MABEO NA KIFO CHA MAGUFULI

Музыка

Kupotea kwa Magufuli kabla ya kifo chake kuliibua maswali ambayo hayakujibiwa na serikali
wakati huo.
Kauli ya Mkuu wa Majeshi wakati huo kwamba alikaidi amri ya amirijeshi wake Rais Magufuli imeongeza maswali ambayo sasa lazima yajibiwe.
La sivyo watanzania tutaendelea kuamini dhana iliyokuwepo kwamba Rais Maguful alimalizwa na mataifa ya magharibi kwa kupinga mradi wao wa Corona.
Kama Magufuli aliona hatari ya maisha Yake hospitalini kwa nini mkuu wa majeshi na madaktari waliendelea kumshikila Magufuli hospitalini kinyume na hiari yake?
JE RAIS ALIKUWA AMETEKWA NYARA NA KINA NANI KWA MASLAHI YA NANI?
Maswali bado ni mengi.
Serikali Tanzania wajibu maswali wasiongeze maswali.

Пікірлер: 4

  • @munishifaustin
    @munishifaustin4 ай бұрын

    Kupotea kwa Magufuli kabla ya kifo chake kuliibua maswali ambayo hayakujibiwa na serikali wakati huo. Kauli ya Mkuu wa Majeshi wakati huo kwamba alikaidi amri ya amirijeshi wake Rais Magufuli imeongeza maswali ambayo sasa lazima yajibiwe. La sivyo watanzania tutaendelea kuamini dhana iliyokuwepo kwamba Rais Maguful alimalizwa na mataifa ya magharibi kwa kupinga mradi wao wa Corona. Kama Magufuli aliona hatari ya maisha Yake hospitalini kwa nini mkuu wa majeshi na madaktari waliendelea kumshikila Magufuli hospitalini kinyume na hiari yake? JE RAIS ALIKUWA AMETEKWA NYARA NA KINA NANI KWA MASLAHI YA NANI? Maswali bado ni mengi. Serikali Tanzania wajibu maswali wasiongeze maswali.

  • @user-lt3ze3nz7g
    @user-lt3ze3nz7g4 ай бұрын

    Huu ni upotoshaji wa wazi ,,

  • @paulmuyanga3445
    @paulmuyanga34454 ай бұрын

    Generally alikua sahihi mgonjwa yeyote akiwa hospitalini yupo mikononi mwa daktari na sio Generali Magufuli alistahili kumuamrisha daktari amfutie na kwenda nyumbani.

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i4 ай бұрын

    Hauko sahihi, angeruhusu aende nyumbani akafa Kwa namna ambayo madactari wangesema ingeepukika akiwa hospitalini cdf, angekuwa katika Hali gani? Cdf ni taasisi pastor,,,,usichukulie Tu kuwa ni mtu

Келесі