Kauli ya CAG nchini Marekani yazua mjadala, wachambuzi waweka mambo wazi

Baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kisiasa na viongozi wa kisiasa nchini wamekuwa na mitazamo tofauti kuhusu kauli aliyoitoa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Mussa Assad nchini Marekani juu ya kuimarisha mifumo ya kitaasisi ili kutekeleza kwa ufanisi malengo endelevu, SDG.

Пікірлер: 24

  • @davidmagori5666
    @davidmagori56665 жыл бұрын

    prof appriaciate u , kama taasisi zetu zkiwa strong hakika Tanzania mpya yaja. MUNGU Ibariki. TANZANIA

  • @saidbakari1127
    @saidbakari11276 жыл бұрын

    Prof Assad Upo vzur

  • @samsonmwaipwisi313

    @samsonmwaipwisi313

    5 жыл бұрын

    Said Bakari Usiogope kauli ya ndugai mzee

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo75675 жыл бұрын

    Upinzani waliwahi kuzungumzia umuhimu wa kuwa na taasisi imara lakini tuliwapuuza!

  • @sulymansalymaly3859
    @sulymansalymaly38595 жыл бұрын

    CAG ww upo vzur piga kazi achana na wagonga meza wanaotaka kusifiwa tu ukweli hawautaki badala wa kuwawajibisha wanaohusika leo wanawakingia kifua.

  • @kizitodeodat905
    @kizitodeodat9055 жыл бұрын

    CAG YUPO SAHII BUNGE LIMEKOSA MENO HALINA UWEZO! CAG ANACHUKIWA KWA KUSEMA UKWELI?

  • @josephmwakosya4708
    @josephmwakosya47085 жыл бұрын

    CAG SIO WEWE MUNGU AMEKUTUMIA NANI ASEME WOTE KIMYA SEMA TANZANIA IPONE TULIPO PABAYA SANA

  • @fedelischengula7891
    @fedelischengula78915 жыл бұрын

    ssm wanatengeneza mazingila yakuiba zaidi

  • @fedelischengula7891
    @fedelischengula78915 жыл бұрын

    watu kama nyinyi tunawaitaji sana unamtazamo wambali sana

  • @karimnelson5168
    @karimnelson51686 жыл бұрын

    Mzee yupo vzur

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo70015 жыл бұрын

    CAG yupo sahihi,Km Trump angekuwa ana nguvu kuliko taasisi leo hi US kusingekalika,angeamua kila atakacho

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary96985 жыл бұрын

    Msema ukweli Tanzania ni msaliti tuwe na tabia ya kuelezana ukweli hata kama unauma ..No one perfect..Tusiwe na tabia ya kushangiria hata tukitukanwa , lazima tupime yanayosemwa na tuliowachagua ili tuwe na taasisi imara , tukubali kuwa sisi ni watu kwa hivyo hakuna asie kosea.

  • @robertmwasaga7190
    @robertmwasaga71905 жыл бұрын

    speaker alitaka CAG asifie bunge linafanya vizuri, uyo si mwanasiasa kama Jobo ndugai, mbunge uyo ni mtaalamu aliwaletea taarifa kama akutekelezwa Ni uzaifu Kweli wa muumuu, taasisi au wizara legwa, kajibu swali alilo ulizwa anakosa gani CAG? Speaker ajitasimini yeye anatosha

  • @jumahassan5683
    @jumahassan56835 жыл бұрын

    Naunga mkono hoja

  • @drnelsonangajilo6860
    @drnelsonangajilo68605 жыл бұрын

    okay

  • @bekasaimon3528
    @bekasaimon35286 жыл бұрын

    Kwa kkweli huo ni muono WA. Hali. Ya juu na wasomi Wetu wawe na ujasiri Ili kusaidia uelewa.

  • @mwesigepaulo4308

    @mwesigepaulo4308

    5 жыл бұрын

    Tanzania kwaiyo atuna tasisi inayojisimamia auzipo kamakapu lamvuvi

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula75725 жыл бұрын

    C A G YUKO SAWA KABISA..

  • @khamiszuberi4177

    @khamiszuberi4177

    5 жыл бұрын

    C A G kaizalilisha nchi muache ubinafsi ukisema bunge nizaifu imaana yake nikwamba aliemteuwa spika wange nizaifu ambae ni mkuu wanchi pia wewe mwenyewe nizaifu Kwa sababu una Fanya kazi zabunge kupitu C AG Kakoea

  • @TheAlman
    @TheAlman6 жыл бұрын

    What happens when magufuli gone ???