LEMA: ATOA NENO KUHUSU UDINI 'HATUPINGI DINI YA MTU

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 41

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 Жыл бұрын

    Sisi tujua nini maana ya udini wew huezi kutusemea kihusu dini wew mwehu tu

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi639411 ай бұрын

    mwaarabu ndo anaakili kuliko ninye lema na wana hela kuliko ninyi

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi639411 ай бұрын

    WE KAFIRI UNA SHIDA KICHWANI

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 Жыл бұрын

    Tulipiga ndio kula ya maslah

  • @user-uc5py2ll5n
    @user-uc5py2ll5n Жыл бұрын

    Lema hayo mambo ya mkataba huyawezi hujui chochote unaleta mzaha tu

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Жыл бұрын

    Biashara za maaskofu kupitia bandari ziko hatarini ndio maana unaowaona maaskofu wa mchongo wanatoa povu

  • @daudimichael7338

    @daudimichael7338

    Жыл бұрын

    Biashara za waislam kuuza bandari zimeshitukiwa

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    @@daudimichael7338 tutaona pumbavu biashara ya makanisa mbele ya DP world kwishney, pumbavu nyie

  • @amosepimacknyanda639
    @amosepimacknyanda639 Жыл бұрын

    Uko sahihi 💯

  • @karimkassam571

    @karimkassam571

    Жыл бұрын

    Hana usahihi wowote isipokuwa mchochezi....tu..na uchu wa madaraka 2025

  • @amosepimacknyanda639

    @amosepimacknyanda639

    Жыл бұрын

    @@karimkassam571 ukweli na haki hauna Dini. Hivi kwa maoni yako mkataba wa bandari uko sawa???

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 Жыл бұрын

    CHADEMA WAMECHOKA

  • @hatibuyusufu4668

    @hatibuyusufu4668

    Жыл бұрын

    Kweli CCM wajanja wamewategea na wameingia kichwa kichwa wesha likoroga kwakuonyesha udini waziwazi ,ishu uarabu,ishu ya uzanzibar na utangangika

  • @hatibuyusufu4668

    @hatibuyusufu4668

    Жыл бұрын

    Kweli CCM wajanja wamewategea na wameingia kichwa kichwa wesha likoroga kwakuonyesha udini waziwazi ,ishu uarabu,ishu ya uzanzibar na utangangika

  • @user-hz4tt2qk5i
    @user-hz4tt2qk5i Жыл бұрын

    Acha kumuongelea vibay mpendwa wetu magufuli utatukanwa nawananchi

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Жыл бұрын

    Udini wenu umeonekana wazi sasa pumbavu wakubwa nyie

  • @daudimichael7338

    @daudimichael7338

    Жыл бұрын

    Biashara ya washirazi wakaifanyie kwao siyo Tanganyika

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    @@daudimichael7338 pimbi mkubwa, mbona alipotawala wa bara haikuwa nongwa, mama atatawala mpaka 2030 na biashara za maaskofu kupitia bandari anaenda kuzimaliza ,pumbavu we

  • @abuumrisho204
    @abuumrisho20411 ай бұрын

    Lema una chuki na waarabu wewe, Wazungu wamewekeza vitu vingapi. Una chuki na waarabu na uislamu ww ipo wazi, kauli zako zipo wazi pia. Piga kelele lakini kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maiji

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 Жыл бұрын

    Asnt sana lema ukweli unadumu waislam wanadanganywa suala la bandari ni la taifa waache uwizi tu udin ni ccm inatafuta masheh wasiosoma alama za nyakati

  • @karimkassam571

    @karimkassam571

    Жыл бұрын

    2025 chadema hamtopewa nchi hii ovyo kabisa hamna point

  • @hatibuyusufu4668

    @hatibuyusufu4668

    Жыл бұрын

    CHADEMA Wamesha kwama wakurupuka na hii hoja haja za uongo Serikali inapotoa ufafanuzi juu ya vipengele vyenye utata Kwa madai Yao wanasema Serikali inahamasisha,walitaka waeneze propaganda halafu wachwe tu,Sasa baya zaidi huu mkataba ukikamilika DP WORD ikiaza kazi hapo uongo wao utazidi kuwafedhehesha ,wamepeleka kesi mahakamani watafeli tu,walimobolize maandamano yamefeli,wamewamobolize Maaskofu watachemka tu

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 Жыл бұрын

    Mtawadanganya hao maboya kupitia ukristo...

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    Uko sahihi kabisa

  • @daudimichael7338

    @daudimichael7338

    Жыл бұрын

    Nchi kila inapotawaliwa na maislam ufisadi unatamalaki sana

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    @@daudimichael7338 pimbi kabisa wewe umesahau ilivyotawaliwa na kafiri Mkapa alivyouza kila kiwanda cha nchi hii Kwa bei ya kutupwa, mpaka mgodi wa makaa ya mawe kiwira akajimilikisha,,, pumbavu mkubwa Hilo hukuliona, na Kwa taarifa yako DP world watakuja na biashara za maaskofu kupitia bandari lazima zifike mwisho, pumbavu wewe

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Жыл бұрын

    Wewe nimhuni Lema.Mkataba umegeuzwa kuwa ulingo wa Siasa .Hampati kitu chochote

  • @fredysiwale5413

    @fredysiwale5413

    Жыл бұрын

    Ingekua busara kama lema akijibiwa kwa.hoja ya anachodai

  • @GambasonLuselegasi

    @GambasonLuselegasi

    Жыл бұрын

    Halafu we kajamaa umetumwa na ccm kila sehem uncomment matope hovyo sanaa

  • @gaudencejoseph1892

    @gaudencejoseph1892

    Жыл бұрын

    Jibu hoja zake wewe acha ukichaa.

  • @kisangageorgethomasi2830

    @kisangageorgethomasi2830

    Жыл бұрын

    We poyoyo uliotukuka kabisa bado giza ushazoea vya kunyonga acha dawa iingie

  • @daudimchileg307

    @daudimchileg307

    Жыл бұрын

    Watanzania bwana, daaah yaani wewe siyo CCM tuu, kajinga, kapumbafu saaana, kataa hoja zake kwa hoja,

Келесі