Makanisa mawili jijini Nakuru yabomolewa

Makanisa mawili jijini Nakuru yanakadhiria hasara kufatia ubomozi uliofanywa na watu wasiojulikan. Inadaiwa kuwa ardhi hiyo inazozaniwa na wamiliki wawili. Kufuatia ubomozi hiyo, mali ya thamani isiyojulikana iliibwa

Пікірлер: 13

  • @perispinkrose7452
    @perispinkrose74527 ай бұрын

    Makanisa ilisuport KK govt, vuneni SASA.

  • @ReaganOluoch-qy9ko
    @ReaganOluoch-qy9ko7 ай бұрын

    Lazima tubaki2 na kanisa moja state House ikiongozwa na wale wamama wawili....hizi zingine lazima ziende chini

  • @JosephOsanya-ik7bk
    @JosephOsanya-ik7bk7 ай бұрын

    Wapi uhuru kenyatta alisema tu jameni?

  • @jnn69
    @jnn697 ай бұрын

    Why all these demolitions???

  • @AlexMbuvi-nk5iy

    @AlexMbuvi-nk5iy

    7 ай бұрын

    Ask your master why

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi78727 ай бұрын

    Kenyaimeenda

  • @mercilinewanjala9905
    @mercilinewanjala99057 ай бұрын

    Kazi ya Kenya ni kubomoa 24/7

  • @joysmuna4395
    @joysmuna43957 ай бұрын

    Kenya watu watamalizana na mashamba

  • @blessingsmary

    @blessingsmary

    7 ай бұрын

    Kabisa wakenya wamebaki ni shamba shamba na wanakufa wana Acha wajinga hao

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi78727 ай бұрын

    0:28

  • @ngangajeremiah9912
    @ngangajeremiah99127 ай бұрын

    Woman pastor??A pastor is a males title,a woman should be a pastoress,& there's no such a title in The whole Bible!