Nilikuwa Sangoma mashuhuri Tabora msanii wa ngoma za kichawi za"Waswezi"USHUHUDA MCH.JOSEPH SILBERT

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 22

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya827610 ай бұрын

    Kwa kweli Promover TV inatufundisha mengi. Kwamba waganga wachawi wanatesa wat u mno. Mchj HUYU amejieleza vya kutosha. Uchawi ni mbaya Mwinamila! Mchawi aliyeokoka na leo ni mchungaji. Barikiwa MTUMISHI.

  • @josephemmanuel388
    @josephemmanuel388Ай бұрын

    Mwina mila namjua uyu mzee kitambo sana alikuwa mganga mkubwa sana tabola isevya iyo

  • @GospelhealingsRevival-ox5hx
    @GospelhealingsRevival-ox5hx Жыл бұрын

    Nimefurahi sana mimi ni askofu Rev, David Samson ndaki, Huyu ni baba yangu wa kiroho na kimwili maana amenifikisha hapa nilipofikia

  • @CastoryKapinga-nb7ht
    @CastoryKapinga-nb7ht Жыл бұрын

    Aminaaa Sanaaa Yesu ni mkuu mno hajawahi kushindwa

  • @lilianachayo
    @lilianachayo Жыл бұрын

    Mungu kaokota chombo chafu kasafisha kabisa, Mungu akutumie sana ewe chombo, uingie kule gizani, upokonye na kuteka upesi watakatifu walioibiwa na kufungiwa kwenyemashimo uko ulikokua awali, maana nuru uimekuanaza walelete nuruni kwa jina la yesu, aammeenn , Mungu bariki sana promova. ❤❤❤much love, from Kenya

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Жыл бұрын

    Yesu wangu nakupenda sana. Kama sio wewe nisingekuwepo

  • @nominetjacob8137
    @nominetjacob8137 Жыл бұрын

    Mchungaji ameeleza vizuri sana kwenye mambo ya nyota mtu ukitoka nyota yako hata kama iliibiwa ina achiwa kwakuwa upo na YESU kritor aliye hai ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU

  • @aimemuharabu3003

    @aimemuharabu3003

    Жыл бұрын

    😊😊

  • @mediavumbi9243
    @mediavumbi9243 Жыл бұрын

    Amin Mungu ni mwema kweli ubarkiwe sana

  • @PaulDeus-jh7jn
    @PaulDeus-jh7jn Жыл бұрын

    Amina Yesu ndiye njia nakweli nauzima

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 Жыл бұрын

    Yesu kristo ni mueza Amen

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 Жыл бұрын

    Nasubiri muendelezo, hii ni kali 🇰🇪 YESU kristo anaweza🙏.

  • @AlineMukunda-li8cv
    @AlineMukunda-li8cv Жыл бұрын

    Amen Mungu apewesifa kwa wokovuwake

  • @endlessloveofchristlovewor9991
    @endlessloveofchristlovewor9991 Жыл бұрын

    Yani wasaidizi wa mganga wa kiyenyeji na wanamajina ya kikristo , Paulo na Emmanuel. Kweli shetani ni mbaya

  • @ElipendoElias-no6ki
    @ElipendoElias-no6ki Жыл бұрын

    Hakika Mungu akubariki mtumish wa Mungu,

  • @endlessloveofchristlovewor9991
    @endlessloveofchristlovewor9991 Жыл бұрын

    😂😂😂😂 huu ushuhuda umenichekesha sana yani nimegalagala chini na umenifanya nimpende Yesu zaidi.

  • @UsafiMichael-mc8kt

    @UsafiMichael-mc8kt

    Жыл бұрын

    Hakika halafu ni mzee kabisa ungekuta ni kijana wangesema anadanganya

  • @SafiAkinyi8361
    @SafiAkinyi8361 Жыл бұрын

    Amen Amen

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi79192 ай бұрын

    Mwendelezo uko wapi?

  • @Shempraise9947
    @Shempraise9947 Жыл бұрын

    Amen

  • @kashindibakari7726
    @kashindibakari7726 Жыл бұрын

    Vp kuhusu mtumishi Adam hajj amjamfikia !

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 Жыл бұрын

    Mika 3:3

Келесі