Kijana wa miaka 13 apigwa risasi na kuuawa Kiamaiko, Huruma

Jioni ya leo, maafisa wa polisi bado wanasalia kwenye darubini kufuatia mauaji ya kijana wa miaka 13 aliyepigwa risasi akiwa kwenye roshani ya nyumba yao katika eneo la Kiamaiko mtaani Huruma hapa Nairobi. Yassin Hussein alikuwa akifuatilia yaliyokuwa yakiendelea nje wakati wa oparesheni ya kuhakikisho agizo la kutotoka nje usiku linatimizwa. Huku uchunguzi ukiagizwa kufanywa, mwanahabari wetu Gatete Njoroge amehudhuria mazishi ya kijana huyo aliyetarajiwa kufanya mtihani wa KCPE mwaka huu

Пікірлер: 639

  • @nimonimo7657
    @nimonimo76574 жыл бұрын

    So painful seeing the dad breakdown in tears..

  • @mercyindire9019

    @mercyindire9019

    4 жыл бұрын

    Mungu amemwona huyo police....

  • @mamatalia6844

    @mamatalia6844

    4 жыл бұрын

    So painful young son,

  • @thevineyard7149

    @thevineyard7149

    4 жыл бұрын

    @@mercyindire9019 of course

  • @nusaibahassan5842
    @nusaibahassan58424 жыл бұрын

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭Yaa Allah Mpokee Kijana Wetu Mpe Kauli Thabit lifanye Kaburi Lake kuwa kiwanja Miongoni mwa Viwanja Vya Peponi Allahumma Ameen

  • @omarmahendo9213

    @omarmahendo9213

    4 жыл бұрын

    Amiin

  • @nasraabassnasraabass1888

    @nasraabassnasraabass1888

    4 жыл бұрын

    Ameen ya Allah

  • @khamishussein7036

    @khamishussein7036

    4 жыл бұрын

    Allahuma ameen

  • @mummycute6977

    @mummycute6977

    4 жыл бұрын

    Amiin

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997

    @ladymashaallahilikeuaadvis997

    4 жыл бұрын

    AMIYN YA ALLAH

  • @ochiengatienolilian8921
    @ochiengatienolilian89214 жыл бұрын

    😭😭😭OH no, but why? I can feel the pain jamani, innocent boy gone just like that? God why

  • @tulymlomo6403

    @tulymlomo6403

    4 жыл бұрын

    Wajinga sana

  • @judemasika9652
    @judemasika96524 жыл бұрын

    I almost bursted in tears when I saw that papa shedding bitter tears 😭😭😭😭

  • @beatsbywesternshaa1023

    @beatsbywesternshaa1023

    4 жыл бұрын

    Me too bro

  • @daphinemwangi8605

    @daphinemwangi8605

    4 жыл бұрын

    woi aki nmemhurumia aki mtoto wake ameenda ivo tu bila hatia ,Mungu anaona

  • @kifaxalii8064
    @kifaxalii80644 жыл бұрын

    Inalillah waina ileyhi raajicuun😭😭😭 poleni sana😭😭😭😭😭😭

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria4 жыл бұрын

    This is too much ,we have idiots at the helm Imagine the pain of the parents

  • @esthernyaboke1764

    @esthernyaboke1764

    4 жыл бұрын

    Why ??why Lord help my country stop this Ni ujungu Uhuru ajana na his city Aja Corona ituue kuliko kuuliwa bila kids pliz mbona Kenya yetu polisi wanatumaliza bila uharibifu

  • @mahbubdawood2909

    @mahbubdawood2909

    4 жыл бұрын

    And was preparing for KCPE exams

  • @rubenprince8990

    @rubenprince8990

    4 жыл бұрын

    Kenya 🇰🇪 is a war zone since long time but the world is not aware of that I feel pity for my African brothers and sisters here in abroad we don’t hear such inhuman behaviour

  • @mawia9004
    @mawia90044 жыл бұрын

    This is not right! Many policemen in Kenya are very ignorant, arrogant and foolish! We need wise ones! Poleni sana familia.

  • @nunoaraye4322
    @nunoaraye43224 жыл бұрын

    “Nataka kuona haki ya huyu mtoto kama kuna haki hii Kenya” thats the mother’s words 😭😭😭

  • @habicigombaabdikarim6581

    @habicigombaabdikarim6581

    4 жыл бұрын

    Bro Kenya hakuna haki kuna shwria

  • @thevineyard7149

    @thevineyard7149

    4 жыл бұрын

    Hakuna haki Kenya. Mungu tu. But the wrath of God is unstoppable

  • @haniyaswaleh9512

    @haniyaswaleh9512

    4 жыл бұрын

    @@thevineyard7149 so sad bt mungu ampe subra wakti huu mgumu

  • @supumoto6819
    @supumoto68194 жыл бұрын

    ALHAMDULILAH uhuru umewaua waislamu 2 BURE tu, ALLAH ATAWALIPIA in sha ALLAH . Yassin umekufa shahid in sha ALLAH makazi ya peponi

  • @somaliskysports1673

    @somaliskysports1673

    4 жыл бұрын

    Wacha kuleta mambo ya dini ndugu yangu

  • @tanumzalendo1567

    @tanumzalendo1567

    4 жыл бұрын

    Updy Jamal Yep! This has nothing on dini! More kenyans have dead through police brutality 😰

  • @supumoto6819

    @supumoto6819

    4 жыл бұрын

    @@somaliskysports1673 wataka niseme walioliwa ni akina NANI? Ikiwa ww huoni uchungu Kwa waislamu kuuliwa kiholela bila SABABU ntakuita MNAFIKI Ama vipi, unaweza niambia sababu yakuuliwa ilikua nini ? Walifanya makosa gan ? Naomba unijibu

  • @salumsaid6572

    @salumsaid6572

    4 жыл бұрын

    INSHAALLAH AMEEN

  • @achesa120
    @achesa1204 жыл бұрын

    This is so bad! I can imagine that father shedding the tear for his son. The government is failing us

  • @marthamwangi6349

    @marthamwangi6349

    4 жыл бұрын

    Newton Atavachi its painful .

  • @lmdelos7609
    @lmdelos76094 жыл бұрын

    So sad.may his soul rest in eternal peace 😭😭😭

  • @naimkangi6027
    @naimkangi60274 жыл бұрын

    We want justice ya hiyo mtoto police wenye kulinda watu dio hao wamekuwa wakuua kheri waache kulinda

  • @flom4383

    @flom4383

    4 жыл бұрын

    So sad RIP toto

  • @charleenhills9622
    @charleenhills96224 жыл бұрын

    Wait. They are using live bullets on citizens? Why?

  • @beverlykadenge2095

    @beverlykadenge2095

    4 жыл бұрын

    Nashangaa sana, this is sad

  • @matanobaya7660

    @matanobaya7660

    4 жыл бұрын

    Gavaa watasema haikuuwawa na Police, eti ni majambazi.

  • @beriahbarua2152

    @beriahbarua2152

    4 жыл бұрын

    Imgn 😭😭😭c hery

  • @deepsavannah9723

    @deepsavannah9723

    4 жыл бұрын

    I was born in kiamaiko I have lost 12 friends to police bullets

  • @feiabdi6085

    @feiabdi6085

    4 жыл бұрын

    Coz this is kenya wajinga sisi....

  • @samiasalim8322
    @samiasalim83224 жыл бұрын

    Poleni kwa yasin mungu awape subra yasin amekufa shahid inshalla

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy70474 жыл бұрын

    Tupoe sana kwa msiba. Mtoto wetu tayari amepokewa katika bustani ya M/Mungu na atakuwa kinga ya wazee wake kwenda motoni. Subiri Sister subiri brother wangu.

  • @abdik3531
    @abdik35314 жыл бұрын

    Inalilahi waina ileyhi rajicun......better Corona than shotting.....may Allah give us better life than this

  • @magdalenemajala180
    @magdalenemajala1804 жыл бұрын

    Very sad indeed. Is just an innocent child. Our Condolences to the family and relatives. Pamoja❤️🙏.RIP.

  • @coyoluo
    @coyoluo4 жыл бұрын

    It’s time regular police to be stripped off all weapons, let’s have a special armed unit.

  • @jamalmohamud8615

    @jamalmohamud8615

    4 жыл бұрын

    Spot on

  • @marriammarango7532
    @marriammarango75324 жыл бұрын

    Poleni sana kwa njaga hili pole sana babangu kumwanga machozi ni uchungu sanah

  • @stellahnjagiakaemma9057
    @stellahnjagiakaemma90574 жыл бұрын

    Wewe polisi may you never know peace..this is so inhuman.

  • @GKilowatt
    @GKilowatt4 жыл бұрын

    Poleni sana kwa familia na marafiki wa huyu Kijana. Mungu awafariji na awape amani. Wale waliomuua huyu mtoto hataepuka hukumu ya Mungu.

  • @widdytaj2204
    @widdytaj22044 жыл бұрын

    Ya Allah let it be justice

  • @ngigepaul1569
    @ngigepaul15694 жыл бұрын

    A father lossing a son is very painful.That pain cannot measured to anything

  • @gideonmuchina9242
    @gideonmuchina92424 жыл бұрын

    And all of this after they let in the virus through the airport

  • @stephenimbo5830

    @stephenimbo5830

    4 жыл бұрын

    Senseless use of force on innocent civilians . Yet when they are needed to patrol our neighborhoods to curb crime they are no where to be seen. Kenya police need to be retrained and to be reminded that they are members of society with just but a responsibility of enforcing the law. They are not the law , neither are they above the law.

  • @gideonmuchina9242

    @gideonmuchina9242

    4 жыл бұрын

    I think they even need to be arrested it feels like we are safer without the police

  • @mohamedmohd8373
    @mohamedmohd83734 жыл бұрын

    Inallilahi wainailahi rajiun😭😭😭😭😭 mrs🇰🇪

  • @nasraabassnasraabass1888
    @nasraabassnasraabass18884 жыл бұрын

    Poleni sana pia mimi ni mama naskia uchungu sana Allah akupee subra dear hata mimi sijue nigefanya nini coz mimi hata naweza kuuwa huyo police akuna vile utauwa mtoto wangu na haja fanya makosa na wewe utempe free 😪😪

  • @barkesaid7200

    @barkesaid7200

    4 жыл бұрын

    Na yeye Allah atampa la kumpa askie uchungu kama alivoukia mtoto huyu mdogo. Amin Yarraby

  • @nasraabassnasraabass1888

    @nasraabassnasraabass1888

    4 жыл бұрын

    @@barkesaid7200 Ameen ya Allah

  • @sureladykiba5608
    @sureladykiba56084 жыл бұрын

    😭😭😭😭 Innalillah wainahillah rajiuon

  • @nicholasmakau4027

    @nicholasmakau4027

    4 жыл бұрын

    Kenya ni ya kikuma sana

  • @nassernasser1457
    @nassernasser14574 жыл бұрын

    We want to see the bottom of this!!

  • @moxamudmudy1730
    @moxamudmudy17304 жыл бұрын

    Inallilahi wa inna ilehi rajiun so painful wallahi... May Allah give the family the patience and sabr

  • @elema5859
    @elema58594 жыл бұрын

    This is so sad😭😭😭 RIP may God comfort the family. While people are stressed about corona Kenya police are causes much more stress and depression the incosent citizens.

  • @leahjoram7693
    @leahjoram76934 жыл бұрын

    Why why why police? Innocent boy. May God revenge for him

  • @mildredjael1338
    @mildredjael13384 жыл бұрын

    Polisi hawajui wanaua taifa la kenya 🇰🇪" sio kazi rahisi kufikisha mtoto Hadi huo umri" ni kazi ngumu" hao polisi wajue hivyo' badala waende kupambana na al-shaabab military

  • @nasraabassnasraabass1888

    @nasraabassnasraabass1888

    4 жыл бұрын

    😂😂kweli

  • @mildredjael1338

    @mildredjael1338

    4 жыл бұрын

    @@nasraabassnasraabass1888 yes" al-shaabab military wanachoma Hadi tractors" Sasa mtoto hana hata silaha yeyote" kwani imekuwa mzaha kwao?

  • @salmanamianga9868

    @salmanamianga9868

    4 жыл бұрын

    Inauma kweli 😭😭😭😭😭😭

  • @mildredjael1338

    @mildredjael1338

    4 жыл бұрын

    @@salmanamianga9868 wamezuia coronavirus

  • @mildredjael1338

    @mildredjael1338

    4 жыл бұрын

    @@salmanamianga9868 ilikuwa vigumu polisi wa kitambo kufyatua risasi" sijui siku hizi kunaendaje

  • @suziehennessy9829
    @suziehennessy98294 жыл бұрын

    Soo painful 💔😭😭😭 Rip Child

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal30994 жыл бұрын

    *From Allah we belong and to him is our return!* 😢

  • @adnanbossy4097
    @adnanbossy40974 жыл бұрын

    Very painful 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 young and innocent kid,Mungu tukumbuke qwa Imani yako 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @amnahnyangasi8330
    @amnahnyangasi83304 жыл бұрын

    😭😭😭😭Allah awajalie wazazi wake sabr,hakika ni uchungu

  • @rahmamohammed1830
    @rahmamohammed18304 жыл бұрын

    Allah atawapa subra familiya ya yasin na inshaallah malipo ya mtoto Allah hakeem

  • @mariamgitau3614
    @mariamgitau36144 жыл бұрын

    Innalillahi wainna ileyhi raajiun poleni Sana Wana Familia mungu awape subra

  • @winnieapunda4834
    @winnieapunda48344 жыл бұрын

    Very sad indeed my condolence to the family, RIP innocent soul

  • @matanobaya7660
    @matanobaya76604 жыл бұрын

    Misishangai polisi wa Kenya kufanya Jambo hili.HAWANA DISPLIN. Wametrain kuwa agresive kwa mwananchi wakenya. Ninauhakika vile atanitreat Mimi sio vile atamtreat mzungu.

  • @preciouslynn8358
    @preciouslynn83584 жыл бұрын

    This is so painful!I feel for His parents😢😢😢😢Kenya,Kenyaaaaa

  • @lucymuthonilucy4882
    @lucymuthonilucy48824 жыл бұрын

    So painful 😢and I can't hold my tears,

  • @deborasoa3653
    @deborasoa36534 жыл бұрын

    Inauma sana bora ufe na corona kuliko kuua mtoto kwa mikono yenu

  • @joanmwangi5624
    @joanmwangi56244 жыл бұрын

    Wah😭😭rest in peace,

  • @osiomamargret7505
    @osiomamargret75054 жыл бұрын

    Pole sana

  • @khadijaomar7529
    @khadijaomar75294 жыл бұрын

    Jamani police wa wakenya mnaelekea wapi mbona mtaletea nchi laana badala ya ugonjwa mnawamaliza wananchi kwa mikono yenu Nimelia sana leo kwani hata mimi niko na mtt 13 old kila mzazi lazima aumie zaidi haki mungu amlaani alie katisha maisha ya huyo mtoto kwa kisingio cha Corona na mungu amlipe maumivu zaidi walio pata family yake huu mto is so beautiful 😢😢😢😭

  • @abouhamidu9623
    @abouhamidu96234 жыл бұрын

    Mwenyezi mungu atalipa hili kwa aliye litenda hili pamoja na kikosi chote kilicho kuwa kwenye dolia hawa machizi tunao waona barabaran sio wote wamerogwa wengine dam za binadam za Watu naamini hili Allah atalipa Alhamdulilah

  • @hellenbabu1026
    @hellenbabu10264 жыл бұрын

    So sad may yasin rip

  • @GucciPabz
    @GucciPabz4 жыл бұрын

    May Allah grant Yassin Entry into Jannah,may yo family find peace In Shaa Allah

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi28754 жыл бұрын

    Pesa na mtoto nikipi cha maana 😭😭😭😭imeniuma sana tena sana hadi machozi yananitoka ila tu Inna Lillahi wainna ilayhi Rajiun

  • @empressgee
    @empressgee4 жыл бұрын

    This is so heartbreaking. We need justice.

  • @breakingnews8978
    @breakingnews89784 жыл бұрын

    May Almighty intervine through...

  • @lucyluanyonah6399
    @lucyluanyonah63994 жыл бұрын

    Gaaaaai soo painful may he rip

  • @rukiamwakuzimu3863
    @rukiamwakuzimu38634 жыл бұрын

    Innalilahy wainnaillay rajiuni 😭😭😭poleni ila mungu yuko nanyi

  • @user-nr1bf7iu8z
    @user-nr1bf7iu8z4 жыл бұрын

    innalillahi wainnaileyhi rajaoun rahmaAllah

  • @fhblessedfamily6873
    @fhblessedfamily68734 жыл бұрын

    The pain of losing a child hurts so bad 😢. May GOD comfort the family.

  • @commons3nse883
    @commons3nse8834 жыл бұрын

    So sad.. may they find Justice.. Prayers to the Family

  • @diananamusia1525
    @diananamusia15254 жыл бұрын

    Ooh poleni sana

  • @husnasaid1305
    @husnasaid13054 жыл бұрын

    Innalilahi waina ilehiy rajiun 😭 😭

  • @shamreenkhaemba3674
    @shamreenkhaemba36744 жыл бұрын

    Heartless officers na mko na watoto surely:? May God fight for Kenyans against this freemasons

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын

    Ina lilah waina ilahi rajiu Pole sana mungu ampe subra wakati huu inshaallah

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd8274 жыл бұрын

    Very sad indeed 😢😢 kiukweli police wengine niwabaya Sana

  • @Reg2545
    @Reg25454 жыл бұрын

    I can`t watch for more than one time.. i feel paaaiiin inside my heart...very sad,,but why??????????????????????????? 😭😭😭😭

  • @annshanti4102
    @annshanti41024 жыл бұрын

    So painful

  • @bettykenyausatv
    @bettykenyausatv4 жыл бұрын

    Poleni sana aki so sad Mungu awafariji wakati huu.

  • @pascallyimo5106
    @pascallyimo51064 жыл бұрын

    Poleni sana ndg zetu wakenya,dah inauma sn

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig24314 жыл бұрын

    Innalilah rajiun this is too much jamani😭😭😭😭😭😭

  • @mercymungai812
    @mercymungai8124 жыл бұрын

    😭😭😭😭😭 Wooiiiii, why now, why?? Such an innocent soul. May God give you peace.

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis9974 жыл бұрын

    Allah awape subra kubwa jamii yote waliopatwa na msiba huu mkubwa, tena mzito

  • @haipaabdu3991
    @haipaabdu39914 жыл бұрын

    Woiye pole kwa familia ,aki kenya ni lazima kukitokea jambo ,damu isiyo na hatia imwagike .

  • @elmeldahmakori4076
    @elmeldahmakori40764 жыл бұрын

    Poleni kwa familia

  • @Africanvillagetee
    @Africanvillagetee4 жыл бұрын

    But why why... Did they have to shoot? Aki woi..

  • @rosenelima8618
    @rosenelima86184 жыл бұрын

    Kenya,kenya,kenya where will we hide our selfs?so sad,I feel the pain,,,

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын

    Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun, Poleni Sana.

  • @lubnahubess4982
    @lubnahubess49824 жыл бұрын

    So sad 😥😢

  • @scharlethearttitular4368
    @scharlethearttitular43684 жыл бұрын

    Rest with the angels baby boy it's so painful 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @nuria7234
    @nuria72344 жыл бұрын

    I went to give pole kwa family of this innocent soul.They own the house from ground to third floor huezi sema wezi waliingia hapo ama wenye walichelewa nje walijificha ati kwa hiyo nyumba.They are in their own balcony.why was he killed he was in his dad's residential home.soo sad

  • @marykarongo7461
    @marykarongo74614 жыл бұрын

    😭😭😭😢

  • @shadrackchege9558
    @shadrackchege95584 жыл бұрын

    So sad!

  • @rosembithe9771
    @rosembithe97714 жыл бұрын

    Peace condolences to the family.. .justice must be done .. Polisi bona?????

  • @nancyndiritu2923
    @nancyndiritu29234 жыл бұрын

    So sad

  • @joycemajala4355
    @joycemajala43554 жыл бұрын

    So painful....God forgive us all...Rip young boy

  • @veronicakeribo2962
    @veronicakeribo29624 жыл бұрын

    Very painful indeed.

  • @vivivivi1286
    @vivivivi12864 жыл бұрын

    So painful aki

  • @nancynaipanoi4866
    @nancynaipanoi48664 жыл бұрын

    OMG poleni sana wooiye

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami43514 жыл бұрын

    So sadi indeed and in Kenya always there is no justice.. the scene makes me to recall baby Pendo mbaya sana poleni familia Yasin

  • @GoogleAccount-ur8os
    @GoogleAccount-ur8os4 жыл бұрын

    Juzi MTU wa NTV alipigwa na baadae ati ameomba msamaha kisiri kwanini hatujaonyeshwa hadarani. Na hii pia lazima tuonyeshwe ni huyu ndio amemuua mtoto ahukumiwe kifo!!

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g4 жыл бұрын

    Jamani

  • @mwanamwinyibmwakinalo4094
    @mwanamwinyibmwakinalo40944 жыл бұрын

    😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭. Innalillah waina illah rajiun,pole sana Allah awape subra katika kipindi hiki kigumu inshaallah, Kenya hakuna haki ila ALLAH NDIE HAKIMU WA HAKI 😭😭😭😭 .Ya Allah wahukumie waja wako wanaodhulumiwa bila hatia Amiin

  • @hadhbbbd5564
    @hadhbbbd55644 жыл бұрын

    So painful.may God judge that police.nnnkt

  • @lissajeruu8301
    @lissajeruu83014 жыл бұрын

    So sad. So sad...may God give u courage that you've lost your beloved ones...

  • @chocolateblended
    @chocolateblended4 жыл бұрын

    How is murder and violence fighting the pandemic.

  • @titusmaina1573
    @titusmaina15734 жыл бұрын

    Which hearts do these guy's have honestly 😭😭😭 surely you shoot an innocent boy for no reason,,why why why????mi Sina uwezo .. condolence to the family 😒😒Almighty God will see you through . Mr President just see this and do something.. it's really hearting 😒

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana30584 жыл бұрын

    Woii 😥

  • @wlkmwlkm3381
    @wlkmwlkm33814 жыл бұрын

    Broken my heart 💔💔 why don't they dill with Corona virus waihitafute waipate na wahipige na gun kuliko kuhuwa mtoto innocent like that .

  • @nikapu8170
    @nikapu81704 жыл бұрын

    Polisi wakora💔

  • @josephmwangi9556
    @josephmwangi95564 жыл бұрын

    Poleni

  • @winiewinnie2770
    @winiewinnie27704 жыл бұрын

    Uuui poleni sana walikuwa manjirani wangu .too painful surely poleni tu saana

  • @loreleylady3371
    @loreleylady33714 жыл бұрын

    Poleni sana,so painful😩

  • @cynthiamukami9426
    @cynthiamukami94264 жыл бұрын

    So painful 😭😭😭