NAMNA YA KUTUMIA SALA YA BWANA KAMA NJIA MOJAWAPO YA KUTAFUTA UFALME WA MUNGU

SIKU YA MAOMBI [WORLD VISSION]

Пікірлер: 672

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga97743 жыл бұрын

    Amen wewe ni jeshi la Bwana Yesu. Mungu Baba, Mungu Mwana Mungu Roho mtakatifu akuongoze siku zote ktk maisha yako kisha siku moja uende mbinguni. Amen

  • @happydorcasmollelmollel6114
    @happydorcasmollelmollel61143 жыл бұрын

    Baba mungu ulieweka watu kama hawa duniani mapenzi yako yatimizwi.naomba endelea mtumie mtumishi wako amen.

  • @venancelaurent43

    @venancelaurent43

    Жыл бұрын

    👏👏👏👏

  • @bdaimon09
    @bdaimon093 жыл бұрын

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya mafundisho yako mazuri mtumishi wa Mungu, Mungu andelee kukupa maisha marefu kwa ajili yetu.

  • @elizabethkisamba7961
    @elizabethkisamba79613 жыл бұрын

    Asante sana mwl kwa kweli hii sala nilikuwa siitendei haki. Umenivusha pa kubwa sana. Kila mafundisho yako ni full package. Nitakula maisha yangu yote. Nimesikiliza zaidi ya mara mara kumi na bado nitaendelea kusikiliza.

  • @ALFREDVEMA-hk9zn
    @ALFREDVEMA-hk9zn6 ай бұрын

    Mungu katupa mwalimu huyu.tutunze kile tunachofundishwa ILI KATIKA hao wafundishwa tuje tumpate wa kufanana Naye MAANA hatuwezimpata Kama yeye.Mungu atutunzie chakula hiki ndani YETU MUNGU akubariki sana Mwalimu.Amen

  • @doricekajuna6185
    @doricekajuna61853 жыл бұрын

    Amen Asante Mungu kwa ajili ya mwl Mwakasege, kutufundisha,,nilikuwa naomba kwa mazoea sasa ninejifunza kitu naomba Mungu aendelee kunisaidia Amen

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista46543 жыл бұрын

    Atukuzwe Mungu wetu Yesu Kristo,,aliekupa Roho wake mtakatifu kwaajili ya kukufunulia haya ili utwambie,Mungu azidi kukupigania na kukubariki na kukutumia zaidi mpaka shetani ajute kujisahau kwanini aliruhusu umjue huyu Mwamba Yesu wetu.ubarikiwe

  • @beatricechalamila1575
    @beatricechalamila15752 жыл бұрын

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, hakika wew ni Mwalimi M/Mungu akujalie maisha marefu kwa ajili ya sisi wanafunzi wako Ameeen.

  • @user-ty5tn3zj1d

    @user-ty5tn3zj1d

    4 ай бұрын

    🤜🤛🤝nu

  • @praygodabnery3385
    @praygodabnery3385 Жыл бұрын

    Whenever i listen to this Servant of God is where i realize sometimes i don't even deserve to be alive due to wrongdoings I've done to my living God but because of his mercy that's why I'm still alive. 😢 I need God more than i think

  • @sulpisierasmo

    @sulpisierasmo

    9 ай бұрын

    Amen

  • @Ms_Kasege
    @Ms_Kasege8 ай бұрын

    Mungu ametubariki sana kutupa wewe mwalimu 🙌🏽🙌🏽

  • @carolineg.3276
    @carolineg.3276 Жыл бұрын

    Blessed be the name of the Living God, listen it today September 2022 and it is soo fresh.

  • @FlorenceEmmanuel-ki3mo
    @FlorenceEmmanuel-ki3moАй бұрын

    God bless you dady Mungu akakupe maisha marefu ukatembee katika zaburi ya 128 ❤dady

  • @bernardmkuffya5171
    @bernardmkuffya51712 жыл бұрын

    This is a divine teacher i have never seen,full of examples that will make u understand the word.Thanx YEHOVAH for having such a servant of u.Man of God you are blessed.

  • @ruthmagawa8393

    @ruthmagawa8393

    2 жыл бұрын

    GOD bless you man of GOD you are a divine teacher

  • @Joylinemakeup
    @JoylinemakeupАй бұрын

    Amen 🙏 sana nimebarikiwa nasomo la Leo, Mungu azidi kukulinda,(Mwl mwaka sege)

  • @nyemoleonard1000
    @nyemoleonard10003 жыл бұрын

    Amen, mwana wa mungu nimejifunza kitu ambacho sikuwahi kukijua, mungu awe nawe siku zote

  • @lazaroraphaelmwandosya7010
    @lazaroraphaelmwandosya70103 жыл бұрын

    Mungu ni mwaminifu kwa mtumishi wake hakika nashiba kwa kupitia neno aliwekalo katika kinywa Cha mtumishi na mwalim mwakasege, Mungu aendelee kukulinda sana

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..

  • @fgao1071
    @fgao10718 ай бұрын

    Oooh nimebalikiwa leo 2023 Mungu Asante kwa,kutuachia mwalimu huyu duniani

  • @claudiajosephmselle5091
    @claudiajosephmselle50918 ай бұрын

    Namshukur Sana Mungu kwa ajili ya Mafundisho haya

  • @wansibho554
    @wansibho5542 жыл бұрын

    Amen praise Jesus 🙌🏽 watching this from China 🇨🇳 be blessed man of God

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo83603 жыл бұрын

    Amakweli ww ni Mwalimu wa Wachungaji.Unauelewa mpana sana ktk kufafanua maandiko.Ubarikiwe sana.

  • @wilsonmkumbo3032
    @wilsonmkumbo3032 Жыл бұрын

    Asante MUNGU wa mbinguni kwa neno lako uliloliweka kwa mtumishi wako Mwl , Mwl MUNGU azidi kukutumia katika kizazi chetu,AMEN

  • @godlistenmsuya5828
    @godlistenmsuya58282 жыл бұрын

    Created by heaven for heaven. Ooh! Amen, Haleluya...

  • @happyjordan7838

    @happyjordan7838

    2 жыл бұрын

    Yes God is good. All the time

  • @makrinakalinga6034
    @makrinakalinga60343 жыл бұрын

    Ooooooh position is matters in everything that's why when you loose position you can't see the God .l have learnt be blessed teacher Christopher mwakasege❤️💯💯💯

  • @benadethafrancis5223
    @benadethafrancis52232 жыл бұрын

    Mtumishi wa Mungu mwenye heshima, asiye na mawaa, asiye na tamaa. Mwl. Rabi yatosha. Watu km Hawa wakitwaliwa wanakuwa wamemaliza kazi Ameacha alama. Mnyenyrkevu. Mungu aendelee kukutunza. Asikutwae mpaka atupe mwingine km wewe. Kwa Sasa hatuna bado, wote wanatamaa ya Mali, wanahubiri mafanikio, wanamtukuza shetani kwa kumfanya ana nguvu Sana. Hawatufundishi habari zako wewe Mungu wa kweli. God bless you so much Mwl .

  • @bernadethashiduki6936

    @bernadethashiduki6936

    2 жыл бұрын

    Hakika Mungu mlinde mtumishi wako mwakasege

  • @margarethmwaibasa3697
    @margarethmwaibasa36979 ай бұрын

    Yesu endelea kumpa maisha marefu ili tuendelee kujifunz toka kwake kwa yale maagizo unayompatia .mlinde na roho mbaya aishi mpaka ujapo.

  • @mwinzifrancis1351
    @mwinzifrancis13513 жыл бұрын

    mtumishi wa mungu ubarikiwe..naomba mungu mipaka ifunguliwe..ninunue viti mia moja.nilete kama nadhiri yangu kwa Bwana.Mungu...nilete Arusha Kanisani.

  • @samykarahu4561
    @samykarahu45613 жыл бұрын

    Mwalimu Christopher Mwakasege,wewe ni mwalimu wa baraka kwangu.mafundisha yako yamenipandisha kwa kiwango kikubwa ingalao nakufwata kwa umbali.asante kwako nabii wetu wa ki Africa.nilikufwata nikiwa Congo karibu myaka 8 sasa.imani hii ikanipandisha mpaka kwenye chuo cha Biblia kenya.naleo nakaribia mwisho wa shule langu.twakutakia maisha marefu.

  • @marthachomba3869
    @marthachomba38693 жыл бұрын

    Ahasante mtumishi nimepata somo zuri sana nililokuwa silieliwi kwa undani barikiwa sana

  • @adrianignas5119
    @adrianignas51193 жыл бұрын

    Huyu jamaa nampenda sana (mtumishi wa Mungu) nahisi hata shetani akimuona tu anamchukia mpaka anachanganyikiwa

  • @renmumbo4150
    @renmumbo41503 жыл бұрын

    I can listen to such teachings for a whole day. I need salvation. So help me God.

  • @loycemalima7490

    @loycemalima7490

    2 жыл бұрын

    Sala hii mwalimu unibariki sana.

  • @grace.yohanayohana2745

    @grace.yohanayohana2745

    2 жыл бұрын

    Gjklu

  • @sabinasellestine3046

    @sabinasellestine3046

    2 жыл бұрын

    @@loycemalima7490 b

  • @martinuswege4492
    @martinuswege44922 жыл бұрын

    God may your name be glorified. Thanks, Mwl. Mwakasege

  • @piussalama5485
    @piussalama54853 жыл бұрын

    Mwenyezi Mungu azidi kukutunza. Nimeongeza imani na mafundisho kupitia hili somo

  • @gloshyjm2375
    @gloshyjm23753 жыл бұрын

    Indeed, this is a great lesson from a man of God! Be blessed Teacher Mwakasege

  • @korathomas1249

    @korathomas1249

    2 жыл бұрын

    Mafundisho ya kina sana

  • @furbenj7405
    @furbenj74052 жыл бұрын

    Amen my Father Thanks hakika Yesu ni mfalme wa wafalme naomba Mungu anirejeshe kwenye nafasi aliyoniitia na kuniweka nimepata vita sana kila eneo hadi huduma nikaacha kwanza ila naomba maombi zaidi Niko tayari kurudi upya

  • @BARTHOLOMEWKEKE-ik7np
    @BARTHOLOMEWKEKE-ik7np7 ай бұрын

    Amina mtumishi wa Mungu Alie hai,,Nafurahi kujifunza SoMo hili Kwa kutumia Sala ya BWANA

  • @asumwisyesunyodi4377
    @asumwisyesunyodi43773 жыл бұрын

    Baba Mungu amekuwa akiongea na mimi kupitia Hili somo. Nimesilikiza kwa makini na Kuirudia zaidi ya Mara Tatu sasa ndani ya Siku moja. Namshukuru Mungu kwa Ajiri Yako.

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you .

  • @mosessimfukwe7666

    @mosessimfukwe7666

    3 жыл бұрын

    @@mintheophilussunday1813 powerful message man of God 🙏

  • @sarahjoshua7559
    @sarahjoshua75593 жыл бұрын

    NIMEBARIKIWA SANA NA HILI SOMO LA SALA YA BABA YETU MWALIMU LIMENIVUSHA SEHEMU KUBWA NIMEJISIKIA KUOMBA GHAFLA MAANA NGUVU ZA MAOMBI ZILIPUNGUA KWA KIWANGO KIKUBWA, ASANTE MUNGU KWA AJILI YA MTUMISHI WAKO🙏🙏🙏🙏

  • @jenetanyango500
    @jenetanyango5003 жыл бұрын

    Ubarikiwe sana Mwalimu jinsi umenibariki na fundisho hili. Mungu akuzidishie upako wake.

  • @hurumachristopher9415
    @hurumachristopher94153 жыл бұрын

    Mungu akupe maisha marefu yenye afya ili uendelee kutupa chakula cha kiroho na tuendelee kuimarika na kukua kiroho

  • @heriminamichael8231
    @heriminamichael82313 жыл бұрын

    Am always blessed with this man of God. May God bless u soo much. All in all glory be to God!

  • @lilianekumar947

    @lilianekumar947

    3 жыл бұрын

    Nimejifunza mambo mengi Sana , mtumishi wa BWANA MUNGU akubariki Sana .Kama nilikia hatua tatu sahivi zimwkia hatua sita.

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..

  • @ayubunaandi801

    @ayubunaandi801

    3 жыл бұрын

    @@lilianekumar947. à

  • @jacksonshokut4140

    @jacksonshokut4140

    2 жыл бұрын

    Glory to God 🙏🙏🙏

  • @leahlunyungu8415

    @leahlunyungu8415

    10 ай бұрын

    Yesu akutuze Baba yangu, uendelee kupata mengi zaidi katika nyakati hizi tulizonazo

  • @safeworldwide9929
    @safeworldwide99293 жыл бұрын

    Jina lako Yesu na litukuzwe milele na milele kwa ajili ya neema uliyotufunulia katika mwanao Christopher Mwakasege ndugu yetu katika ufalme wako.

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ...

  • @joshuabweli1018
    @joshuabweli10183 жыл бұрын

    Asante sana Mwl.mwakasege kwa Neno LA mungu,Mungu akubariki naomba maombi

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael81583 жыл бұрын

    I have learned the Word of God so deeply, especially my position. Watching from Germany🇩🇪💞🙏

  • @carolinegoodlucky6637
    @carolinegoodlucky66373 жыл бұрын

    It's my time to hear it, Thanks God am blessed

  • @doreenmusee6908
    @doreenmusee69083 жыл бұрын

    Thankyou Mwalimu for this great alignment.....It has brought me back to my place of purpose at my work place....Kingdom first...am a gate to Gods Kingdom here...God lift you zaidi

  • @doreenmusee6908

    @doreenmusee6908

    3 жыл бұрын

    @TOURE OUSSEINI JEAN-LUC I don't appreciate sir....would ask you to kindly keep off and steer clear of pages that don't concern you

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you .

  • @catherineaugustine7124
    @catherineaugustine71242 жыл бұрын

    Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuyasikiliza mafundisho ya kuijua NGUVU ya Sala ya Bwana. BARIKIWA SANA Mwl Mwakasege🙏🙏🙏

  • @neemamwambaja1856
    @neemamwambaja18563 жыл бұрын

    Baba somo zuri sana.niliposali Sara hii Mungu alinionyesha Mambo ya mazuri ubarikiwe sana

  • @federikakitaluka6984
    @federikakitaluka69842 жыл бұрын

    God bless you teacher Glory to God.. Amen

  • @phanicekhaleji7587
    @phanicekhaleji7587 Жыл бұрын

    Am blessed with this teachings

  • @user-ms9ho1du2k
    @user-ms9ho1du2k8 ай бұрын

    Amen ubarikiwe sana me mwalimu mine barikiwa na mafundisho

  • @luhamba6852
    @luhamba6852 Жыл бұрын

    Ubarikiwe Baba Mungu azidi kukupaka mafuta

  • @user-ix3mw5dw4u
    @user-ix3mw5dw4u11 ай бұрын

    Barikiwa baba mungu aendelee kukutunza unapanda mbegu njema kwetu tunazidi kukua kiroho Ili tukomboe na ndugu zetu

  • @sedekiabilijite5516
    @sedekiabilijite55163 жыл бұрын

    Somo hili limekuja kwa wakati wake ,Asante sana Mwalimu leo nilikuwa down lakini kwa somo hili Mungu kanihuisha , Mungu abariki na familia yako kazi yako sio bure

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..

  • @benjaminfernandes5599
    @benjaminfernandes55992 жыл бұрын

    Asante sana My Father kwa ufunuo wa Sala ya Bwana nimepata Siri na uelewa be Blessed

  • @doreenminja291
    @doreenminja2912 жыл бұрын

    Amen Amen man of God, tunabarikiwa 🙏🏽🙏🏽

  • @agnesschirstian9226
    @agnesschirstian92263 жыл бұрын

    Baba hasante, nimepata ujumbe huu mikama muombaji nimepata kitu, ubarikiwwe zaidi Baba tunakupenda tunamshukuru Mungu kila wakati kwaajili yako.

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..

  • @noeljaphet6339
    @noeljaphet63393 жыл бұрын

    Namshukuru Mungu kwa kutupa Neno lake... ubarikiwe Baba

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ...

  • @rehemamwembe2363
    @rehemamwembe2363 Жыл бұрын

    Asante sana kwa Neno la Mungu.barikiwa Zaidi mutumishi WA Mungu 🙏🙏

  • @samuelchege6717
    @samuelchege67173 жыл бұрын

    We need this type of teachings in the Church

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you .

  • @lusajomwaipopo1754

    @lusajomwaipopo1754

    3 жыл бұрын

    @@mintheophilussunday1813 m.

  • @lusajomwaipopo1754

    @lusajomwaipopo1754

    3 жыл бұрын

    M

  • @lynelee5846

    @lynelee5846

    3 жыл бұрын

    @TOURE OUSSEINI JEAN-LUC HUJUI USEMALO MUNGU AKUREHEMU HAUNA MAMLAKA YA KUAMULIA WATU WAPI PA KUENDA WAKIFA... ~OLE WAKO~

  • @cahadomwangajilo5778

    @cahadomwangajilo5778

    3 жыл бұрын

    @@mintheophilussunday1813 na kazi

  • @averinamarco1070
    @averinamarco10702 жыл бұрын

    Asante Mungu kwa kumleta Mtumishi wako, ili atuhudumie nabarikiwa Sana naafundisho ya Mwl. Mungu endelea kumrinda umpe miaka mingi na uzao wake ubarikiwe

  • @jonaskaaya3892
    @jonaskaaya38923 жыл бұрын

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu Mwl. Christopher Mwakasege

  • @violethmsoffe8533
    @violethmsoffe85333 жыл бұрын

    Glory to God Almighty. I've learned a great lesson

  • @antonykashube2065
    @antonykashube20653 жыл бұрын

    Amen baba na mwalimu wangu. Mungu akubariki tena na tena.

  • @vicentshirima3132
    @vicentshirima31322 ай бұрын

    Appreciated, God bless!

  • @amwesigaherman1162
    @amwesigaherman11623 жыл бұрын

    Mwl. Mungu akubariki saana kwa kutumika vyema kwa ajiri ya roho zetu. Mungu akupe kibari uwe na semina ya wajane.

  • @vickydan2869
    @vickydan28692 жыл бұрын

    Mungu akubariki sana mchungaji kwa mafunzo yako na mahubiri Mungu akupe umri mrefu zaidi watu wajifunze kupitia ww

  • @victorshauri9407
    @victorshauri94073 жыл бұрын

    Am restored back again to my position. feeling blessed

  • @veveatkin2640
    @veveatkin26403 жыл бұрын

    Thank you Jesus, I feel blessed 🙏🏽

  • @f6mbwana619
    @f6mbwana6193 жыл бұрын

    Asante Yesu kwa chakula kizuri cha kiroho kama hiki sifa na utukufu kwa Mungo

  • @silaleopard7263

    @silaleopard7263

    2 жыл бұрын

    Munguu akutuzee mwalimuu wa dunia hii kwaajilii yetu ua the teacher ov the teachers 🙌🙌🙌🙌🙌❤️

  • @roseebenny5437
    @roseebenny54373 жыл бұрын

    Be blessed teacher, continue to preach me glory to god

  • @missshallanda4677

    @missshallanda4677

    3 жыл бұрын

    God

  • @user-ky5vh7uu8i
    @user-ky5vh7uu8i11 ай бұрын

    Asante MUNGU kwa NENO,Naomba Bwana kuna mengi nimekukosea naomba msamaha sana BWANA ili siku moja nami niulithi ufalme wa MUNGU wetu.

  • @rev.musabalalarogersmusabalala
    @rev.musabalalarogersmusabalala3 жыл бұрын

    We as disciple we need to learn true and right doctrine, go on baba Mwakasege, I follow you

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..

  • @gracekallagho7435
    @gracekallagho74353 жыл бұрын

    Amina nmejifunza kitu kipya ambaacho sikuwah kukijua

  • @christinamwambola9329
    @christinamwambola93293 жыл бұрын

    Am so blessed, barikiwa Mwalimu Mungu akutunze.

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..

  • @denismulokozi2641
    @denismulokozi26412 жыл бұрын

    Be blessed man of God Am really blessed with this prayer indeed the Heaven is made for us

  • @noellyamuya3844

    @noellyamuya3844

    2 жыл бұрын

    pp

  • @noellyamuya3844

    @noellyamuya3844

    2 жыл бұрын

    pp

  • @charlesmushi1165
    @charlesmushi11652 жыл бұрын

    Eeee mwenyezi mungu nipe nguvu yakukujua vema ,mbariki Mtumishi wako

  • @zamdathyugalila6043
    @zamdathyugalila60433 жыл бұрын

    Mungu akupe Maisha marefu Baba Nabarikiwa sanaa, siku nikionana nawewe nitafunguliwa shida zangu Mungu Akubariki🙏🙏

  • @lovemeshaki4091
    @lovemeshaki40913 жыл бұрын

    Barikiwa mtumishi mwenye upako mungu akubariki Sana kabisa

  • @mariamsebogo9816
    @mariamsebogo98162 жыл бұрын

    Amina kubwa mtumishi Mungu akuinue na kukutia nguvu katika huduma.

  • @samsonongubo7287
    @samsonongubo72873 жыл бұрын

    Wonderful Teaching

  • @pilumsolah1234
    @pilumsolah12343 жыл бұрын

    Asante Yesu kwa kunifundisha somo hili nzuri

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..

  • @naomiobeld-hq1eu
    @naomiobeld-hq1eu Жыл бұрын

    Nabarikiwa sana na mtumishii wa Bwanaa Mungu mtumie zaidii atuvushe

  • @brhchannel6618
    @brhchannel66183 жыл бұрын

    Ubarikiwe Sana Mwalimu kwa Somo Zuri Nimejifunza Mambo Mazuri hapa.

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..

  • @AfricanFolkTalesRevival
    @AfricanFolkTalesRevival3 жыл бұрын

    I’m so blessed 🙏🙏🙏🙏You’re a man of God

  • @edithakamzora6456
    @edithakamzora64563 жыл бұрын

    Mungu akubariki sana, nabarikiwa sana kwa mafundisho aya na kufunguka ufahamu

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..

  • @brightmollel6698
    @brightmollel66983 жыл бұрын

    This was a great teaching. I mean great!

  • @happymtui3628
    @happymtui36283 жыл бұрын

    Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu umekuwa Baraka kwenye maisha yangu.

  • @user-jd4bh2yr6l
    @user-jd4bh2yr6l Жыл бұрын

    Amina mtumish nabarikiwa kwa mahuri yako

  • @user-pe7jz9hn6n
    @user-pe7jz9hn6n Жыл бұрын

    Zaman mtumishi nilkuaga sikuelew lakn saiv nashukuru Mungu nakuelewa vzuri sana

  • @davidmoris4256
    @davidmoris42562 жыл бұрын

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako MTUMISHI

  • @gloriakawago6223
    @gloriakawago62233 жыл бұрын

    Asante baba nimejifunza Jambo kubwa mno, hasa kuhusu Baraka zangu ni za Ismail au ni za Isaka na juu ya Msamaha, Glory to God.

  • @elizabethlutindi8813

    @elizabethlutindi8813

    3 жыл бұрын

    Nashukuru sana Mungu kwa Bwana wangu Yesu kristo ambaye amekupa wewe mtumwa wake zamu hii kunifundisha.kwahabari ya Sara ya BWANA.

  • @anethcharlz6114
    @anethcharlz61143 жыл бұрын

    My mentor mwalimu wangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @samjooidabal7883
    @samjooidabal78833 жыл бұрын

    Mungu azidi kukubariki mtumishi umenifumbua macho yangu ya rohoni🙌🏿🙏🏿

  • @paulotanaki958
    @paulotanaki9583 жыл бұрын

    Thanks for the upload,nililitafuta Sana hili SoMo ,mbarikiwe sanaa

  • @bigwayssalon

    @bigwayssalon

    3 жыл бұрын

    This is the teaching the all children of God needs to hear.. A men A men

  • @mintheophilussunday1813

    @mintheophilussunday1813

    3 жыл бұрын

    Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you .

  • @modestamedard8901
    @modestamedard89012 жыл бұрын

    God bless you man of God 🙏

  • @KINGDOM-iv9jj
    @KINGDOM-iv9jj2 жыл бұрын

    Glory to God! Glory to God! The 2004 was a very wonderful year at Sokoine Stadium in Mbeya. The first time I saw you and heard the uniqueness of God's teachings. In Jesus name may the spiritual visions be alive

  • @enockm.maduhu8386
    @enockm.maduhu83862 жыл бұрын

    Asante sana Mwalimu, ninakuelewa vema!

  • @mwangelyboy-bh3jy
    @mwangelyboy-bh3jy10 ай бұрын

    Amen Mtumishi naelewa zaidi

  • @davisdid673
    @davisdid6732 жыл бұрын

    Thank you for this wonderful teaching ❤

  • @daudliyanga3828
    @daudliyanga38283 жыл бұрын

    Hongera kwa mafundisho mazur mwl mungu akupe maono mengine zaidi

Келесі