NIMEPENDA BODY LAKE, NITAMUITA DADDY HUYU, NATAMANI KUMJUA KIUNDANI ZAIDI - HELLO MR. RIGHT
Ойын-сауық
►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
Пікірлер: 50
Hiv hawa wanawakenhawajui umaut upo nahuja ghafula eey mungu wangu tujalie mwisho mwema
Navuka mwaka kama sina zaddy😂Acha niendelee kulala kama panga kisolo😂😂😂
@JamieCarragher14..
5 ай бұрын
Haujamtaka t ety
@butondodavid2105
5 ай бұрын
Pleese your contact
Anitha i love your voice /communication ❤
Hiki n kipndi kizuri lakn m naona n kama wanahamasisha Ngono sana maana hat wakipatan wanapewa na mavidonge vya kubust sasa n vya nini kama n mr right kwann wasifnye n utaratibu wa ndoa kabisa maana hapo naona wakiptan wanaenda date na vidonge vyao en then utakuta baada ya one week or etc wanaachana wameshachokana wengne wanafika ndoa but wameshafanya hivyo vitu dah now n NGONO tu
Mlisema waislam mnajisitiri na dada zetu wafuate mavazi Yao? 😂😂😂 Sio kwahayo matatu.sasa Mimi nasema fuateni mavazi ya wakristo cheki mc garaaaaaaaaaabiiii
Hichi kipindi hakina maadili ya kivazi mpaka kinachotangazwa ni umalaya tu watt wakike muko uchi mapaja wazi sasa munaonesha nini mbona gala b kavaa heshima
@hadiadaoman1981
5 ай бұрын
Yaan umeliona hili kama mm hata wasichana wa kiislam na hawavai stala yaan hapo wanaunga zinaa tuu 😢
@lenakassian-pr3dy
5 ай бұрын
Kiufupi wameenda kujiuza ata hizo sababu wanazotoa wanaume anae mtaka ni hovyo tuu@@hadiadaoman1981
@cleavededajao4673
5 ай бұрын
Mnajifanya mnamaadili kushinda wengine
@RoseKesi-zj4yy
5 ай бұрын
Kwani umeambiwa hapo ni kanisani
@FatimaAli-of4gh
5 ай бұрын
@@RoseKesi-zj4yy Kuvaa heshima haitakiwi kanisani wala msikitini na wewe ni mmoja wapo si kwa povu hilo
Yani kama lulu diva acha kuvaa utupu mbona ukivaa kieshima unapendeza sana dada angu Yan mbaka matako yanakalibia kuonekana
Tunakutanisha watu na wanzao wakati sisi bado single kweli😂😂😂😂
Kwa mavaz hayo we mbwa ten luludiva alokuambia kuvaa nusu uchi ndo ustaa kakudangany
Lulu mtoto wa kislamu tattoos mamaa....mrudie Mungu ....mmmh mavazi apana
Mmesha anza kuboa na vi klip visivyokua na mielekeo, alaf muendelezo hakuna
Huyo kaka siyo mchepuko,aliumwana nyoka mwenye sumu kali,alikuwa anauguza kidanda,kosa liko wapi,wake ndiyo hamna hapo
Kama unafanya ibada sio kwelii ibada zako zakuigiza but hayo mavaz sasa upendez atakidog kusema unasal
Matattos yote hayo😢😢
Tunaomba mbadilishe muwe mnavaa vizuri jamani mnazidiwa na wanaume kuazima kwa nyie waandaaji
Yan watu wanatafuta wanawake au malaya mana mitatoo uchiuchi ndo usiseme khas uyu mwanamke utakaempt umu sijui km utatoboa nae km mtu uloesrz
lulu diva yani ukejua kuka uchi sikupandeza 😂😂😂😂😂
@FatimaAli-of4gh
5 ай бұрын
Mimi nime comment zimeshuka comment kama zote wanasema hapo si kanisani kwa hiyo kanisani tu ndio panahitaji vazi la heshima tunaelewa hapo ni dangulo na si kanisani ndio maana wapo uchi ni danguro
veheni nguhozaheshima
Jaman nyie watu
Umalaya umekuwa mkubwa Tanzania kama chingu wanajiuza hazaran mpaka mitandaoni kweli njaa ikizidi na kukosa elimu na kujielewa ndio hayo mpumbavu wakubwa
😂😂😂😂
Lulu punguza kukaa uchi umtt wa kisram wewe
Mnaongea sana kuliko shuguli inatakiwa ifanyike.mambo private ya nyumbani sio yakuongea on stage. Ona mnavyoongea na kusimamisha show without do anything.
Kwani wewe Lulu hauna nguo au?? Kwanini unapenda kutuvalia mavazi ya aibu wewe😢😢😢😢 jiheshimu we mwanamke 😢😢😢 sasa hapo unatuonesha nini 😢😢😢 Adabu hauna hata kidogo ,
@janethndunguru3538
5 ай бұрын
Anakuwaga uchi tu Kila siku😢
@queensenya
5 ай бұрын
@@janethndunguru3538 mwenzio anataka aoneshe tatuu hamuoni jmn😆😆😆😆
@rhodarichard4494
5 ай бұрын
Ukisikia biashara matangazo huo ndio mfano wake! 😂😂
@user-yq2hv2bq5j
5 ай бұрын
@@rhodarichard4494 🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani mimi namtaka aje tikto atafute hunayf mim napeda Wa baba
HUKIONA HIVYO VITU VYA HOVYOHOVYO NI YEYE MADAM LULU