Mafunzo ya Adobe Illustrator - Class 19 Jinsi ya kutumia Layer Panel

Hello karibu kwenye nafunzo ya Adobe Illustrator full Course kwa lugha ya kiswahili. Katika video hii utajifunza Jinsi ya kutumia layer panel kwenye Adobe Illustrator.
Tafadhali SUBSCRIBE kwaajili ya Video zijazo.
Video 15 Link: • Mafunzo ya Adobe Illus...
Website: www.onpointgraphics.co.tz
opoints_graphics
Facebook.com/onpoints_graphics

Пікірлер