NENO - Aic Buzuruga Choir
Фильм және анимация
Tutaliishi Neno Aic Buzuruga Choir
Tunamshukuru Mungu kwa Wimbo huu
Karibu kutazama#Neno# aic buzuruga choir#gospel
#bestchoir
#Tanzania Gospel
#African gospel songs#aictbuzurugachoir#tutaliishi
Tutaliishi Neno Aic Buzuruga Choir
Tunamshukuru Mungu kwa Wimbo huu
Karibu kutazama#Neno# aic buzuruga choir#gospel
#bestchoir
#Tanzania Gospel
#African gospel songs#aictbuzurugachoir#tutaliishi
Пікірлер: 112
Amina wapendwa wetu Mungu awabariki sana
@KABIANGATEAFACTORYLTD.RA6
11 ай бұрын
*😢😮😅W
Amen vyombo vya mungu endeleya kumtumikia mtapata mavuno
Nimependa hii kway mung awe nanyi
Amen vyombo vya mungu endeleya kumtumikia mtapata mavuno ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤
Wonderful choir God bless you 🙏💓
Kutoka Nairobi Kenya mbarikiwe sana Ndugu zangu kutoka Tanzania.
Kazi nzuri sana aisee,Mungu awatumie kadri yeye apendavyo
Amen wasukuma wangu mpo vizur
Amina wapendwa wa mungu
Mwanza my region AICT my church. Du respect on this work is a great song
Mungu azidi kuwatia nguvu Katika huduma hii nabalikiwa sana na nyimbo zenu mungu atukuzwe
Mung awe nany wapendwa🎉❤
0:44 Amen mungu azidi kuwainua
Nimebarikiws saana na nduguzangu wasukuma wenzagu , big up saana from Dodoma , ama kweli nyumbani kumenoga 😂🎉🎉🎉🎉🎉
Oh wow!!!! Kwakeli mungu awabariki kwa kazi hii.
Mung awe nany wapendwa🎉
Ni maombi yetu tukaliishi neno la Mungu. Baraka zaidi kwenu. Nawaombea nkiwa hapa Nairobi Kenya
Hongereni Sana Kwa kazi nzuri ,kwani kazi nzuri haijifichi ,,,mungu awabariki Sana Kwa kazi nzuri
Amina sana. Mungu azidi kuwapigania katika utumishiwenu mlioitiwa .Mungu awabariki
Nawapenda Sana ninyi watumishi mnavyoimba mbarikiwe sana
Ewaaaaaaà kazi nzuri
Me kutoka lubumbashi kongo mbalikiwe wapedwa
Mbalikiwe sana waimbaji,very god😅❤ MUNGU akiwa kalibu nasi tutayasinda na mauti😅🎉
Amina, mbarikiwe watumishi
Hongereni sana watumishi wa mungu mmeimba vizuri sana mungu awabariki sana
Tuliishi nenoa
Kazi zuri
Tutakiishi neno la Mungu
Hongeren watumish wa MUNGU ,,, MUNGU azidi kuwainua ktk viwango vya juu zaidi🙏🙏🙏🙏
Asanteni kwa wimbo, mbarikiwe wapendwa
Sana mko vizuli Sana ujumbe mzuli sana
Wooow! Napenda
Big up,buzuruga
Hii imekua ndio nyimbo yangu asubuhi mchana na jion yaan siichoki MUNGU awabariki sana
@TumainiENgasa
2 ай бұрын
et eeee hata na mieee
Tutaliishi neno ,kazi nzuri kama kawaida yenu kupendezaaa🔥🔥🔥🔥
@ReubenMeshack-ox3oq
11 ай бұрын
Sifa na Utukufu niza Bwana 🙏🙏
Mbarikiwe kwa ujumbe mzuri. Neno lisonge mbele.
My Choir my Only lovely Song #Neno🔥🔥🔥🔥
bang ... .. neno liendelee' 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hongereni kwa kazi nzuri
mbarikiwe watumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri
Buzuruga Mungu awabariki sana, wimbo wa Neno ni mzuri YESU awainue zaidi
@sulemanmuyomba3524
11 ай бұрын
Amina
❤ jamani mbalikiwe
Nawapenda ❤
My team I ❤love you
AMEEN WATUMISHI 🙏💃
Hakika vocalist is so cool nice and attractive god bless
Kweli kuimba niraha
Amen!
❤mungu awa awabarik nawimbo wenu aime
Chama langu la miaka yoote
Amen Amen
Mung awe nany wapendwa
Kazi nzuri sana. Mungu aendelee kuwatumia nimependa sana huu wimbo
I really love your music 🎶 it has carring have messages and also is a cool music God Bless the work your hands
Wasukuma hamjawahi ku fell
MPo vizur
Huu niwimbo pekee unaonibariki katika albam,mbarikiwe sana
Safiiiiii Sana ,,,,kazi nzuri sanaaaa❤❤❤❤❤❤❤. ❤❤❤❤
Mungu azidi kuwainua Kwa kiwango kingine
Huu wimbo naukubali sana aseee
Hallelujah God bless you guys mmetisha sana❤❤❤
@sulemanmuyomba3524
11 ай бұрын
Amen
Amen
One of my favourite songs..... Kazi nzuri sana wapendwa🔥🔥🔥
@ReubenMeshack-ox3oq
11 ай бұрын
Amina Mpendwa wetu.
Wimbo mtamu sana wapenzi wa Mungu
Amina watumish wa mungu 🎁🎁🙌🙌🙌🎉🎉🎉🎉
Aminaaa
Hongereni Sana waimbaji wimbo mzuri Sana ❤❤❤❤❤
Nice song, nice singing
🎉🎉🎉
Napenda nyimbo za nili asa asa kuabudu
I can't stop listening ❤❤❤
Mbarikiwe sanaa mungu awatie nguvu Msonge mbele
BArikiwa Mungu awadumishe
Hakika wimbo huu ni mzuri sana! My everyday anthem❤❤,, Mbarikiwe sana AICT Buzuruga
@aictbuzurugachoir4172
10 ай бұрын
Ubarikiwe sana
🎉🎉🎉🎉
Amina mbarikiwe sana.
❤❤❤❤
Nimependa Music ulivyopigwa hauna makelele kama kwaya za huko mwanza zilovyo, hata step siyo za kishamba, vocal pia zimetulia, hongereni sana kazi nzuri
@kpbuildtv9189
4 ай бұрын
Kua msema ukweli kuna background noise inaafect quality wa huu wimbo
@user-xl2so9eh2p
3 ай бұрын
Kwenye kaz ya MUNGU hainaga ushamba ila unatakiwa usikilize ujumbe na sio mziki na step
Mungu awainue
❤
Mungu awabariki.
pendant hili liji song bass tu
Amen.,
Hakika neno litaishi milele yote
@rahellongo9946
11 ай бұрын
Mbalikiwe kutukumbushaa
Kwakwel katika album hii nimemuona Mungu haswaaa kupitia nyimbo zenu....nabalikiwa sana na kazi hiii...Mungu azidi kuwatumia shamban mwake... Nawapenda mpaka raha
@aictbuzurugachoir4172
11 ай бұрын
Ubarikiwe
@hezronbaraka206
11 ай бұрын
Amen
@user-ll6yf5di8k
7 ай бұрын
Inaitwaje hii album
@hezronbaraka206
7 ай бұрын
@@user-ll6yf5di8k twende sambamba
@elikanapeter1545
6 ай бұрын
@@user-ll6yf5di8kTwende sambamba
Wow what beautiful choir somebody to tell me where the church is
@user-fq4fu7bj4f
10 ай бұрын
Nimefurahishwa nayo
@elikanapeter1545
7 ай бұрын
Buzuruga,Mwanza Tanzania
It's a nice song but you people who sing and preach others do you practice it accordingly ?
Amen vyombo vya mungu endeleya kumtumikia mtapata mavuno
Mnaimba jmn mungu awabariki
Nimebarikiws saana na nduguzangu wasukuma wenzagu , big up saana from Dodoma , ama kweli nyumbani kumenoga 😂🎉🎉🎉🎉🎉
Kipimo kimoja kwa mia 🙏🙌
Amen Amen
Mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri 🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri mbarikiwe
Amen