Leonard Mambo Mbotela PART 2 - The 1982 Coup

In part two of his story, the legend narrates the events of the 1982 coup and how he almost lost his life. His memory of dates and events is top notch, listen and learn.

Пікірлер: 83

  • @mildredalubisia9810
    @mildredalubisia9810 Жыл бұрын

    I remember was a young girl in primary sch, waiting for asong ( Amka kumekucha,Kanata jembe na panga,uende shamba) that was an alarm to set as off to sch.but instead this mzee said what he is testifying.God loves him.

  • @faisalyasin5721
    @faisalyasin5721 Жыл бұрын

    Very humble human being Kudos Sir !!

  • @jumaongola2010
    @jumaongola20102 жыл бұрын

    In whatever thing u do, kindly put God first and never mind that u r there permanently for u never know what tomorrow plans for u. This history has spoken a lot

  • @frankoiputa8181
    @frankoiputa8181 Жыл бұрын

    Areal legendary Agrate inspiration to always remain in the hearts of The kenyans we adored you Mzee

  • @mercymuthoni659
    @mercymuthoni659 Жыл бұрын

    Leonard you are great. May God give you long and blessed life here on earth and a big reward in heaven. You're our hero. God bless you abundantly.

  • @justusndolo1048
    @justusndolo10482 жыл бұрын

    I remember very well was in class 3.Were stopped on the way with mum heading to Nairobi.Now 49 years remains history.Its my prayer such evil never to heard in our corridors of peace.God bless you Botela you are a General.May God satisfy with l;ong life.

  • @Jumanne-yh1uw
    @Jumanne-yh1uwАй бұрын

    Hata Mimi Ni Fast Time Kumuona Nilikuwa Sija Wahi Ona Sura Yake

  • @Chery-Pro64
    @Chery-Pro642 жыл бұрын

    Mambo you are a lenged may God continue protecting you sir

  • @frederickochieng-odhiambo5708
    @frederickochieng-odhiambo5708 Жыл бұрын

    He has a way of telling stories appear convincing.

  • @mandeqyarka4678
    @mandeqyarka4678 Жыл бұрын

    Congratulations our hero our father General mohmud mohamed barow ❤❤❤❤❤ A hero 1982 kuuuuu ❤❤❤❤ mungu ampee afya na umri

  • @philonchimbi07
    @philonchimbi07 Жыл бұрын

    Hongera sana, nimefurahi sana kukuona nilisha kusikia sana na nilipenda sana vipindi vyako. Nakutakia maisha marefu

  • @ancytarimo1103
    @ancytarimo1103 Жыл бұрын

    Your great father. Napenda sana kazi yako

  • @hemedbakari8997
    @hemedbakari8997 Жыл бұрын

    Du huyu Mzee ndio namuona Leo nilikua namfuatilia sana Kbc Nairobi

  • @portazbapfakurera1326
    @portazbapfakurera1326 Жыл бұрын

    I'm a Ugandan, I loved 'hii ni ungwana' programme by Mambo Mbotera. God bless you Mambo

  • @jackielidubwi

    @jackielidubwi

    Жыл бұрын

    Ameen

  • @bajunabdi2456
    @bajunabdi2456 Жыл бұрын

    He is good story teller wish him long lyf

  • @paulnyaga1776
    @paulnyaga1776Ай бұрын

    Very interesting but very sad, pole Sana Leonard kwa hayo yote yaliyo kupata

  • @nancychepkwony9271
    @nancychepkwony92712 жыл бұрын

    Hii sauti jamani ni kizuri Sana, inanikumbusha Miaka ya hapo awali nikiwa katika shule ya msingi. Kipindi ikiwa - "je huu ni ungwana na Leonard Mambo Mbotela".

  • @calebluseka7454
    @calebluseka7454 Жыл бұрын

    Mzee mwenye busara sana may God bless u nikiwa mdogo sana nilipenda kumsikiliza mambo na kipindi cha je huu ni uungwana kweli?

  • @alexbushishi8342
    @alexbushishi8342 Жыл бұрын

    Story imenitoa machozi!

  • @josephmushi3937
    @josephmushi3937 Жыл бұрын

    Pole sana Leonard kwa mkasa uliokutokea mwaka1982 na bado mungu anakupigania mpaka sasa

  • @henryarero
    @henryarero Жыл бұрын

    Tunashukuru Mungu and Kenyans should appreciate Mohamud Mohamed..The Cushites can STAND for the truth

  • @carolinekamau9153
    @carolinekamau91533 жыл бұрын

    Great job Jackie

  • @jackielidubwi

    @jackielidubwi

    3 жыл бұрын

    Thanks dear

  • @nancychepkwony9271
    @nancychepkwony92712 жыл бұрын

    This is a true Legacy.

  • @user-xs1fw9jk6k
    @user-xs1fw9jk6k Жыл бұрын

    Leonard wewe ni shujaa Mungu akubali sana

  • @richardkisulani9098
    @richardkisulani909810 ай бұрын

    I remember that day I was 5yrs with my father along jogoo rd just few mtrs from st Stephens jogoo rd ... we were told to get out of our car and lay flat on the rd.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 Жыл бұрын

    Umepaka black zee zima ase kumbe upo hongera best angu

  • @DeoShirima-kf9ez
    @DeoShirima-kf9ez Жыл бұрын

    Hongera mzee nakukubali Sana yangu mdogo nipo tz

  • @Fraizah
    @FraizahАй бұрын

    Watching this date 25 Jun after maadamano 😢

  • @semakulagodfrey8149
    @semakulagodfrey81492 жыл бұрын

    May God bless you Radio Kenya 1991 1993

  • @obadiahnyutu
    @obadiahnyutu Жыл бұрын

    This great man

  • @mackfasonmoshi4629
    @mackfasonmoshi4629 Жыл бұрын

    Aiseee Huyu Mzee Lenard Mambo Mbotela safi sana Sisi WaTz tulikuwa tunashabikia sana kile Kipindi Mahiri cha "Je Huu ni Uungwana??"..Mzee Mola aendelee kukutunza.... Amina..Yuko Pamoja huku Tz.

  • @jackielidubwi

    @jackielidubwi

    Жыл бұрын

    Amina

  • @franciskibet6873
    @franciskibet687310 ай бұрын

    good man nice life sir❤

  • @christinezosi3317
    @christinezosi3317 Жыл бұрын

    May God bless u..mungu akuongezee maisha marefu.

  • @paulosamwel9853
    @paulosamwel9853 Жыл бұрын

    Aman kwako Mambo mbotela toka 1988 nakutambua nikiwa Mbamba bay kukusikiliza, umakini,bashasha,umiliki wa radio ni kama Charles Hilary,Jacob Tesha,David Wakati wa Tanzania. Barikiwa Sana kwa kuweza kumudu kazi yako na Uzalendo huko kwenu.

  • @sennahakoi.tvwalktalkyourd1702
    @sennahakoi.tvwalktalkyourd17022 жыл бұрын

    Awesome to be here,just stumbled on this interview...Its in my heart to do a film on the coup. Great work Jackie

  • @jackielidubwi

    @jackielidubwi

    2 жыл бұрын

    Thanks Sennah

  • @josephmuasa52
    @josephmuasa52 Жыл бұрын

    I was only two years, live long mzee mbotela

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 Жыл бұрын

    Daa mi toka mtoto darasa la 4 sauti ni hiyo hiyo kabisa na bado chuma bado kipo sawa 😅

  • @politicalspider8175
    @politicalspider8175 Жыл бұрын

    Is this man alive? From childhood he was my favourite. I used to tune in to KBC. I grew up with an interest in broadcasting. I studied journalism because of him. Is he alive?

  • @jackielidubwi

    @jackielidubwi

    Жыл бұрын

    He is still alive and active in the media circles, thank you

  • @politicalspider8175

    @politicalspider8175

    Жыл бұрын

    @Jackline Lidubwi great! I visited Kenya twice. Next time I would like to meet him and take a photo with him.

  • @jackielidubwi

    @jackielidubwi

    Жыл бұрын

    @@politicalspider8175 great he is a very friendly

  • @theophiluskosgei2282

    @theophiluskosgei2282

    Жыл бұрын

    Very much alive 💪

  • @juliuswasupa313

    @juliuswasupa313

    Жыл бұрын

    He is alive and very strong en healthy.

  • @kundesamtumbaya
    @kundesamtumbaya Жыл бұрын

    Je niungwana

  • @mbatemgingamwita5944
    @mbatemgingamwita5944 Жыл бұрын

    Nakukumbuka Mzee na kipindi chako kilisikika sana afrika mashariki. Je huu ni unguwana?

  • @DeoShirima-kf9ez
    @DeoShirima-kf9ez Жыл бұрын

    Leonad mzee was kbc je huu ni ungwana? Nimekumis Sana baba

  • @henryarero
    @henryarero Жыл бұрын

    Kenya Broadcasting Corporation.. KBC..Any Reform in KBC station?

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Жыл бұрын

    Duh Huyu Mzee ni Mali sana wakenya mpeni Ulinzi

  • @henryarero
    @henryarero Жыл бұрын

    Asante lenny mbotela

  • @aminimoshi5474
    @aminimoshi5474 Жыл бұрын

    Mzee Mambo pole sana na hongera sana ni kati ya Wakenya wazalendo niliyowajua kwa utangazaji mahiri Sauti ya Kenya na mtangazaji maarufu wa mpira from Moshi Tz

  • @essaukillonzo5639

    @essaukillonzo5639

    Жыл бұрын

    Lllllllllll

  • @stephenmbiti4196

    @stephenmbiti4196

    Жыл бұрын

    Ogera mambo mbotela

  • @marthamungure1777
    @marthamungure1777 Жыл бұрын

    Je, huu ni uungwana?

  • @marthamungure1777
    @marthamungure1777 Жыл бұрын

    Good swahili

  • @Uchedez
    @Uchedez3 жыл бұрын

    At least nimejibiwa maswali mengi kwa from the main source, main man the legend him self

  • @jackielidubwi

    @jackielidubwi

    3 жыл бұрын

    Thanks for watching

  • @Uchedez

    @Uchedez

    3 жыл бұрын

    @@jackielidubwi welcome

  • @anitacostagia1563

    @anitacostagia1563

    Жыл бұрын

    @@jackielidubwi I am not sure if I can make it to the

  • @jackielidubwi

    @jackielidubwi

    Жыл бұрын

    @@anitacostagia1563 make it to the?

  • @peternjoroge9209

    @peternjoroge9209

    Жыл бұрын

    May almighty God bless you abundantly, and long life n good health, u really taught us good behaviour.

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 Жыл бұрын

    Namkubali sana huyu mwamba, duh..! Kumbe ndo huyu...🤣🤣👍💓...wapi Salim Manga? wapi Anunda Sakwa? wapi Elizabeth Obege.?

  • @jackielidubwi

    @jackielidubwi

    Жыл бұрын

    kzread.info/dash/bejne/ZYp8mLaAmazVj6g.html Salim Manga

  • @jumakisailo8496

    @jumakisailo8496

    Жыл бұрын

    @@jackielidubwi , Ahsante sana, nimefarijika sana kuwaona hawa watangazaji japo siyo "live", nilipenda sana utangazaji wao.....japo mimi ni mtanzania lakini kwa kule kwetu Tanga KBC ilikuwa inasikika vizuri sana hivyo nikajikuta muda mwingi nasikiliza KBC...🤣🤣🤣❤️

  • @Ngimwasa
    @Ngimwasa Жыл бұрын

    Wimbo ni Safari ya Japan by Joseph KAMARU

  • @petermurithi2231
    @petermurithi2231 Жыл бұрын

    Raila ametesa watu sana

  • @andrewlurale4944

    @andrewlurale4944

    Жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣wacha ujinga. 🤣🤣🤣

  • @alexmashuda-en7tr
    @alexmashuda-en7tr Жыл бұрын

    Mechi moja ya faimali Kati ya golimahiua na leopard aliwahi kuseme leo Mungu apende asipende kombe linabaki nyumbani

  • @augustinekiokokinama6636

    @augustinekiokokinama6636

    Жыл бұрын

    $

  • @andrewlurale4944

    @andrewlurale4944

    Жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ramadhanmwalimu-jq1bf
    @ramadhanmwalimu-jq1bf Жыл бұрын

    👋

  • @miltonlodeya

    @miltonlodeya

    Жыл бұрын

    Mambo

  • @paulmshindi98
    @paulmshindi983 ай бұрын

    Jank more Grace

  • @catherinesichangi9051
    @catherinesichangi9051 Жыл бұрын

    🤔🤔🤔

  • @dennisomariba-ei3md
    @dennisomariba-ei3md Жыл бұрын

    Leonard uko na kipindi kbc?

  • @jackielidubwi

    @jackielidubwi

    Жыл бұрын

    Jee huu ni ungwana still airs on KBC radio