Mapishi ya 'Bullets' kwa kutumia Breadfruit (SheliSheli)

Baada ya kuwaletea elimu juu ya tunda aina ya Shelisheli (Breadfruit) watazamaji wetu waliomba elimu juu ya uandaaji wa tunda hili.
KilimoShare inakuletea kipindi hiki ili kukufundisha hatua kwa hatua juu ya uandaaji wa 'Meat Bullets' kwa kutumia Shelisheli.
Karibu na ungana nasi na pia usisahau Ku_subscribe, Ku_share, Ku_Like pamoja na kuacha comment yako hapo chini.
Asante kwa mpishi wetu; Peris Jacton pamoja na mgeni wetu; Emma George.
Kwa Maswali, Msaada na mahitaji ya tunda hili, Breadfruit (Shelisheli) pamoja na Miche ya Breadfruit, waweza kuwasiliana nasi.
Email: kilimoshare@gmail.com
Phone: 0745184012/0753639961

Пікірлер