Joseph Vedasto Ft Gwamaka Mwakalinga - Nakupenda (Official Live Video)

Пікірлер: 53

  • @mercymethod3388
    @mercymethod33882 ай бұрын

    Ni wimbo wenye nguvu za Mungu za kutosha,una maneno ya ibada ndani yake🔥Barikiwa sana kaka yangu Kuna mahali Mungu anakupeleka

  • @abigailipambe6999
    @abigailipambe6999Ай бұрын

    Nakupenda YESU Very powerful song hallelujah God bless you my teacher

  • @gadielgodfrey
    @gadielgodfreyАй бұрын

    Barikiwa sana bro Andrew nakukubali sana mpiga solo wangu, ,Mungu akuinue sana

  • @kisenadejoe3703
    @kisenadejoe37032 ай бұрын

    Wanangu Dani Askofu, Elishama, MDWII Eliah mmeua sana humu

  • @shellamajebwe2132
    @shellamajebwe21322 ай бұрын

    Ubarikiwe saaana mwalim shemeji

  • @allenmujwahuzi1918
    @allenmujwahuzi19182 ай бұрын

    Kuna Wimbo allaf kuna ibada hii sio nyimbo tuu ya kujtukuza tu Mungu balli ni ibada kuu na kubwa mbele za Mungu BARIKIWA sanaa teacher Minister JOSE na mtumishi wa bwana Gwamaka Kwa huduma nzuri yenye baraka kubwa ndan Mungu azid kuwatumia kwa viwango vya juu zaidi

  • @vedastodeogratias2941

    @vedastodeogratias2941

    2 ай бұрын

    Safi sana, Mungu azidi kukupandisha @ Joseph. Kazi yako ni nzuri sana.

  • @nepomsensylivester4298
    @nepomsensylivester42982 ай бұрын

    Yesu nakupenda.....mpake mafuta mabichi tena huyu mtumishi wako. 13:50

  • @mjtv9225
    @mjtv92252 ай бұрын

    Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka;

  • @anethmyamba4886
    @anethmyamba4886Ай бұрын

    Ni mengi umenitendea sina tena mwingine ila wewe nakupenda...ubarikiwe mtumishi.

  • @AnnaMtangi-nk5gm
    @AnnaMtangi-nk5gm2 ай бұрын

    Aisee sio siri, Solo tangu nimfahamu hajawahi kutuangusha! Big up Brother Andrew. Mungu azidi kukupa viwango vya Juu. Tangu Hollycross Muheza mpaka Essence. Powerful God

  • @user-pc2fe5lv9v
    @user-pc2fe5lv9v2 ай бұрын

    Nikazi yenye utikufu wa mungu balikiwa sana tichel

  • @rachelnkyalu1424
    @rachelnkyalu1424Ай бұрын

    Awesome! Wimbo mzuri sana, Mungu Awabariki Sana Sana, mmeimba vizuri Sana

  • @iamissaanthon724
    @iamissaanthon7242 ай бұрын

    Wimbo mzuri ila mwanzoni huku inakua kama sauti zinakwaluza

  • @joycelukago194
    @joycelukago1942 ай бұрын

    Barikiwa sana mtumishi kwa ujumbe unaobariki sana.. May my ALMIGHTY GOD BLESS YOU

  • @ukb.u559
    @ukb.u5592 ай бұрын

    Hongera Sana Mtumishi wa Mungu kwa hatua hiyo kubwa Mungu akuzidishe zaidi.

  • @ibrahimmagesa8718
    @ibrahimmagesa87182 ай бұрын

    Ikawe na kibari kwa jina la Yesu

  • @goodluckmollelminister
    @goodluckmollelminister2 ай бұрын

    Glory to God Ibada hii ienee kote ulimwenguni

  • @HellenKaka
    @HellenKaka2 ай бұрын

    Amina it's powerful song God bless u

  • @user-mr3qg9iq5k
    @user-mr3qg9iq5k2 ай бұрын

    ❤❤ kazi nzur sana Mbarkiwe Sana wapendwa

  • @stannygeorgesp1479
    @stannygeorgesp14792 ай бұрын

    MY LORD, MY KING, MY GOD, I LOVE YOU SO MUCH.

  • @alexanthony3750
    @alexanthony37502 ай бұрын

    Ni mengi umenivusha, nakupenda Bwana. Kazi nzuri

  • @user-cq7xp2js5m
    @user-cq7xp2js5m2 ай бұрын

    🙏🙏 ubarikiwe mtumish Kwa kaz nzur

  • @fredrickngwalolela3889
    @fredrickngwalolela38892 ай бұрын

    Waaah!! hakika Mungu amekutumia kwa viwango saaana mtumishi wa Mungu,nimeupenda saaana wimbo huu,una nguvu ya Mungu saana 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽, Naurudia tu kila mara,God bless you man of God 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @manenowilliam4230
    @manenowilliam42302 ай бұрын

    Mbarikiwe kwa kazi nzuri.

  • @sabinajuma1011
    @sabinajuma10112 ай бұрын

    Barikiwa sana mtumishi

  • @elishamathias7839
    @elishamathias78392 ай бұрын

    Hakika Kazi hii ni njema sana na inamuinua yeye, Mungu awazidishie mibaraka yake🙏

  • @SuzanKanyata-bn7xr
    @SuzanKanyata-bn7xr2 ай бұрын

    Be blessed minister joseph vedasto

  • @fredrickchristian5075
    @fredrickchristian5075Ай бұрын

    MUNGU hawabariki sana

  • @eliamwasote1558
    @eliamwasote15582 ай бұрын

    NAKUPENDAAAAA YESU AHSANTE KWA AJILI YA WATUMISHI WAKOO ❤❤

  • @sarahsalvatory3997
    @sarahsalvatory39972 ай бұрын

    Wimbo mzuri sana, Mungu azidi kukutumia kwa viwango vingine tena

  • @vedastodeogratias2941
    @vedastodeogratias29412 ай бұрын

    Sifa na kuabudu iliyo katika viwango vya juu sana. Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri.

  • @lungwechajuma6432
    @lungwechajuma64322 ай бұрын

    So splendid,God bless you brother.

  • @josephatdubi6038
    @josephatdubi60382 ай бұрын

    Hongerani Sana Watumishi wa Mungu,mko vizuri!

  • @NellyJohn-ub5js
    @NellyJohn-ub5js2 ай бұрын

    Baba Mungu azidi kukuinuwa juu juu zaidi

  • @bryofficial_004
    @bryofficial_0042 ай бұрын

    Kazi nzuri sana mwalimu, ubarikiwe sana 🙏🏽🙏🏽

  • @MaryhannahMembe-ok4gu
    @MaryhannahMembe-ok4gu2 ай бұрын

    Ubarikiwe sanaaaa kazi nzuri.

  • @officialbeckatv2719
    @officialbeckatv27192 ай бұрын

    Hongera sana teacher kazi kubwa sana

  • @user-rl6pu5hi3d
    @user-rl6pu5hi3d2 ай бұрын

    Hallelujah... mbarikiwe sana 🙏

  • @deusfrancis3138
    @deusfrancis31382 ай бұрын

    Miye nimefuata sare za wanakwaya hizo… Mrs. De Joe🙌🙌🙌

  • @kisenadejoe3703

    @kisenadejoe3703

    2 ай бұрын

    Hahaaa, Demba sikiliza na wimbo 😂😂

  • @ElishaAminimungu
    @ElishaAminimungu2 ай бұрын

    Amina San teacher!!!❤

  • @ObedJames-lj2nh
    @ObedJames-lj2nh2 ай бұрын

    Amen Mungu akubaliki sana

  • @Wilsonjohnoffical543
    @Wilsonjohnoffical5432 ай бұрын

    good job brother

  • @ombenisomi2210
    @ombenisomi22102 ай бұрын

    Huduma njema mtumishi wa Mungu. Hongera kwa kazi nzuri.

  • @miriamsima4009
    @miriamsima40092 ай бұрын

    Huuuuuuh🎉

  • @veronicatarimo6021
    @veronicatarimo60212 ай бұрын

    🔥🙏

  • @user-gc2rd8ln3v
    @user-gc2rd8ln3v2 ай бұрын

    ❤❤❤❤

  • @johnmgalilwa9136
    @johnmgalilwa91362 ай бұрын

    ✊🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🧎

  • @shellamajebwe2132
    @shellamajebwe21322 ай бұрын

    Ubarikiwe saaana mwalim shemeji

  • @shellamajebwe2132
    @shellamajebwe21322 ай бұрын

    Ubarikiwe saaana mwalim shemeji

  • @shellamajebwe2132
    @shellamajebwe21322 ай бұрын

    Ubarikiwe saaana mwalim shemeji

  • @shellamajebwe2132
    @shellamajebwe21322 ай бұрын

    Ubarikiwe saaana mwalim shemeji