MAAJABU; ONA MAPACHA WALIO MCHANGANYA MWANAMKE MMOJA, MAPACHA WA KUFANANA

Пікірлер: 49

  • @FatmaMohammed-ry8yo
    @FatmaMohammed-ry8yo2 күн бұрын

    Mashaallah mtangazaji huo uvaaji wastara kwa mda wote nakupa asilmia zako Mashaallah uwe unavaa hivyo hivyo nakupenda kwaajili ya Allah

  • @HusseinAlly-rk1ol

    @HusseinAlly-rk1ol

    Күн бұрын

    Dada umependeza Kwa shungi uliova jitaid kuva Ivo Ivo hongera Sana dada

  • @RemmylinaLauzi
    @RemmylinaLauziКүн бұрын

    Mapacha tuko wapi tuwape maua mapacha wenzetu,kuzaliwa pacha jamani raha ❤❤❤

  • @user-um8lt3vx3u
    @user-um8lt3vx3uКүн бұрын

    Mashallah dada unajitambua haujieki uchi kama wanavyo fanya wengine alaf wajiite wao n waislamu hongera kwakweli nahao mapacha allah awahifadh wazid pia kupendana nifuraha kwakweli

  • @mwajohari4385
    @mwajohari43852 күн бұрын

    Mashallah,nampenda huyu mtangazaji akiwa hivi anapendeza sana na mapacha Masha Allah

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740Күн бұрын

    Nawapenda Hawa vijana natamani wawe watoto wangu Mimi naomba namba zao wallah nimewapenda

  • @KuluthumuMsuwakollo
    @KuluthumuMsuwakollo3 күн бұрын

    😂😂ila wako tofaut kdg feythal ana uso mwembamba kdg faudh uso wake mpana kdg 😂nawapenda mungu awalinde

  • @user-wm7gu8os2i
    @user-wm7gu8os2i4 күн бұрын

    Alhadllah nimewapenda hawakaka palewalipo sema wana hofu ya muugu Nawaombea kwa Allah azidi kuwa hifadhi mm pia nina pacha wangu ilatuja fan ana kihivo niseme shukran ❤

  • @evancemoevt8597
    @evancemoevt859722 сағат бұрын

    Hawa Jamaa Ustaa Umegoma!!!

  • @user-wd2bc7bf5x
    @user-wd2bc7bf5x21 сағат бұрын

    saiv wamenenepa sana Masha'Allah

  • @habibamura5255
    @habibamura5255Күн бұрын

    Mashallah ❤❤

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu2 күн бұрын

    Mengine wameongopa,inategemea na mapacha wengine wanapendana nawengine hawapendan,na wengine kila mmoja na akil yake,wengine shule wanafaham namwenzake faham yake ni ndogo,ila suala la kuumwa na uchoyo wakiroho wote wanakuwa hivo.ila hao wanatabia moja ya vituko ila wengine wanakuwa sirias sana na wenzao.

  • @mwamvuamagongo8163
    @mwamvuamagongo81632 күн бұрын

    Wana utofauti kidogo

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani360921 сағат бұрын

    Mashaallah, mungu mkubwa. 🤗🤗

  • @FocusNyari
    @FocusNyari15 сағат бұрын

    Mapacha wanafanaana vityu vingi ila Kuna asilimia nyingi awa jamaaaa wanatupiga sana kwa uwongo

  • @michongomedia
    @michongomedia2 күн бұрын

    Ukipiga unaua BRAND😂😂😂😂😂

  • @Maua-mj7pm
    @Maua-mj7pm2 күн бұрын

    Nimecheka 😂😂😂 ety anatuonabkama makatuni

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1b2 күн бұрын

    Mmoja sura duara na mnene mmoja mwembmb na sura nyembmba

  • @mcnyoka6420
    @mcnyoka64204 күн бұрын

    Mmenimalizia mb zangu, mnajadili upuuzi

  • @mamanabdoul4397
    @mamanabdoul43974 күн бұрын

    Maa shaa Allah.banafanana saana

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qkКүн бұрын

    Duu poleni wanangu ninao hao uwaone hivyohivyo mmoja anakua machachali sana kulia kwako ndio matatali

  • @user-ds5tf9xx1d
    @user-ds5tf9xx1d17 сағат бұрын

    Nawapenda pacha

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740Күн бұрын

    Lkn mbona unajua kuwabagua Hawa vijana mmoja kidogo kibonge

  • @MonaJuma-cp3jg
    @MonaJuma-cp3jg18 сағат бұрын

    INNALILAH WAINNAILAH RAJIUN pacha wangu 😭😭😭😭😭😭

  • @abcdoman8739
    @abcdoman87394 күн бұрын

    Mmoja mwembamba mmoja mnene

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto43032 күн бұрын

    mashallh

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa4 күн бұрын

    Maashallah ❤❤❤

  • @CharamKabul
    @CharamKabul2 күн бұрын

    Hapo kwakuwaza waongo kweli

  • @AnnaJoseph-oq9ul
    @AnnaJoseph-oq9ul2 күн бұрын

    😭😭😭😭😭😭😭why kaka

  • @aminamohamed9955
    @aminamohamed995515 сағат бұрын

    Tupo jamani mapacha sisi wanawake watupu na tumefanana hatr mmoja akikopa anadaiwa mwingine Hahaha 🎉

  • @RahimaMct-ik8mr

    @RahimaMct-ik8mr

    11 сағат бұрын

    😂😂😂

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza78522 күн бұрын

    Hapo kwenye kuwaza😂😂😂😂😂😂

  • @abcdoman8739
    @abcdoman87394 күн бұрын

    Wanafanana ila utamjua yupo mkubwa unawajua vizuri tu

  • @mwajohari4385
    @mwajohari43852 күн бұрын

    Asa hivi huyu mmoja kanenepa

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto43032 күн бұрын

    dad nakupenda sana

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7Күн бұрын

    We mtangazaji, huboi

  • @FocusNyari
    @FocusNyari15 сағат бұрын

    ila dakika 5 zinahesabiwa kaama sekunde

  • @MTUMZIMADAWA
    @MTUMZIMADAWA2 күн бұрын

    ❤❤❤❤❤❤

  • @teddysananga
    @teddysananga4 күн бұрын

    Wamenenepa kidogo

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalim2 сағат бұрын

    Daah

  • @Najuma-yk7vn
    @Najuma-yk7vn14 сағат бұрын

    Mambo

  • @user-zo8lz3wm7n
    @user-zo8lz3wm7n3 күн бұрын

    Wakooo poaa san

  • @user-db1uy6hv9q
    @user-db1uy6hv9q2 күн бұрын

    😂😂😂😂

  • @user-tj6pl1lz5b
    @user-tj6pl1lz5b4 күн бұрын

    😅

  • @aziza9093
    @aziza90934 күн бұрын

    ❤❤❤😂

  • @mariamuhamisimwamrezi4832
    @mariamuhamisimwamrezi48324 күн бұрын

    😂😂😂

  • @maryamedi9141
    @maryamedi9141Сағат бұрын

    Mashallah wamekuwa wakubwa nakumbka kipindi tunasoma chuo walikuwa wapolee jmn😂😂😂😂

  • @aziza9093
    @aziza90934 күн бұрын

    😂😂😂😂

  • @RithaOmari-np8je
    @RithaOmari-np8je4 күн бұрын

    😂😂