KIPINDI CHA UIMBAJI SEHEMU YA PILI//YATOSHA JANGWANI DAY 13

Karibu katika mkutano huu na mfululizo wa masomo mbalimbali kwa ajili ya watoto, afya ya akili (kimwili na kiroho), malezi na mahusiano pamoja na mafundisho makuu kutoka katika Biblia Pekee yenye ujumbe mkuu usemao #yatoshajangwani. Tutakuwa mbashara kuanzia 11 mei hadi 1 juni 2024, kila siku kuanzia saa 11:00-2:00 usiku.
#pizzoonlinetv #atapekahamanetevent2024 #yatoshajangwani #sdachurch #sdasermon #mahusiano #sda #family #live #livestream #livestreaming
Karibu sana.
Welcome into this session, we believe that it will add somethig in your growth spiritually, academically, socially and inspirationally.

Пікірлер