it has been on repeat mode ❤ you are talented

  • @Fraciencwa94

    @Fraciencwa94

    8 ай бұрын

    What does Islam have to do with this? Stop disrespecting the religion. Listen to the song in peace

  • @sammykamau257

    @sammykamau257

    8 ай бұрын

    Muslim see Cristian as kafiri...and Muslim also think they're the only ones who are worshipers of the true God (ALLAH) THEY JUDGE but they don't know they're judging also...

  • @ashindaismail7392

    @ashindaismail7392

    8 ай бұрын

    Just listen ,,the song is straight , he only mentions Mungu/God .. the song is divine but does not select a certain religion or belief as long as it’s God with no strings attached

  • @graceyngonyo625

    @graceyngonyo625

    8 ай бұрын

    Ameen yaroobi

  • @joshuandaki8077

    @joshuandaki8077

    8 ай бұрын

    thats great bro💪🔥

  • @user-np2ne7hh5p
    @user-np2ne7hh5p7 ай бұрын

    Kaka Mimi naitwa kajuna karim natokea muleba bukoba kazi nzuli sana mungu akubaliki lakini kua makini nawatu wadunia wasije wakakuekea mtengo hukakunasa ivo atawakijifanya wanakupoxt wewe muombe mungu akupe loo mtakatifu kwaajili yakukuongoza naaukupe macho yalooni kwaajili yakuwajua WATU wa zuli nawabaua

  • @ClindonMkaya
    @ClindonMkaya10 сағат бұрын

    Wimbo huu n mkubwa sana, wengi walokosa walipata,wagonjwa wamepona na wengi kufunguliwa,barikiwa Obby

  • @zakariaandrew8981
    @zakariaandrew89818 ай бұрын

    Hii nyimbo imenikumbusha jinsi nilivokuwa natafuta maisha ,mungu kweli nimkubwa

  • @johnrichard871

    @johnrichard871

    6 ай бұрын

    Nakubali wimbo bora katkanyimbo

  • @johnrichard871

    @johnrichard871

    6 ай бұрын

    Goood

  • @elisantejohn3253

    @elisantejohn3253

    6 ай бұрын

    Wimbo umekukumbusha, sio nyimbo ndugu, nyimbo zikiwa nyingi ikiwa mmoja ni wimbo. Barikiwa na wimbo huu popote ulipo

  • @bernaberna4159
    @bernaberna41598 ай бұрын

    Nasubir nyimbo yangu pendwa😊

  • @ObbyAlpha

    @ObbyAlpha

    8 ай бұрын

    Ahsante sana ubarikiwe sana na Mungu 🙏🙏

  • @FLORAMWIMBO

    @FLORAMWIMBO

    8 ай бұрын

    hata mimi

  • @bernaberna4159

    @bernaberna4159

    8 ай бұрын

    ​@@ObbyAlphaAMEN ubarikiwe sana mtumishi kwa ujumbe mzuri🙏🙏♥️

  • @Haghaimwansasu

    @Haghaimwansasu

    8 ай бұрын

    ​@@ObbyAlpha😂😂😂😂❤

  • @themerlins5833
    @themerlins58336 ай бұрын

    Wimbo unatia moyo sanaaaaa...shukrani sana kwa kutukumbusha kushukuru kila siku kila saa...wanadamu tunakuaga na tabia za kusahau mpaka vitu muhimu kama hivi maana ndivyo tulivyoumbwa

  • @gracegithaiga5355
    @gracegithaiga53552 ай бұрын

    Who is here for this ? It doesn't get old Nakushukuru mungu🙏

  • @The_Peacemaker
    @The_Peacemaker8 ай бұрын

    Iyi nyimbo inanifanya lia sana, namuomba mungu kila siku, kila siku. Anibariki nimsaidiye mama yangu🙏🙏🙏

  • @edward_ethane

    @edward_ethane

    8 ай бұрын

    Same me here,....natamani ngekua na uwezo wa kumsaidia mamangu pia

  • @upendokihunrwa3427

    @upendokihunrwa3427

    7 ай бұрын

    Mungu abariki kazi ya mikono yako soon uweze kufanya hivyo

  • @PraygodNnko

    @PraygodNnko

    7 ай бұрын

    Mungu akusaidie 🙏

  • @lightinessblighton5230

    @lightinessblighton5230

    7 ай бұрын

    ❤❤

  • @pamocstudio2150

    @pamocstudio2150

    6 ай бұрын

    Keep on trusting in him,,,,his time is always the best!!

  • @directorkali5245
    @directorkali52458 ай бұрын

    nasubiri nyimbo yangu pendwa ya msimu

  • @FLORAMWIMBO

    @FLORAMWIMBO

    8 ай бұрын

    BORA KUSHUKURU❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥

  • @nshokamusic5664

    @nshokamusic5664

    8 ай бұрын

    Tuondokeeee🔥🔥🔥🔥🔥

  • @OfficialblessdePrince
    @OfficialblessdePrince4 ай бұрын

    Wimboo huu unanifanya nijiisi kuwa mm niwa dhaman .... 🥰🥰🥰

  • @Nyaluopeggy
    @Nyaluopeggy11 күн бұрын

    Obby uko na sauti nzuri,Nyimbo zako nazipenda,Tz wanaimba vizuri,mungu awabariki ,wimbo mzuri tumsifu mungu kila wakati

  • @yonahmsigwa777
    @yonahmsigwa7778 ай бұрын

    tunasubili sana

  • @ObbyAlpha

    @ObbyAlpha

    8 ай бұрын

    Ahsante sana ubarikiwe sana na Mungu 🙏🙏

  • @directorkali5245

    @directorkali5245

    8 ай бұрын

    KABISAAA

  • @kibengaJr-ms1rd
    @kibengaJr-ms1rd8 ай бұрын

    Am a muslim but to be honest this song nearly made me cry,obby alpha there's something unique in you....God bless you

  • @user-mq4fp2hv3v

    @user-mq4fp2hv3v

    4 ай бұрын

    Same case

  • @user-pu7jp6gf4v

    @user-pu7jp6gf4v

    2 ай бұрын

    Sio mbaya kijana kajitahidi sana ❤❤❤❤

  • @user-pu7jp6gf4v

    @user-pu7jp6gf4v

    2 ай бұрын

    This song is best off course

  • @mathiaslaurent756
    @mathiaslaurent756Ай бұрын

    Ningekua muandaaji wa matamasha huyu nisingemwacha hata kama ni matamasha ya nyimbo za akina harmonize

  • @zephaniamabula3297
    @zephaniamabula3297Ай бұрын

    Yote katika yote sifa na Utukufu zimrudie yeye aliye juu kwa kukupa ndoto na maarifa makubwa ya kutunga huu wimbo kwa ajili ya mapenzi yake

  • @staceymathew3214
    @staceymathew32148 ай бұрын

    Justice is when this song gets 1M and above ❤

  • @ObbyAlpha

    @ObbyAlpha

    8 ай бұрын

    WE ARE GONNA GET IT AND PROCLAIN HIS GOODNESS

  • @staceymathew3214

    @staceymathew3214

    8 ай бұрын

    @@ObbyAlpha Amen

  • @babraaliero1444

    @babraaliero1444

    7 ай бұрын

    Amen

  • @elidahshiks541

    @elidahshiks541

    7 ай бұрын

    Amen

  • @deejaykagimd

    @deejaykagimd

    6 ай бұрын

    And it happened. 🎉🎉

  • @Dafer_nyani
    @Dafer_nyani8 ай бұрын

    Niko Angani kwenye ndege naelekea gamboshi kambodia hadi rubani anaimba bora kushukuru🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ubarikiwe sana mtumishi obby Alpha🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kabaisakarima9523

    @kabaisakarima9523

    8 ай бұрын

    😂😂😂

  • @GeorgeGibson-pi3xi
    @GeorgeGibson-pi3xiАй бұрын

    naku-apreciate mno Bro👍!,Mungu azidi kukubariki Na Namwomba akufikishe viwango vya juu zaidi,Amina.

  • @alexkamazima
    @alexkamazima5 ай бұрын

    Asante sana🙏🏾 kwa wimbo mzuri mwaka huu 2023

  • @carltonsalanmusic1
    @carltonsalanmusic18 ай бұрын

    I declare tht this video is going to trend for many months in God I trust ❤❤❤❤❤

  • @user-vj7fx4bh2t

    @user-vj7fx4bh2t

    8 ай бұрын

    🔥🔥🔥

  • @grolyqueen5833

    @grolyqueen5833

    8 ай бұрын

    Amen

  • @TeresiahMutinda

    @TeresiahMutinda

    8 ай бұрын

    Amen 🙏🙌

  • @erickmponeja2371

    @erickmponeja2371

    8 ай бұрын

    Amen 🙏🏾 lakini sio months tu huu utaishi for decades and centuries to come…

  • @omarysaid2356

    @omarysaid2356

    7 ай бұрын

    Kaza Buti hunajua kumtukuza mungu

  • @ReaganENZI-ww4vu
    @ReaganENZI-ww4vu4 ай бұрын

    Hi my best family 😊😊 mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili, nawaomba supports zenu plz, follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰 Asante

  • @mkamapatorose8120
    @mkamapatorose81207 ай бұрын

    Sichoki kusikiliza huu wimbo naurudia Kila napomaliza umenipa nguvu sana acha nikushukuru Mungu wangu maana njia zako hazichunguziki 💪🙏

  • @abusnype
    @abusnype6 ай бұрын

    Hii ngoma tamuu kama second life after death ❤❤

  • @Craig-qw6gl

    @Craig-qw6gl

    2 ай бұрын

    I agree

  • @MercyAndrea
    @MercyAndrea7 күн бұрын

    Mungu akubaliki kwa taranta uliyonayo na akuzidishie kipawa

  • @mrprideofficial2879
    @mrprideofficial28798 ай бұрын

    Acha niache comment yangu hapa 😮mzingo ukiruka nipate likes 😢😊

  • @erickmponeja2371
    @erickmponeja23718 ай бұрын

    Huu wimbo ni a masterpiece ambayo itaishi for decades and centuries to come, Mungu azidi kukubariki 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @safiahassan6563
    @safiahassan65635 ай бұрын

    May Allah bless u my dear i am muslim but it almost make me cry much love from North eastern part of kenya ❤❤❤❤

  • @Niyiturinda

    @Niyiturinda

    5 ай бұрын

    Me too brother......❤❤❤❤❤❤

  • @patrickKitambo

    @patrickKitambo

    Күн бұрын

    What does being a muslim have to do with a wondeful song like this?

  • @silandahenry7663
    @silandahenry76634 ай бұрын

    Unakitu kikubwa, Mungu ameweka ndani yako, jitahidi sana kufanya kazi zako kwa kumtanguliza Mungu utafanikiwa. Wasiotaka ufanikiwe, watakuwepo lakini, usikate tamaa. Big up and thanx for good music once again

  • @aquinastera7404
    @aquinastera74048 ай бұрын

    Mambo ni Matatu :- kushukuru Bora na Heri😅

  • @FLORAMWIMBO

    @FLORAMWIMBO

    8 ай бұрын

    ❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥

  • @aquinastera7404

    @aquinastera7404

    8 ай бұрын

    Obby God will bless U with more gospel truth about our daily life ...

  • @mannuepro418

    @mannuepro418

    8 ай бұрын

    You must be kenyan😂

  • @proper_maids_wedding

    @proper_maids_wedding

    8 ай бұрын

    ❤❤❤

  • @DannyScorp-zq1sp
    @DannyScorp-zq1sp7 ай бұрын

    Naupenda huu wimbo kwanza chorus, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @JosephNguyo-ln5dl
    @JosephNguyo-ln5dl6 ай бұрын

    Kakangu sina neno,,,,,ila tu! Nkupongeze sana haswa kwa maneno makubwa kweli......shida yetu sie binadamu ni kulalamika tu,,,,,,Nashukuru Mungu kwa yote...

  • @joachimhancemwakoba8283
    @joachimhancemwakoba82838 ай бұрын

    Nyimbo inatuliza sana❤❤ ilikua niende kunywa pombe ila nimeishia njiani narudi nyumbani sasa,.nyimbo inasema yenyewe tusikate tamaa

  • @shadiesharkz47
    @shadiesharkz478 ай бұрын

    I was Playing this song so loud🔊 until my neighbour called the police when the police arrived, they called the prosecutor;the prosecutor came and he then called the judge,when the judge came;he sentenced my neighbour for trying to kill the vibe 🔥 🌟

  • @bobbyasiani446

    @bobbyasiani446

    8 ай бұрын

    😂😅😂

  • @MarthaLawrence-ip3uj

    @MarthaLawrence-ip3uj

    7 ай бұрын

    😂😂😂

  • @dianandave2112

    @dianandave2112

    7 ай бұрын

    😂😂😂😂

  • @mercymuchinia9878

    @mercymuchinia9878

    7 ай бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @florahkimaro9

    @florahkimaro9

    7 ай бұрын

    😂😂

  • @MULTNAIRE
    @MULTNAIRE5 ай бұрын

    Maisha yanachangamoto Nyingi, Binadamu ndio kikwazo cha changamoto zote tunazopitia wengine wamekua kama miiba juu ya Maisha yetu.

  • @abdihakimu6858
    @abdihakimu6858Күн бұрын

    Mungu akuzidishie NEEMA yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @realgreyman_
    @realgreyman_8 ай бұрын

    Let's keep spreading the word of God!❤

  • @ObbyAlpha

    @ObbyAlpha

    8 ай бұрын

    Ameen

  • @user-vj7fx4bh2t

    @user-vj7fx4bh2t

    8 ай бұрын

    Amen

  • @RaymondTarimo

    @RaymondTarimo

    8 ай бұрын

    🎉

  • @yssaid4193

    @yssaid4193

    8 ай бұрын

    Nice music @ObbyAlpha

  • @WinfredMaina-if2oi

    @WinfredMaina-if2oi

    7 ай бұрын

    ​@@ObbyAlphaallow us to download please

  • @tonykoome558
    @tonykoome5588 ай бұрын

    I pray the song hit million views within a short period,a blessing voice.

  • @danielmparanyi

    @danielmparanyi

    8 ай бұрын

    Wimbo nyingine Wa shukurani Hope ita Ku bariki 👉kzread.info/dash/bejne/aJOcmaSdhJrcac4.html God bless you 🙌

  • @sacohg5458

    @sacohg5458

    8 ай бұрын

    Me and you can make this a trend

  • @zainabblessed8313

    @zainabblessed8313

    8 ай бұрын

    It will l believe

  • @evansbiwott6168

    @evansbiwott6168

    6 ай бұрын

    amen

  • @Lishlish510
    @Lishlish5103 ай бұрын

    Stick to Jesus'young man even after the elevation of this song and you will never regret.❤❤

  • @upendochiwa25
    @upendochiwa253 ай бұрын

    Utafika mbali kwa jinsi nilivyosikia interview yako

  • @officialkizito849
    @officialkizito8498 ай бұрын

    I will leave Cameroon and come to Tanzania for obby shows performance ❤

  • @SwaumMusahamisi

    @SwaumMusahamisi

    7 ай бұрын

    Asant

  • @thadeusmathiews2564

    @thadeusmathiews2564

    4 ай бұрын

    😂😂Amen

  • @Modestyinnocent
    @Modestyinnocent8 ай бұрын

    Tuendelee kusubiriiii 🎉🎉🎉

  • @ObbyAlpha

    @ObbyAlpha

    8 ай бұрын

    Kaka Modeee Ahsante sana ubarikiwe sana na Mungu 🙏🙏

  • @user-ry9pb5qm7f
    @user-ry9pb5qm7f26 күн бұрын

    Asante sana Mimi ni mwislam lakini nyimbo nimeipenda.kwakwel

  • @maryoshkosh1904
    @maryoshkosh190425 күн бұрын

    Anyone May 6th 2024❤❤

  • @annengugi2939
    @annengugi29398 ай бұрын

    Amen wimbo wenye kunisafirisha katikati ya maisha yangu tangu utotoni hadi utu uzima huu , kwa kweli ni wimbo wenye kunikumbusha matukio mengi ambayo badala ya kulia na kuhofu nilikuwa nishukuru tuu , ndugu OBY Mwenyezi Mungu akuzidishie na nyimbo kuu kutoka visima vyako vya uhai

  • @user-ym7of4pu5l
    @user-ym7of4pu5l8 ай бұрын

    Kazi nzuri kaka mungu akakupe nguvu katika kazi yako ya kumtukuza mungu nabarikiwa sana na wimbo huuu mungu akubalik mtumishi wa bwana amen

  • @AdmiringFinishLine-bu2gv
    @AdmiringFinishLine-bu2gv18 күн бұрын

    Ubarikiwe sana brother sababu ninaposikiza wimbo huu unanipa imani ya kutafuta kile kidogo ninachokipata kusaidia familia yangu❤❤❤❤

  • @kelemakelema3705
    @kelemakelema37056 ай бұрын

    Mungu wangu akuinuwe Tena kweli Unanifanza nikumbuke mengi ubarikiwe

  • @UwepoTv
    @UwepoTv8 ай бұрын

    Unabariki huu wimbo na unafungua fahamu za kiroho, nami leo namshukuru Mungu kwa maana kuna wengine hawana hiki nilicho nacho na wengine hawajafika leo hii

  • @user-dk9hb7ou1g
    @user-dk9hb7ou1g8 ай бұрын

    I feel so emotional because i was almost giving up in everything,this life but you can't imagine how this song filled my broken heart....i should be always thankful...More veiws Obby keeping going..

  • @proviaprojectus7350
    @proviaprojectus73505 ай бұрын

    God is authentic❤...Grace in thanksgiving provokes the heavens attention for blessings😊

  • @zephaniamabula3297
    @zephaniamabula3297Ай бұрын

    To me nimebarikiwa sana, kila mara naiplay hii nyimbo

  • @officialkizito849
    @officialkizito8498 ай бұрын

    From Cameroon 🇲🇱 I say this is a best song of obby ever, now I listen 209 times with My whole family

  • @emmanuelngendakumana3361
    @emmanuelngendakumana33618 ай бұрын

    Mungu azidi kuinuwa kipaji chako. Nyimbo imenijenga zaidi☑️

  • @charlesjacob1499
    @charlesjacob14993 ай бұрын

    Itengeneze njia yako ya kumtukuza MUNGU kwani ulichokihubiri ktk wimbo huu ndiyo ukweli wenyewe ktk maisha tunayopambana nayo.MUNGU azidi kukubariki.

  • @DynexwereWere
    @DynexwereWere5 ай бұрын

    🎉ntapata namimi

  • @mgessiwambura9265
    @mgessiwambura92658 ай бұрын

    Waooooow. Wonderful. Huu wimbo binti yangu mdogo ndiye aliyenielezea kuwa kusikia wimbo mzuri sana ikabidi niutafute. Hakika ni mzuri sana. Kazi nzuri sana kaka. Keep going!!!

  • @anordphabian4978
    @anordphabian49787 ай бұрын

    One Of The Best Gospel Song For This Year 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🙌🙌🙏

  • @husna7954
    @husna79547 ай бұрын

    Kwahivi ninavyooumwa nasikiliza hii nyimbo huku 😢😢😢ila natumaini inshallh nitakaa sawa

  • @StanzaMata
    @StanzaMata4 ай бұрын

    This is the song I needed to listen to now, bora kuwa thankful maishani.... Love from Rwanda 🇷🇼 ❤

  • @Craig-qw6gl

    @Craig-qw6gl

    2 ай бұрын

    Nice

  • @user-dk8mm4bh6p
    @user-dk8mm4bh6p7 ай бұрын

    Nmependa wimbo wako huu wimbo unanipa ujasiri

  • @JamesFavour-xo2tq
    @JamesFavour-xo2tq7 ай бұрын

    Wimbo mtamu kweli, sung with simplicity yet it's a gem.

  • @KinoboeBunge
    @KinoboeBunge23 күн бұрын

    Kati ya nyimbo Bora kuwahi kuzisikia

  • @eliabenjamin5949
    @eliabenjamin59496 ай бұрын

    HUU WIMBO NI MZURI SANA, NAUSIKILIZA KILA WAKATI NA HAUCHOSHI, KUNA FARAJA KUBWA SANA NDANI YAKE

  • @akosonguher38
    @akosonguher387 ай бұрын

    I came across this song on trace gospel n its has been play all day,i know its about praising God i love it,wish i can have it translated ❤❤❤much love all the way from 🇳🇬

  • @rhobymugosi9599

    @rhobymugosi9599

    6 ай бұрын

    Bora hata nimshukuru MUNGU kwa hivi nilivyo. Maana hata kuna wengine hawajafika nilipo. Bora hata nimshukuru MUNGU kwa hiki nilichopata. Maana hata kuna wengine wamekosa kabisa. Vs1 Tabasamu njoo nataka nibadili wangu mtazamo niwaze kitajiri. Na wewe maumivu njoo, nataka nibadili wangu msimamo niishi kijasiri. Ile habari ya kulia lia kila siku nakataa. Na kama nilisainiwa mkataba nafuta. Ndugu tunawasaidia wakaficha makucha. Nao walipo fanikiwa wakataka kutushusha elelee.. nafuta zile why mii why mimi sijapata kwa nini najawa ujasiri nitapata na mimix2

  • @SAM_163

    @SAM_163

    5 ай бұрын

    @@akosonguher38 It's better for me to be thankful to the lord for a little things i have and achieved in my life because there are so many peoples out there who wish to be like me and to reach where I am now but they didn't succeed. I break all misfortunes in the name of Jesus. I break all why me , why me!!! I'm a Blessed one .....

  • @nshokamusic5664
    @nshokamusic56648 ай бұрын

    Bora kushukuru🔥🔥🔥

  • @Haghaimwansasu

    @Haghaimwansasu

    8 ай бұрын

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯

  • @kanisiusphilberth6895
    @kanisiusphilberth68952 ай бұрын

    huu wimbo unagusa maisha yetu tunayoyaishi nami ni miongoni mwa huo wimbo maana bila mungu hatuwezi

  • @fredsanga9461
    @fredsanga94615 ай бұрын

    Wale tunaotazama mwaka huu mpya tujuane

  • @noldhp79
    @noldhp798 ай бұрын

    I imagine why I view this video several times in Canada 🇨🇦 and I reveal that this is a best song ever ❤❤

  • @user-ez1bt1fk5w

    @user-ez1bt1fk5w

    8 ай бұрын

    🔥🔥🔥🔥

  • @danielmparanyi

    @danielmparanyi

    8 ай бұрын

    Wimbo nyingine Wa shukurani Hope ita Ku bariki 👉kzread.info/dash/bejne/aJOcmaSdhJrcac4.html God bless you 🙌

  • @danielmparanyi

    @danielmparanyi

    8 ай бұрын

    ​@@user-ez1bt1fk5wWimbo nyingine Wa shukurani Hope ita Ku bariki 👉kzread.info/dash/bejne/aJOcmaSdhJrcac4.html God bless you 🙌

  • @marymakauki8310
    @marymakauki83108 ай бұрын

    We are waiting

  • @ObbyAlpha

    @ObbyAlpha

    8 ай бұрын

    Ahsante sana ubarikiwe sana na Mungu 🙏🙏

  • @Haghaimwansasu

    @Haghaimwansasu

    8 ай бұрын

    Tupo pamoja❤❤❤

  • @marymakauki8310

    @marymakauki8310

    8 ай бұрын

    Wimbo mzuri sana yani Mungu akuongezee kibali uimbe zaidiii much love from kenya

  • @trizahmwaoka2497
    @trizahmwaoka24974 ай бұрын

    Jamani Kila siku lazima niweke huu wimbo ndio nianze shughuli za hapa na pale

  • @johnohando2390
    @johnohando23904 ай бұрын

    Beautiful melody, vocals,visuals Beautiful everything

  • @cynthiambati9941
    @cynthiambati99418 ай бұрын

    Nothing beats a grateful heart ❤️

  • @cfuna
    @cfuna7 ай бұрын

    This is one of the best songs that keeps resonating in my heart all day and all night long since the past few days. It's a great reminder of the many incredible things that have happened around my life since I lost my dad 25 years Ago and now I'm a man. Looking back, it's a great feat that God intended me to have such a great mom to take care of us( me and my siblings), I'll always be grateful for the miraculous interventions in our lives as a family even when we found ourselves between a rock and a hard place, at some point at the precipice, at some point at the Clif edge but the maker of all creation was never late...I have a lot to say but this song speaks my mind in every second of it. God bless you my guy.

  • @curtisaleckie2062

    @curtisaleckie2062

    5 ай бұрын

    me too

  • @rosemarymutagaywa3904
    @rosemarymutagaywa39045 ай бұрын

    What a song !!!!!! The message, the vocal, the beat👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Hongera Obby……

  • @NdagijimanaPassifique
    @NdagijimanaPassifique14 күн бұрын

    Ubarikiwe sana wimbo huyu unanibariki sana nikiwa nasikiriza mungu akuzidishie Baraka amen

  • @jimmyjaytz
    @jimmyjaytz7 ай бұрын

    🔥🔥🔥🔥🎉chukua maua yako

  • @anisaanwar399
    @anisaanwar3998 ай бұрын

    My favourite motivational song 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 Thank you Lord❤

  • @danielmparanyi

    @danielmparanyi

    8 ай бұрын

    Wimbo nyingine Wa shukurani Hope ita Ku bariki 👉kzread.info/dash/bejne/aJOcmaSdhJrcac4.html God bless you 🙌

  • @user-vj7fx4bh2t

    @user-vj7fx4bh2t

    8 ай бұрын

    🔥🔥🔥

  • @joansekigongo365
    @joansekigongo3653 ай бұрын

    I love this song ❤ sooo much from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @user-uc8fl4xh9q
    @user-uc8fl4xh9q7 ай бұрын

    Ni vyema kumshukuru maana n mengi ame2fsnyia na ni ombi kwngu kua mungu akuzidishie nguvu za kumtumikua❤❤❤😂🎉

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly3 ай бұрын

    Listening February 2024 🙏 🙏 🙏

  • @Danny254
    @Danny2547 ай бұрын

    Kazi nzuri sana kakangu Obby.🇰🇪🇰🇪

  • @user-pe1bj5sn6w
    @user-pe1bj5sn6w6 ай бұрын

    🙏🙏🙏🙏 l will never give up ipo siku itajipa aki asante mungu wangu kua neema yako asanTe

  • @user-qp6de8vh8l
    @user-qp6de8vh8l3 ай бұрын

    Natumai uko salama,,,,,kindly change the settings of the song niweze kudownload🙏🙏🙏

  • @realtalkh
    @realtalkh7 ай бұрын

    How many of us needed to listen to this at this particular time?