KUFULI / FULL MOVIE

Фильм және анимация

Пікірлер: 69

  • @Ummykassimtz
    @UmmykassimtzАй бұрын

    Mie wa pili leo mwanangu mbwela nipe like yangu huna show mbovu mwanangu kitu kipya jaman shaghala from gulf hapa

  • @SeleMdosi-iv6ui

    @SeleMdosi-iv6ui

    Ай бұрын

    Vp mambo

  • @Ummykassimtz

    @Ummykassimtz

    Ай бұрын

    @@SeleMdosi-iv6ui poa

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287Ай бұрын

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉ila bwana harusi kavaaje jaman😂😂😂

  • @rynekiswaga4597
    @rynekiswaga4597Ай бұрын

    Mimi ni WA mwisho, likes zangu mlonitangulia😊

  • @remiomar7154
    @remiomar7154Ай бұрын

    Team bwela nawakilisha nikiwa 🇶🇦Qatar wakenya 🇰🇪 wenzangu tumpeni likes zake Mr. Bwela

  • @bintikhamisi7806

    @bintikhamisi7806

    24 күн бұрын

    Kenya tuko pamoja

  • @MekiAli-ub4ld
    @MekiAli-ub4ldАй бұрын

    Mbwela Masha Allah kazi nzr san nipe like 😢

  • @SaudaKigeme
    @SaudaKigemeАй бұрын

    Mbwela kaka asant kwakazi nzuri

  • @SaraUlaya-is2ch
    @SaraUlaya-is2chАй бұрын

    Mbwela yaan ungejua ninavyokupenda❤❤❤

  • @Mwanajuma-ro9sl
    @Mwanajuma-ro9slАй бұрын

    Watching from Kenya one love mbwela na kikosi chako kizima❤

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95Ай бұрын

    Makofi kwa babu yake mzee koboka nmempenda bule😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ kazi nzuli mbwela❤❤

  • @nadyasabur8613
    @nadyasabur8613Ай бұрын

    Wimbo mzur kwa kweli . Hongereni 👏👏

  • @Zeldaommy
    @ZeldaommyАй бұрын

    Mm ndio goli keeper hapa Mzee ana mahaba nyie😂😂😂😂kaka mwambie huyoo mzee aje namsubiri😂😂😂😂

  • @Zeldaommy
    @ZeldaommyАй бұрын

    Hii movie 🎥 yafurahisha sana kazi nzur big kaka mungu awabariki awalinde kwa Kila jambo❤❤❤🎉🎉much love from Kenya 🎉🎉🎉

  • @user-ux4cq1yj1t
    @user-ux4cq1yj1tАй бұрын

    Nakupenda sana mbwela

  • @user-ef1zl5gi1k
    @user-ef1zl5gi1kАй бұрын

    Muedelezo Kaka mbwela film mzur sanaa🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Zix-yb1ci
    @Zix-yb1ciАй бұрын

    Team mbwela tupo, naona nkiwa Riyadh, from Kenya tuko pamoja kaka

  • @user-hr9fd8du6o
    @user-hr9fd8du6oАй бұрын

    Mbwela butua yuko wapi From Oman somoe

  • @HusseinNuru-zd3bf
    @HusseinNuru-zd3bf12 күн бұрын

    Kwakweli mbwela fundi hapo nakupa hongera keep it up bro worching from gulf

  • @user-ef1zl5gi1k
    @user-ef1zl5gi1kАй бұрын

    Hongera sanaa mbwela kwa kazi nzur sanaa pokea mauwa yako 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @user-nm5eo3fi7l
    @user-nm5eo3fi7lАй бұрын

    Naangalia nikiwa riyadhi big up

  • @user-cy3cs4so5p
    @user-cy3cs4so5pАй бұрын

    Team.bwela.naona.nikiwa.lebanon❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277Ай бұрын

    Nakukubali mtu wng, 👏👊tumalizie zigamba basi,si nàkupangilia ndonga😂😂😂

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh3 күн бұрын

    Team saudi Arabia 🇸🇦 mupo ,twendeni nalo kaka mbwela endelea kututoa stress kakangu .Na kinyimbo cha mahaba ndani jmn😂❤❤❤❤❤❤

  • @user-hm6hy6rr1h
    @user-hm6hy6rr1hАй бұрын

    Palip na kaka mbwela kil kit hua sawiya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mohammedganyuma3445
    @mohammedganyuma3445Ай бұрын

    😂😂😂😂😂babu mkali jamani❤

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is5 күн бұрын

    Kaka mbwela mungu akubariki sana kwan kazi nzuri kakangu ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @JustinaPius-lb5pi
    @JustinaPius-lb5piАй бұрын

    Good Job tunaenjoy

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400Ай бұрын

    Wow mashallah❤❤ much love team mbwela🎉🎉

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152Ай бұрын

    Mbwela muze wa kumanganuwa😁😁

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv8 күн бұрын

    Mzee ameamua kabisaaaa, enyewe msichana ni mremboooo ❤❤❤❤❤

  • @salhamlanz9806
    @salhamlanz9806Ай бұрын

    Mbwela ❤❤ nakupenda wee na move zako

  • @mwajumasaid7306
    @mwajumasaid730619 күн бұрын

    Move nzur sana kaka mbwela ❤❤❤

  • @HassanMkina
    @HassanMkinaАй бұрын

    Ila mbwela Big kaka apa umezingua ungetafuta mwanamke hata mrembo kidogo bac ila story nzuri sanaaa tena sanaaaa kwel ww BIG KAKA umetisha mbwela

  • @user-zy8th6ou4f
    @user-zy8th6ou4fАй бұрын

    Hani hakuna kupoa mbwela yaan toa ni toa mwambaa nakubali❤

  • @GHgh-hq3zj
    @GHgh-hq3zjАй бұрын

    ❤❤❤❤ safi sana

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333Ай бұрын

    Mbwela umechoma hakuna kutafutiana mabwana bwana ndio mana ndoa zawa ngumu kwa haya.

  • @user-vq1qx1dr4e
    @user-vq1qx1dr4eАй бұрын

    Ngoja naludi kuangalia vizuli 😂😂😂😂😂 ila huyo bwana shemeji anapenda maokoto 😂😂😂😂😂

  • @ZubedaRamadhan-tv1pq
    @ZubedaRamadhan-tv1pqАй бұрын

    Mbwera mm nakusanua 😂 . Tena nakusanua. Huna. Miyayusho. Mbwera. Yan. Ukovizuri. Kwa. Muvie zako. Sema. Nn nakukubali. Kinoma. Ukiigiza. Unabeba uhalisia. Kama kweri. Vire. Kumbe. Waekti

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv8 күн бұрын

    Yes like kwa wingi 🎉🎉🎉

  • @user-qq4zr3sk2g
    @user-qq4zr3sk2g2 күн бұрын

    Kivazi cha bwana harusi😂😂😂🔥♥️

  • @andrew0502
    @andrew0502Ай бұрын

    Mzee Kopoka ujana wako ulikula na nani unamnyima raha binti wa watu,, all in all it's a good job

  • @ZubedaRamadhan-tv1pq
    @ZubedaRamadhan-tv1pqАй бұрын

    Pamoja kaka. Ukojuu. Tena juu zaidi. Yani. Wachatuu. ❤❤🎉🎉🎉

  • @SaraphinaFundi-rl2hx
    @SaraphinaFundi-rl2hxАй бұрын

    Good job mbwela

  • @VumiliaOmary
    @VumiliaOmaryАй бұрын

    Good job

  • @user-fs7du7ki7r
    @user-fs7du7ki7rАй бұрын

    Mzuri

  • @user-mf8su7us1j
    @user-mf8su7us1jАй бұрын

    Bwera hii matombo sehemu Gani baba yangu naona gari la home safari

  • @asinahiddy3133
    @asinahiddy3133Ай бұрын

    Kopoka kimemramba😂😂😂😂😂😂

  • @IreneMtui-ns6ye
    @IreneMtui-ns6yeАй бұрын

    Heloo🎉🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZikiАй бұрын

    Wa sita kwa kitu kipya ca kk mbwela ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉haya twende kazi 🎉🎉🎉🎉

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9yАй бұрын

    Uyu babu kishipa sanaa lwani lazima na utakiwi lkn

  • @user-qq4zr3sk2g
    @user-qq4zr3sk2g2 күн бұрын

    Mbwela jamani eti bana ushuzi😂😂😂

  • @SummaiyaKassim-zv5nt
    @SummaiyaKassim-zv5ntАй бұрын

    Hata mm singekubali kuolewa na huyu khaaaaaaa

  • @robertsingoi1022
    @robertsingoi1022Ай бұрын

    Umeamua pabaya jamaa

  • @belindaauma-xv5dj
    @belindaauma-xv5djАй бұрын

    Prt 2 please

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi25 күн бұрын

    Ila wanaume 🤣🤣kashanambiwa ukipewa utakufa ndo kwanza wanalazimisha

  • @user-xj7pj9wq7b
    @user-xj7pj9wq7bАй бұрын

    ❤❤❤❤

  • @SaudaKigeme
    @SaudaKigemeАй бұрын

    Mbona harari kwa kopoka

  • @Suleissa
    @SuleissaКүн бұрын

    Sawa mbwela

  • @dotoomary6889
    @dotoomary6889Ай бұрын

    Mzeee anakera

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333Ай бұрын

    Uyo bwana harusi alowekeza ss mmh hata mm maalesh.

  • @veronicapeter1063
    @veronicapeter106313 күн бұрын

    Home safari gari za kwetu,kijiji gani iki broo?

  • @abdullah.-oo1kw
    @abdullah.-oo1kwАй бұрын

    Nawakilisha kutoka pemba mååñå kilammoj anatoka Qatar atakm mtu anakaa shamba

  • @andrew0502
    @andrew0502Ай бұрын

    Hii location ni ya wapi

  • @marynyota6146
    @marynyota6146Ай бұрын

    🎉🎉😂😂❤❤❤❤😢😢😢

  • @yuui1878
    @yuui1878Ай бұрын

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮

  • @user-nm5eo3fi7l
    @user-nm5eo3fi7lАй бұрын

    Naangalia nikiwa riyadhi big up

  • @user-xu5rh6ub5j
    @user-xu5rh6ub5jАй бұрын

    ❤❤❤❤

Келесі