Maisha ya jambazi mjini Mombasa

Ripoti za hapo jana kuhusu kuuawa kwa jambazi sugu mjini Mombasa zimeibua maswali mengi kuhusu kijana huyo Alias Dula aliyefahamika na wengi kama Captain J. Kijana huyo wa miaka 20 alitajwa kuwa kiongozi wa kundi la uhalifu la Wakali Wao na wengi walimfahamu siku za nyuma kuwa mahiri katika kusakata soka
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya

Пікірлер: 95

  • @madamboss348
    @madamboss3485 жыл бұрын

    20 yrs 😲😲😲😲

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau83075 жыл бұрын

    Subhanallah

  • @bintimohammed3233
    @bintimohammed32335 жыл бұрын

    Hakua mhalifu ushuzi namjua mpaka kwao na venye yuwaibia watu na kukata watu mapanga maninaaa na bado wataisha tuu hamtupi rahaa tukitembea pia twatembea na wasiwasi babako bado wale wenzake pia nawaombea pole pole tuu mtaisha, mkishamuibia mtu si mumuache nyi mwamkatakata kisha mkishikwa mwatetewa😏😏😏

  • @bigboy8508

    @bigboy8508

    5 жыл бұрын

    *Vipi tigo nitapata?*

  • @naiskaurrai2464

    @naiskaurrai2464

    5 жыл бұрын

    Wacha wauliwe wote waishe...watoto wa juzi ameharibu usalama kweli

  • @bintimohammed3233

    @bintimohammed3233

    5 жыл бұрын

    @@naiskaurrai2464 kabisa imekua sahii hatuisha kwa amank

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika74775 жыл бұрын

    haya which is which

  • @pilikheri670
    @pilikheri6705 жыл бұрын

    Good job kenyan police. Muwamalize wote hawa ma ibilisi. Watu hawana raha tena na mombasa, hawa mahibilisi wame haribu sifa za mombasa. Hawa wazazi wanao waficha watoto wao wahalifu pia watiwe mbaroni.

  • @estherkibui2371
    @estherkibui23715 жыл бұрын

    Mwizi ni mwizi 2😏

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe51725 жыл бұрын

    Inna Lilah waina ilehi rajiuni mungu awape subra InshAllah

  • @haithambillel4091
    @haithambillel40915 жыл бұрын

    Likoni pia kuna mmoja jambazi sugu aitwa MESHACK OKOTH hatari sana

  • @gashafashi08

    @gashafashi08

    5 жыл бұрын

    Give this info to the DCI please

  • @nafisamohamad3182

    @nafisamohamad3182

    5 жыл бұрын

    Duh yuko maeneo gani uniambie nisiende uko nisije.kutana nae tu😀😁naishi maeneo ya migombani likoni

  • @johnmwanziakituku7778

    @johnmwanziakituku7778

    3 жыл бұрын

    Utakufa Ww pia na mtoto wako atakuwa mwizi

  • @lionsdota1989
    @lionsdota19895 жыл бұрын

    Mimi mwizi sitawahi mtetea juu ile siku atapatana na wewe corner mbaya iyo siku diyo mtu huelewa kwa nini wakule copper

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar93865 жыл бұрын

    Wazazi wanakitetea Kuwa kijana wao Sio mwizi n anajulikana kuwa n mwizi hatari hadi n watoto wadogo

  • @mwashashasaid3700
    @mwashashasaid37005 жыл бұрын

    Serikali ndo walishidwa kuchukua hao vijana kuweka approved ata mzazi ampeleke police bado hawataki ati mpaka achunguzwe...wawatoa wazidi kuumiza watu nje...

  • @mamadoublem353
    @mamadoublem3535 жыл бұрын

    Niliona mayb ipo skku utajuwa utamu wa maisha na ubadilike ila lisilo budi.lilitendeka na mzazi alikuwa chanzo cha kupotea kwako leo we marehemu ila ni kosa lake la tendekeza mayb kweli ungekuwa footballer international but its too late to mothers watch ur love for ur kids

  • @me-by1ty
    @me-by1ty5 жыл бұрын

    Please translate

  • @tanumzalendo1567

    @tanumzalendo1567

    5 жыл бұрын

    African Beauty This is a thug who was gunned down by police

  • @huseinibrahim4175
    @huseinibrahim41755 жыл бұрын

    Kwanini waibia watu na kuwajerui

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.63085 жыл бұрын

    Mtoto mdogo sana Kwa nn vijana wanakua hivi lkn??

  • @salimmachila5736

    @salimmachila5736

    5 жыл бұрын

    Elimu ,malezi makhaya, rafiki wabaya, mazingira mabaya ,ukosefu wa muelekeo

  • @sellamwani7300

    @sellamwani7300

    4 жыл бұрын

    Mtoto umleavyo,ndivo akuavo.cousin zake wametulia sababu babayao,ame waekea tight.

  • @kuschprince3216
    @kuschprince32162 жыл бұрын

    "Poleni sana"! Nina swali:Jee huyu Bi.Amina Ali inawezekana kuwa alisomea Khadija pri.Schooi miaka ya 70-78? Alikua akiishi Bakarani kwa aunty Fathuma Rajab na nyanya "Mefundhi; Karibu na Salimu Mbega? Jee anabinamuye aitwaye Hassan? Nahisi kuwa ndiye na ni ni dadangu kwa upande wa Bi .Fathuma Rajabu..Its long time ago,as i immigrated to Germany about40 years ago,Let me know so that i can take contact and visit you during my next vacation, take heart,and keep on praying to "ALLAH"(swt) for his mercy.Can i have your e-mail addr/pone no.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын

    Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun,

  • @tomnyambu9956
    @tomnyambu99565 жыл бұрын

    One thing for sure cops wont take you down cold unless your a calprit....the guy was an enemy...rip

  • @tanumzalendo1567

    @tanumzalendo1567

    5 жыл бұрын

    Tom nyambu Ni loli!😰

  • @kauryatechnical993
    @kauryatechnical993 Жыл бұрын

    Nyinyi watu wambosa munalea watoto vibaya

  • @mollyesther1434
    @mollyesther14345 жыл бұрын

    Alifika form 2alikuwa karibu kumaliza university? Which is which at 20

  • @abdulhamidmahmood3112

    @abdulhamidmahmood3112

    5 жыл бұрын

    Listen properly.

  • @tanumzalendo1567

    @tanumzalendo1567

    5 жыл бұрын

    Very poor journalism 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @balariaraktidada9877

    @balariaraktidada9877

    5 жыл бұрын

    Mtu hamwezi kumaliza 4/4 kwa 18 yrs

  • @mariachepkulel3467

    @mariachepkulel3467

    4 жыл бұрын

    That woman saying about another boy who was killed by dulla becoz of phone

  • @mamaafrica3920
    @mamaafrica39205 жыл бұрын

    Mimi kama mzazi siwezi kuzungumza vibaya coz hii group ni watoto wadogo Sana wanasawishiwa tuu na wenzao na kujiunga ni serekali ingechukua atua ya kuwashika na kuwafungia gerezani mpaka akili zao zitakapo komaa

  • @sellamwani7300

    @sellamwani7300

    4 жыл бұрын

    Kama waambiwa bidilekeni mwenzenu ashaangushwa,kisha jibu no sisi tusha sign!kunana kubadilika kweli?

  • @oyay2821
    @oyay28215 жыл бұрын

    Hio ndio lugha wahalifu wanao elewa. Akioatikana ni risasi alafu mungu awachiwe jukumu la kumsamehe au LA

  • @hbh3436
    @hbh34365 жыл бұрын

    It is sad for a Young boy to loose Life like that.

  • @me-by1ty

    @me-by1ty

    5 жыл бұрын

    HB H what are they saying please translate

  • @hbh3436

    @hbh3436

    5 жыл бұрын

    @@me-by1ty It is a Young boy around 20 yrs, dont remember, who was suspected of stealing from people. He was gunned down by authorities. So sad for the parents.

  • @me-by1ty

    @me-by1ty

    5 жыл бұрын

    HB H ohhhh poor boy 😔😔

  • @abduljuma2147
    @abduljuma21473 жыл бұрын

    Na Tena ua wanatokea familia nzuri zenye upendo nao ila wenyewe sijui wanakosea wapi

  • @hassancharo1496

    @hassancharo1496

    3 жыл бұрын

    WanA haramu

  • @selestineosoo5045
    @selestineosoo50455 жыл бұрын

    Alikuwa mwerevu na mbona aliwacha shule form 2????

  • @tanumzalendo1567

    @tanumzalendo1567

    5 жыл бұрын

    selestine osoo Nashagaa🤷🏽‍♀️

  • @naknak150
    @naknak1505 жыл бұрын

    Mtaa wetu wakitambo magodoroni, mwisho mwema ya RABI

  • @eddyaquarius6513
    @eddyaquarius65135 жыл бұрын

    Piga uwa kesi badaye!!

  • @tanumzalendo1567

    @tanumzalendo1567

    5 жыл бұрын

    edward aquarius Na politicians ambao wanaiba 71 billion pesa ya umma ..... watauliwa lini?

  • @hassanalhussein3982

    @hassanalhussein3982

    5 жыл бұрын

    Kwanzaa tuanze kuuwa wezi wa viwanja wanaotoka kwenu bara.

  • @harrysusi6946
    @harrysusi69465 жыл бұрын

    BENDOVER TO EXCEL ....1:18

  • @polinekilengulu7923
    @polinekilengulu79235 жыл бұрын

    Polisi kazi nzuri mmefanya, jaambazi auliwe coz he has killed soooooo many innocent people.

  • @amounanyale9220
    @amounanyale92205 жыл бұрын

    Polisi muende nahuko ng'ombeni naskia kuna mmoja ajiita killer nae jambaz sugu

  • @usamaahassan
    @usamaahassan5 жыл бұрын

    Haki Africa behind there😂😂😂 God see.

  • @andreanjane1895
    @andreanjane18955 жыл бұрын

    Tabia za uswahilini,kutetea watoto wao eti si wahuni.akijeruhi ama kuuwa watu wa bara hapo hakuna shida,akifanyia waswahili wenzake ndio shida inaanza.akishikwa wanamtoa wakisaidiwa na wanasiasa.akiuliwa maandamano pamoja na human rights.

  • @mbaraknagib4356

    @mbaraknagib4356

    5 жыл бұрын

    Wacha fitina mwanamke ameua mpaka warabu usijiandikie kwa vile umeboeka huna cha kufanya

  • @andreanjane1895

    @andreanjane1895

    5 жыл бұрын

    @@mbaraknagib4356 ukweli wauma sina fitina.

  • @TheNonibioactive

    @TheNonibioactive

    5 жыл бұрын

    Kwa nini hakupelekwa kotini?

  • @andreanjane1895

    @andreanjane1895

    5 жыл бұрын

    @@TheNonibioactive akipelekwa koti humuachilia na hurudi kulipiza visasi waliomshtaki polisi.kama ushawahi kumbana na wahuni ukanyang'anywa na kunusurika kifo kama mimi ungekuwa unasema risasi badala ya koti

  • @mwashashasaid3700

    @mwashashasaid3700

    5 жыл бұрын

    Ati wasema wanaojeruiwa ama kuuliwa wabara urongo uwo...yoyote wakipata njiani bas...nawe ni mbara wadhulumiwa wafanya pwani usorudi kwenu ndo kuna aman...

  • @jahadibrahimtv7958
    @jahadibrahimtv79585 жыл бұрын

    Dogo nilicheza naye mpira

  • @zulekhaomar5586
    @zulekhaomar55865 жыл бұрын

    Inshaallah mungu atakulipia kifo chako

  • @dennisbaya3807

    @dennisbaya3807

    5 жыл бұрын

    Kifo cha nani

  • @sellamwani7300

    @sellamwani7300

    4 жыл бұрын

    Wewe teja nini?humjui huyu dogo.

  • @hamza89945
    @hamza899455 жыл бұрын

    Mbona majambazi kila mahali hawauliwi mnashika vijana Wa mtaani mkiwauwa. Hasa vijana Wa mjini Mombasa

  • @sellamwani7300

    @sellamwani7300

    4 жыл бұрын

    Muogope mungu boss!wewe hukai maeneo yaonekana,wacha kubobokwa kama huyajui boss.

  • @hanifajuma342
    @hanifajuma3425 жыл бұрын

    Kuua sio suluhu, ni heri wangemkamata afungwe jela arekebishe tabia.

  • @azontozonto8855

    @azontozonto8855

    5 жыл бұрын

    Jela zimejaa

  • @trendy280

    @trendy280

    5 жыл бұрын

    una wazimu

  • @naiskaurrai2464

    @naiskaurrai2464

    5 жыл бұрын

    Huku jela angeenda kupata training ya kuwa sugu zaidi. Kisauni iko na jambazi mmoja less leo...labda wakaazi watalala vizuri kiasi.

  • @hassanalhussein3982

    @hassanalhussein3982

    5 жыл бұрын

    @@naiskaurrai2464 Badilisha katiba ya Kenya iandikwe mwizi auwawe. Kama alikuwa ni mbara kama wewe ungelisema kwa nini polisi wamechukuwa sheria kwenye mikono yao.

  • @sellamwani7300

    @sellamwani7300

    4 жыл бұрын

    Ngoja jamaa yako apigwe panga na kukata katwa,kisha uje utwambie!

  • @mariamgitau3614
    @mariamgitau36145 жыл бұрын

    Innalillahi wainna ileyhi raajiun.. Hawangemuua wangemkamata tu

  • @abduratwaha3945

    @abduratwaha3945

    5 жыл бұрын

    Ndio asumbue watu Tena...heri tukamate mbwa...ina faida kumliko