MWANAMKE UNAKAA NA MWANAUME SIYO KWASABABU UNAMPENDA SABABU YA UVUMILIVU "PASTOR MGOGO
Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
KZread : Pastor Daniel Mgogo kzread.info/dron/eNr.html...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Пікірлер: 12
Aminaaa ubarikiwe sana
naipenda sandasana hudumayako uniombeiye Mungu anipezawadi yakuhubiri
Chombo ya Fundi hahah.. Pastor Mgogo Mungu atukuzwe, wewe ni genius hasa kwa kuandaa mahubiri kwa mifano bora inayofundisha na kuchangamsha.
Nakupa kutoka Zanzibar nungwi.. mm ni Muslim lkn mahubir ako yanagusa pande zote
Nakupata kutoka Zambia nakuelewa saana. Pastor.
❤Nakufata kabisa kutoka DRC /goma ubarikiwe saana mahubiri yako kila mara ninazo zifwata zinanitiyaga moyo 🎉
mchungaji nakufata sana tena napenda sana mahubiriyako
I love your teaching pastor it always teach me how to live well with people ..be blessed
Wambie baba. Binadamu ha waeleweki
🎉🎉🎉🎉🎉what amazing priechings 🥳🥳🥳🙌
Am eagerly waiting 😊
Niko Kongo nakupata sana nchungaji mi nimenyanganya mke kiss sio nlokole