MURO: DEAL DONE! ELLI PANZU MRITHI SAHIHI WA KIBU D SIMBA? ANACHEZA WINGA ZOTE! ANALIJUA GOAL BALAA!
Спорт
#tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi
Пікірлер: 28
Welcome to simbasc Elie Mpanzu
Shida hawaendi na hela wanaenda na maneno tutaona
saw simbaaa😢😮
Habari za usajili wa wachezaji dirisha kubwa tutazipata kwenye app ya Simba, Sio kwenu waandishi njaa
Hivi ninyi wachambuzi ndiyo huwa mnawachagulia Simba wachezaji wapya? Kama ninyi ni wakweli vyanzo vyenu mmnatakiwa mviweke wazi ili tuwaamini. Vinginevyo ni mbinu yenu ya kubuni vitu ili mpate viewers. Hakuna Kiongozi wa Simba mwenye akili timamu anayeweza kuweka mipango ya timu hadharani. Tabia yenu hiyo ni mbaya sana kwani inawachonganisha Viongozi na Mashabiki pale Uongozi utakaposajili wachezaji tofauti na hao mnaowaimba kisanii ili kujipatia viewers.
Humjui Elli panzu
Wakwaza mimi naitwa network
Simba wasituchukulie wachezaji wanaoachwa na vilabi vyao watuletee wachezaji wenye viwango tumeteseka sana miaka 3 si mchezo waache kuokoteza wachezaji
Usanii umeanza manzoki tena adebayo na wengine ngoja tuone😊
Elie mpanzu hakuwepo chan 2016,
Nilazma huyu mwamba tunamchukuat
Wanasimba mazuzu bado tu wanadnganywa
Watu ma midia wakemeeni uwongo wao alafu tusiwaone kataka muhala waharibifu hao kemea !!!!
Tuache uzushi
Acha usanii tumechoka na usajili wa mapicha pacha
Panzuu
Msitoe talifa zauongo ili tu niza ukwel tunamaliza bando
paper players
Yani nyie mnavyongea nyie ni waongo sana
Mbona sijawahi kuona matajiri wakifanya ushamba huo? ila nimeamini kweli nimpigaji tu wewe
MIKIA FC WAKISIA YANGA KAENDA MAHALA BASI NAO WANAKWENDA..
@saidmfaume1282
2 ай бұрын
Utopolo mtupu
Danganya neni kuhsu chama Kuma nyie
Kiukweli viongozi wetu wanatumizasana mashabiki wasimba hawajambo kwa kusajili majinamakubwa yawachezaji walahawana hata aibu inatosha Sasatukumbuke mazoki mbaka Leo hawajawahi kutoa mulejesho wowo
Sijaelewa bado MO anataka simba inaenda wap??media fikisheni ujumbe huu ,kwani smba ni simba mo ni mo ,mo amekaa mbali mo akitoa hela usajili Ana mpa nanii?? Nani has anatukusanyia aina Jobe?asee aibuuuh
Mmeanza kutuletea akina jobe
@hkombe4923
3 ай бұрын
Jobe alie chngamka
@mustafamtanganya7538
3 ай бұрын
Humjui elli panzu wewe yule ni mtu kaka