Marufuku ya shughuli baharini yatolewa Lamu kufuatia tahadhari ya Kimbunga Hidaya

Wakaazi wa kaunti ya Lamu hasa wanaoishi maeneo ya Visiwani lamu, Kisiwa cha Pate ,Kisiwa cha Ndhau,Kisiwa cha Kiwayu, hawataruhusiwa kusafiri baharini kuanzia leo jioni hadi siku ya jumanne kufuatia tahadhari ya Kimbunga kiitwacho Hidaya. Kimbunga hicho kinatarajiwa kushuhudiwa baharini pwani ya kenya. wanaosafiri baharini wakiwemo Wavuvi na abiria wameshauriwa kukatiza safari zao kipindi hiki.

Пікірлер: 4

  • @Irandabale
    @IrandabaleАй бұрын

    Citizen,hamna fundi wa mitambo jameni?? Kelele!!

  • @alingwezclassic1857
    @alingwezclassic1857Ай бұрын

    Hidaya hidaya banae subiri upatikane hata kama wewe ni hodari baharini utaona mauti

  • @mohamedbakari-fo8tk
    @mohamedbakari-fo8tkАй бұрын

    Basi mbona hamjatuletea mchele. Na maharage