NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE (EP4)

Комедия

#stevemweusi #comedy #shule

Пікірлер: 407

  • @Buza.-The-Champion
    @Buza.-The-Champion10 ай бұрын

    ASANTE SANA PIA TWAKUOMBA INGIA INSTAGRAM KUNA VIDEO MPYAA @stevemweusi USISAHAU KU FOLLOW ASANTEEEEEEE

  • @macklineremmanuel1742

    @macklineremmanuel1742

    10 ай бұрын

    Weka nyingi pia huku KZread bwana Jamaa😔

  • @DeoGashimaro-mz8ge

    @DeoGashimaro-mz8ge

    10 ай бұрын

    Stivu ninamaongezi na we tafadhar nitakupataje

  • @ngovielkingeliance6125

    @ngovielkingeliance6125

    10 ай бұрын

    Poa poa

  • @bennylove6021

    @bennylove6021

    10 ай бұрын

    Tunataka kumuona uyo Hamad Kijicho

  • @ndunguruwangazi2334

    @ndunguruwangazi2334

    10 ай бұрын

    Hamad ki jicho...tutamjualin

  • @PacifiqueSumaili-xg5xk
    @PacifiqueSumaili-xg5xk10 ай бұрын

    From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩, Steve nitaje ata mara moja kwenye comedy nakufuatlia kila wakati 💪💪💪💪💪

  • @Maleaz-go8jv
    @Maleaz-go8jv10 ай бұрын

    Daaaah wakwanza ni Mimi kutia comment like ❤❤❤😁😁😁😁 from USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @fiti-qx7wo

    @fiti-qx7wo

    10 ай бұрын

    kzread.info/dash/bejne/ZmaT1LqEec2XqcY.html

  • @James-fl1sn

    @James-fl1sn

    10 ай бұрын

    we ni mwamba🎉😢

  • @Maleaz-go8jv

    @Maleaz-go8jv

    10 ай бұрын

    @@James-fl1sn aaaaaah 😁😁

  • @James-fl1sn

    @James-fl1sn

    10 ай бұрын

    Jamaa ni

  • @Maleaz-go8jv

    @Maleaz-go8jv

    10 ай бұрын

    @@James-fl1sn what wrong bro

  • @ramadhanitwahili6837
    @ramadhanitwahili683710 ай бұрын

    uyo teacher aisee siopoa mzuri kweli kweli kunakuosoma kweli hapo akigeukatu macho yana ganda hapo hapo❤❤❤🎉🎉🎉.

  • @SalumSaidi-ib6oz
    @SalumSaidi-ib6oz10 ай бұрын

    Sema stive tuletee hamadi kijicho 😂😂😂😂

  • @uwihanganyejoel4691
    @uwihanganyejoel46919 ай бұрын

    Kwa majina ni Joe pro kutoka Rwanda 🇷🇼 Steve mweusi tunapenda comedy zake hasa hasa akiwa na yule dada sekta ya ualimu anaifaa kwa uhakika. Steve mweusi keep it up bro and continue raising African language Kiswahili kabisa . #mon_nom_est_Joe_pro je vis au Rwanda 🇷🇼

  • @daltonking5466

    @daltonking5466

    Ай бұрын

    😂

  • @user-gw6zg5yx9e
    @user-gw6zg5yx9e10 ай бұрын

    Mwalimu kidoti pls usiweunavàa suluali unapendeza sana ukivàa mavazi tofauti na suluali

  • @sahraabdallah7242

    @sahraabdallah7242

    10 ай бұрын

    Kabisaa huyu dada Manshallah na Stara zake

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb10 ай бұрын

    Nani ameona fimbo za mwalimu Kidawa zinapigwa kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rich.kizza10

    @rich.kizza10

    10 ай бұрын

    Huyo lavu kweli zinamuingia😂

  • @carengerold7421

    @carengerold7421

    10 ай бұрын

    😂😂😂😂

  • @jovithatibatekeleza6598
    @jovithatibatekeleza659810 ай бұрын

    Mnapoigizia kama waalimu hebu jaribu kuvaa kama walimu jamni

  • @nyakiliker8724

    @nyakiliker8724

    8 ай бұрын

    Acha

  • @mwikwabejoseph367

    @mwikwabejoseph367

    6 ай бұрын

    Madam ananiumiza jamani 😂😂😂😂😂😂

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi200410 ай бұрын

    😂😂😂 mimi kiukwel napenda sana Steve akiwa mwanafunzi ananikumbusha utotoni 😂😂😂

  • @Maleaz-go8jv

    @Maleaz-go8jv

    10 ай бұрын

    Aaaaaah 😂😂😂

  • @fiti-qx7wo

    @fiti-qx7wo

    10 ай бұрын

    kzread.info/dash/bejne/ZmaT1LqEec2XqcY.html

  • @josesnjoroge919
    @josesnjoroge91910 ай бұрын

    Huyo mwalimu Ana figure poa sana. Nampenda pia❤. Kuja Nairobi

  • @user-sk3sv8pb8e
    @user-sk3sv8pb8e8 ай бұрын

    Madam umenifurahisha kwenye huo uhalisia wa kuchapa😂😂😂😂. Sio kwa kumchapa huko Loveness jamani 😂😂😂

  • @user-yh7dc6tx4x
    @user-yh7dc6tx4x10 ай бұрын

    Napenda sana hii series ya mwalimu nkuvalishe Pete Steve mwamba sana❤❤❤

  • @fiti-qx7wo

    @fiti-qx7wo

    10 ай бұрын

    kzread.info/dash/bejne/ZmaT1LqEec2XqcY.html

  • @user-ul1sr4oh9d
    @user-ul1sr4oh9d10 ай бұрын

    Nampenda sana Steve mweusi, yuwajua kucheza filamu bana Aiseh Mc Mk Bailando..😂😂😂

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi737710 ай бұрын

    mimi huyu madam namkubali sana ktk sector hii ya UALİM ❤ Dada angu Hajrat leo kavaa suluarıı 😢 Loooo! Ongereni❤❤

  • @neemaelias3577
    @neemaelias357710 ай бұрын

    🤣🤣🤣💕💕 Steve chizi kweli ety staki marafiki.

  • @zulachama1067
    @zulachama106710 ай бұрын

    Mwalimu wa darasa ujambo,nakupa ongera ❤❤❤.

  • @cyamatareealexis1373
    @cyamatareealexis13737 сағат бұрын

    My Steve wee ndo wangu na team yako hongera kbs

  • @refaredkoome2632
    @refaredkoome263210 ай бұрын

    Nampenda Kidoti Hajra kweli ameiva

  • @andrewkaswagula3367
    @andrewkaswagula336710 ай бұрын

    Loveness nikimuonaga naenjoy sana ❤❤❤❤❤❤ mimi jamani

  • @jamesgaitho4349
    @jamesgaitho434910 ай бұрын

    Watching from canada 🇨🇦 ❤ Allah Bless Tanzania

  • @nwntz

    @nwntz

    10 ай бұрын

    Kanada ya wapi banaa

  • @MwatsVet94
    @MwatsVet9410 ай бұрын

    Mwalimu akivaa hivi darasani kweli na maumbile yake yako 👌✅ lazima atawachanganya kina yahe😅

  • @abdul_aziz_tee

    @abdul_aziz_tee

    10 ай бұрын

    😅😂😂

  • @Khmy54

    @Khmy54

    10 ай бұрын

    Haswaah alhabibi😂😂

  • @helenabenedicto2796
    @helenabenedicto279610 ай бұрын

    Hivo viboko mnachapwa kweli😂😂😂😂😂😂😂❤

  • @user-lk3rw4sm1v
    @user-lk3rw4sm1v3 ай бұрын

    Munatakiwa kuuvaa mavanzi ya heshima ya kama mwalimu hayo Siyo mavanzi mazuri

  • @user-vc1jd5jo6p
    @user-vc1jd5jo6p10 ай бұрын

    Nipe like toka déc Steven kuja Congo

  • @manfromkakamega
    @manfromkakamega10 ай бұрын

    wakwanza jamani like pekee team ya steve

  • @Maleaz-go8jv

    @Maleaz-go8jv

    10 ай бұрын

    Wakwanza ni Mimi

  • @manfromkakamega

    @manfromkakamega

    10 ай бұрын

    😂😂😂18 mins ago na wewe 7 min ago🤣🤣🤣

  • @allykassim3145
    @allykassim314510 ай бұрын

    Sema hajra unapaswa kuwanza mazoez sasa,umenenepa san aisee

  • @francisjoseph5102
    @francisjoseph510210 ай бұрын

    Madam hapo umevaa uhusika kabsaaa i love you bby girl keep it up.

  • @stephaniejeremiah9566
    @stephaniejeremiah956610 ай бұрын

    Ila hiyo dress code ya mwlam jamn 😂😂ndo maana steve anamtongoza

  • @sabihaibrahim143

    @sabihaibrahim143

    10 ай бұрын

    Walimu wanatesa kwa mavazi kwa wanafunzi wanao matamanio

  • @longinnduwabagabo2787
    @longinnduwabagabo278710 ай бұрын

    Asante sana bwana Steven ! Mi napenda hiyi épisode ya wana funzi

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi200410 ай бұрын

    Tiadoro yukuwap na mwenzake 😂😂😂😂

  • @franciskioko6043
    @franciskioko604310 ай бұрын

    Aki steve anakuanqa funny,awezi kubali makosa yke ,kukana😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @user-fd6sk1jp9w
    @user-fd6sk1jp9w8 ай бұрын

    Duuu kweli bwana nimeipata hiyo

  • @rich.kizza10
    @rich.kizza1010 ай бұрын

    Oya mi napenda uhalisia wa hii series, mtu akichapwa...anachapwa kweli

  • @fatmaally7252

    @fatmaally7252

    9 ай бұрын

    Yaaaani ni kweli aseeee

  • @joshuanyaulingo4109
    @joshuanyaulingo410910 ай бұрын

    Huyo hamad kijicho huyo 😅😅😅😅

  • @maherzain615
    @maherzain61510 ай бұрын

    Mavazi ya walimu nihayo watt kweli watasoma

  • @user-kw3sn4pg3x
    @user-kw3sn4pg3x10 ай бұрын

    Leo na mm nimewawai top 10 naomba like 5 tu

  • @RamadhaniShabani-oi6kg
    @RamadhaniShabani-oi6kgАй бұрын

    Tuwape nafas vijana wazee ondoken hatuwata balua hongera mbwana mdogo

  • @calexkirui6166
    @calexkirui616610 ай бұрын

    Much love frm Kenya

  • @erickmajengo1861
    @erickmajengo186110 ай бұрын

    😂😂😂 Et subiri saa nane unanikumbusha mbali sana

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko39159 ай бұрын

    Yaan Bro.Steven nakupa maua yako km hv😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @johnmaina6888
    @johnmaina688810 ай бұрын

    Huyu mwalimu Mzuri !!!

  • @RibiehTv
    @RibiehTv10 ай бұрын

    Huyu loveness nampenda bure ❤❤

  • @garihamisi4373
    @garihamisi43739 ай бұрын

    Duuuh bwanawee Steve aise salute sana kaka mkubwa💙💙💙💙💙🙏

  • @JosefMuwanguzzi
    @JosefMuwanguzzi10 ай бұрын

    Live from Japan,but loveness namupenda yangu yote Mr Steven

  • @JosefMuwanguzzi

    @JosefMuwanguzzi

    10 ай бұрын

    Kama inawezekana naomba nmuvarishe Pete warai

  • @user-jy5nt3qe9w
    @user-jy5nt3qe9w5 ай бұрын

    Steve mweusi crazy you're from Kenya 🇰🇪 am your top fun

  • @user-tp9gg4fg9e
    @user-tp9gg4fg9e10 ай бұрын

    One luv from Burundi 🇧🇮 ila brother sound hazikai sawa bro

  • @EuphraBilingue
    @EuphraBilingue8 ай бұрын

    From Congo 🇨🇩🇨🇩 Mr Steven naku fwatiliya sana litaje jina langu ata kwenyi comédiens zako jina ni euphra bilingual

  • @user-us8qz9vu8g
    @user-us8qz9vu8g6 ай бұрын

    Sure am Ramson from kaloleni ❤ this movie hasa kupitia kwa Steve ameichangamsha Sana movie hii bila ata kuboesha ametufundisha mambo mengi kip it up broo ongezee zaidi

  • @user-ro2dn4ug4n
    @user-ro2dn4ug4n10 ай бұрын

    Hii Mara ya kwanza kumutazam steve lkn nimemuheshima sana kwa uwezo ukubwa wakwe comedian

  • @francismuthiani349
    @francismuthiani34910 ай бұрын

    ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪. 🤗

  • @abdul_aziz_tee
    @abdul_aziz_tee10 ай бұрын

    madam kidawa anatumia nguvu kubwa sana hatumii marifa kiufupi lakini huyu mwingine 💯 asilimia namkubali hana shida kabisa

  • @mkombozierick7828
    @mkombozierick782810 ай бұрын

    Nilitaka kushangaa Mnyakyusa asiwepo kwenye kelele Mwakasege onfire

  • @ibrahimayoubdhahabu984
    @ibrahimayoubdhahabu98410 ай бұрын

    Watoto wanavibe hawaa

  • @philipmutua6643
    @philipmutua66439 ай бұрын

    Daah, kweli stivu wewe ni influencer 😂😂😂😂❤

  • @asukulualonda9034
    @asukulualonda90347 ай бұрын

    Tusha follow

  • @shirimq1234
    @shirimq123410 ай бұрын

    Mbona kama anachapa za kwelii😂😂

  • @fatmaally7252

    @fatmaally7252

    9 ай бұрын

    Za kweli

  • @ebsenghore9964
    @ebsenghore996410 ай бұрын

    Steve, ls my best comedian The problem is l don't understand the language...

  • @user-up5rc5js4o
    @user-up5rc5js4o8 ай бұрын

    Jaman sasa mnafundisha au mnapotosha ni mavazi gani ayooo yakufundishia jaman mnafundisha vzr lakn shida ni mavazi jaribuni kuvaaa vzr thanks guys

  • @Joshua-do4rf
    @Joshua-do4rf10 ай бұрын

    Mimi nawewe nakupenda Burundi love you

  • @Shukutu
    @Shukutu10 ай бұрын

    Kazi zuri Vijana I am from congo 🇨🇩

  • @KarimuMakotwa-yv4wh
    @KarimuMakotwa-yv4wh10 ай бұрын

    Gonga like kwa Steve mweusi hapoo👊👊👊

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco256710 ай бұрын

    Ndio Asubili sa 8 asijifanye ye mwema sana 😂😂😂😂

  • @HASSAN-OG
    @HASSAN-OG10 ай бұрын

    From Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️💯

  • @zaburijr2504
    @zaburijr250410 ай бұрын

    Huyu mkuu wa shule waooooooo❤❤❤❤anaitwa nani huyu

  • @princemozes9923
    @princemozes992310 ай бұрын

    Stuvu angalieni kwa YTb gospeli prince moze plz nisapotini

  • @josephjoseph8982
    @josephjoseph898210 ай бұрын

    Nakupenda sana steve MTZ from SA na huyo mwalimu balaa program zenu nzuri sana

  • @fawaaidzakielimu4858
    @fawaaidzakielimu485810 ай бұрын

    Madam mwenye kishungi umeanza kuingia kwenye shimo la Mburu Kenge mdogo Mdogo, huo Uvaaji mtihan sana, 😢

  • @lucykebacho3446
    @lucykebacho344610 ай бұрын

    Unatafundisha mengi ktk mazingira ya kz. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-us8qz9vu8g
    @user-us8qz9vu8g6 ай бұрын

    Hii movie nimeipenda Iko fity Sana congratulation

  • @JohnMk-je7fw
    @JohnMk-je7fwАй бұрын

    ahaaaa mbaya hiyoooo hizooo ni fimbo daaah kidawa wewe ni hatali 😂

  • @fideldvicky
    @fideldvicky10 ай бұрын

    napenda Lavvunss

  • @harryminor4963
    @harryminor49633 ай бұрын

    Watch from the USA, Chicago, IL. I love the content.

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga65210 ай бұрын

    Shuruba za shule bongo halafu ajira tunazisikia tu 😅😅😅😅

  • @sylvesterdonald7441
    @sylvesterdonald744110 ай бұрын

    Mbona km anapiga kwa nguvu hizo stick 😂😂

  • @geraldkilali-qn2yv
    @geraldkilali-qn2yv10 ай бұрын

    Madam wenyewe walembo, ata Steve akiwatamani ako sawa

  • @bellabelle1593
    @bellabelle159310 ай бұрын

    Yani madamu anacapa.kabisa❤❤

  • @davidsoinemuterian3342
    @davidsoinemuterian33425 ай бұрын

    Hii shule wote ni akili pungwani 😂😂😂😂

  • @josephkitheka8204
    @josephkitheka8204Ай бұрын

    Steve is the funniest guy in Africa. He always leaves me laughing

  • @user-em8sc1yt5g
    @user-em8sc1yt5g2 ай бұрын

    Loveness...mrembo sana mtoto wewee❤❤❤

  • @user-bn6ut2oe1z
    @user-bn6ut2oe1z9 ай бұрын

    Ak loveness nmrembo hongera dada

  • @hafidhabdi2004
    @hafidhabdi200410 ай бұрын

    Hiii madam kidawa😂 anipandisha midadii😂😂😂 hiii duh mshepu huo sio poa kama hivi amekamilika flani amazing 😍🤩 Na bibiye hajra kidoti na mtandio wanipandisha midadi 😘❤️🤩🤩😍

  • @tztanzania2262

    @tztanzania2262

    10 ай бұрын

    Ukimpewa hata week haiishi ushamchoka Hawa wengi wao wazur wakivaa tu

  • @abdul_aziz_tee

    @abdul_aziz_tee

    10 ай бұрын

    sema kidawa anazingua hafai bhana lakini huyu mwingine hana shida kabisa

  • @abdul_aziz_tee

    @abdul_aziz_tee

    10 ай бұрын

    ​@@tztanzania2262kweli et

  • @hemedbakari8997

    @hemedbakari8997

    10 ай бұрын

    Umbile la kidawa zuri akivaa nguo akivua labda kuwe na Giza la sivyo hurudii

  • @hemedbakari8997

    @hemedbakari8997

    10 ай бұрын

    Chombo Hajra ukimpata unawasha taa na hutatamani mwanamke mwingi uzuri anajiheshimu kwakweli nampenda sana

  • @anthonylister754
    @anthonylister75410 ай бұрын

    Izo fimbo zipo kwenye Script? Maana naona teacher anachapa kweli

  • @user-fs7hl6vg2p
    @user-fs7hl6vg2p10 ай бұрын

    Umetishaass mwamba steeeeeeveeeee

  • @YOUNGBOY-200
    @YOUNGBOY-2009 ай бұрын

    Steve Mweusi the master❤❤

  • @ibrayusph5603
    @ibrayusph560310 ай бұрын

    Kuigiza kama mwalimu haina shida ila kuvaa hivyo hapana...

  • @alfredjohn5693

    @alfredjohn5693

    10 ай бұрын

    Wacha watu tuenjoy maisha ,, bandari imeuzwa uko unataka tusipunguze stress? 🤣🤲

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv4 ай бұрын

    Sitivu chukia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉nimeipenda

  • @user-tr8fw8bu7p
    @user-tr8fw8bu7p9 ай бұрын

    Daaah 😁😁😁Yan sitv utanifulahisha sana

  • @user-xy6ed6qt3l
    @user-xy6ed6qt3l6 ай бұрын

    Da huyo mwalimu alivovaa nihatar

  • @constablekenya9871
    @constablekenya987110 ай бұрын

    Nipeni likes namimi jamani.... handsome boy kutoka Kenya

  • @fiti-qx7wo

    @fiti-qx7wo

    10 ай бұрын

    kzread.info/dash/bejne/ZmaT1LqEec2XqcY.html

  • @superbillionairea5987
    @superbillionairea59878 ай бұрын

    Jaman stiv anajitahidi Sana. Lakin huyu madam mzuri na ksumbika kimwili

  • @teddyanalubowa8188
    @teddyanalubowa818810 ай бұрын

    Steven Big up And All members March love ❤ form Uganda 🇺🇬

  • @FatumaAlly-he4tr

    @FatumaAlly-he4tr

    5 ай бұрын

    K🎉

  • @mrproba9141
    @mrproba914110 ай бұрын

    Kama anampigwa kweli!? 😂😂 ,,

  • @mixturechannel6988
    @mixturechannel698810 ай бұрын

    Mavazi yanayotumika sio sahihi kwa huyo mwalimu ukiangalia kuwa darasani Kuna watu au watt wa dini tofauti , kwa upande wao wanatengeneza viewers ila tuangalie na maadili pia , Hilo sio sahihi fatuteni mavazi muvae acheni kuwapotosha wanafunzi

  • @KheriSanan
    @KheriSananАй бұрын

    Hilo ni kwel ana igiz kam mwalim lakin izi nguo kwa kwel dah mtihan san kw iyoo wajikerebish tuuu kw hil jam

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba59110 ай бұрын

    Izoo fimbo mbona Kama zinapigwa kweli

  • @jmaroa68
    @jmaroa689 ай бұрын

    Haha noma sana😅😅😅

  • @thrillingpoint2132
    @thrillingpoint213210 ай бұрын

    Watching from Tanzania I don’t know the language but I really attracted to teacher’s figure 😍

  • @franciskioko6043
    @franciskioko6043Ай бұрын

    Nachukianqa uyu dem prefect😢😢😢😮

  • @alexismuhoza3921
    @alexismuhoza392110 ай бұрын

    Ni nawafuata kwa makini kutoka Rwanda.asanteni sana

Келесі